Kama umeoa au haujaoa take this

Kama umeoa au haujaoa take this

mhogoz

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,372
Reaction score
2,309
1.Kwenye mambo yako muhimu ya maisha mipango ya maana usimshirikishe mwanamke wako.
2.Mwanamke wako sio ndugu yako,ni adui yako namba moja.
3.wanawake wapo kwa ajili ya kuharibu maono yako .
4.wanawake ni watu wenye maamuzi ya muda mfupi hawana long plan targets kwenye maisha yao.
5.kwa kuwa mwanaume ni kichwa maamuzi yote yenye tija kwenye familia fanya wewe mwenyewe.
6.Kama ulikuwa na mpango wako kabla ,mwanamke akaja na wazo zuri zaidi endelea na mipango yako.
7.wanawake ni watu vigeugeu.
8.uisiwaamini kamwe mwanamke anayekuambia kopa tufanye projects flan,never trust them.
9.Kama mwanamke anatoka familia tajiri sana na wewe unatoka uchumi wa kawaida ,just let her go.
10.kama ulimesekia amewahi kutoa mimba mwache.
11.kama anakopa na kuwa na vikoba mwache.
12.Kila mwanamke anayeshine kwa mafanikio makubwa nyuma yake kuna mwanamume boya.
13.usipoteze muda na nguvu zako kumridhisha mwanamke ,hawaridhiki.
14.siku ukiishiwa utaachwa
15.tafuta pesa huo ndio ufunguo wa warembo.
16.usiwahurumie mwanamke aliyeachwq na watoto wake ,unless wewe ni kaka yake au baba yake.
17.uxile pesa ya mwanamke.
18.hata kama mkeo anafanya kazi ,usitumie pesa zake kamwe.
19.wale mnawaita mama wa nyumbani wana unafuu mkubwa zaidi.
20.ni rahisi wao kudanga na mabosi wao hata kama kazi yenyewe ni housgirl au barmaid.
21 si lazima mkeo ajue kila kitu kuhusu pesa zako.
22.ficha pesa zako hiyo ndio nguvu yako mwanamume,weka akiba.
23.usihonge sana pesa nyingi ,wape matumaini mwanzoni kula sepa.
24.mwanamke aliyemwacha mwanamume mwenzako kuja kwako ana ugonjwa ule ule.
25.kadri wanavyoelimika ndivyo ushetani wao unazidi.
26.usimwamini sana mwanamke hata kama ni dada yako au mama yako.
27.wengi wanatamani kuwa wanaume ni vile hawawezi.
28.ukimfumania once mwache.
29.ni wazi kuwa hawezi kumwacha ex au mwanamume aliyemzalisha.
30.usislambe mbususu ya mwanamke,ni kujishusha ukuu wako,hataweza kukuheshimu.
31.kamwe usiseme udhaifu wako wowote kwa mwanamke hyo itakuwa fimbo ya kukuchapia milele.
32.eat your own bread
33.Watu wengi wakubwa waliangushwa na wanawake waliowaamini.
34.Usimnyenyekee mwanamke mwingine zaidi ya mama yako mzazi.
35.mwanamke anayekutongoza ni kahaba.
36.usitembee na mtu na dada yake au mama yake.
37.usipende kuchanganya nyama na samaki same pot.

38.the moment mwanamke amekuinulia mkono mwache,never mind.
39.dont entrust her withyour kids from another womb.
40.fanya bidii awe mama ya nyumbani.
41.kama ni mlevi au smoke just quit
42.mpe hela ya kutosha,kama baada ya muda mfupi atakuomba tena na tena mwache.
43.akikukosoa sana kuhusu kuvaa kwako vibaya ,mwache.
44.usikubali kulala ukweni.
45.hakuna single mother,
46.Kwenye shida kumbuka ,ni lazima akusaliti
47.kumbuka watataka uwafanyie mambo ambayo wao wenyewe hawayawezi.
48.wanachukulia ndoa ni kama guarantii ya wao kukumiliki.
49.kama ingekuwa hakuna vyeti vya ndoa ama vikipotea ni bora zaidi.
49.jitahid ujenge kabla hujaoa.
50.jitahid usioe mwanamke mpumbavu.
51.kwenye ndoa kuna fujo nyingi zaidi ya ukiwa single.
 
Ndoa hazina formula malum kwakuwa ni mahusiano ya wawili wenye uhai.. ! sio vitu Yabisi
Naunga mkono hoja.... Jana nimeona documentary ya jamaa alifungwa bahamas kimakosa miaka 6 akaachiwa kawashitaki akashinda dola milion 1.1 wakilia akatoa yake akabaki na kama dola laki 7. Jamaa ni mkenya kakaa huko miaka 23 akitafuta maisha... Ile ela akawambia home fungua akaunti joint mama na dasa yake wa mwisho kisha akaihamishia humo ili arudi aikute. Huwezi amini mama yake na dada yake wameipiga hiyo pesa.
Jamaa amerudi wamemtelekeza akienda wadai wanamwitia polisi. Ana maisha magumu mno wao wamenunua magari na majumba ile story imeniuma sana
 
Naunga mkono hoja.... Jana nimeona documentary ya jamaa alifungwa bahamas kimakosa miaka 6 akaachiwa kawashitaki akashinda dola milion 1.1 wakilia akatoa yake akabaki na kama dola laki 7. Jamaa ni mkenya kakaa huko miaka 23 akitafuta maisha... Ile ela akawambia home fungua akaunti joint mama na dasa yake wa mwisho kisha akaihamishia humo ili arudi aikute. Huwezi amini mama yake na dada yake wameipiga hiyo pesa.
Jamaa amerudi wamemtelekeza akienda wadai wanamwitia polisi. Ana maisha magumu mno wao wamenunua magari na majumba ile story imeniuma sana
Ukiwa na roho nyepesi unawamiminia risasi wote
 
Ukiwa na roho nyepesi unawamiminia risasi wote
Kabisa mkuu comment za waja zinasema hivyo. Na mama yake huko mtaani ni pastor. Yani jamaa ana maisha magumu sana anasema angekuwa kaiweka kwenye akaunti ya rafiki akapigwa angesema amefanya makosa ila akaunti ya mama na dada yake hawezi kusema alifanya makosa.
 
😅😅😅😅
Mwanamke ni mpole na mtiifu kabla hajachokozwa na ni mvumilivu pia😅

Yani umuoe,umzalishe halafu ukute Kwa C-section
Kisha umuache na uanze kumuumiza na vidada vya kazi,au Vi Gen Z.

Bro hapo utakuwa umechezea moto wa Volcano 😜
Aidha akuondoe duniani au akupe fundisho la Kimataifa.

Maana wanaume huwa mnajisahau mkishamzalisha mtu.
Heshima pia huwa mnaishusha kwa kuwapa heshima vimada.
 
Kumekuchaaaa.....
Kumekuchaaaa.......
20250524_081803.jpg
 
Back
Top Bottom