ora
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,198
- 1,128
msijali sanaItabidi ubadilishe avatar yako,maana hata mimi nilidhani ni mwanaume
msijali sanaItabidi ubadilishe avatar yako,maana hata mimi nilidhani ni mwanaume
Bro sasa umezidisha,yaani 4000 tu na namba unafuta? basi chaputa inakupa jeuri sio bure,maana ukizoea chaputa basi mademu unawaona kenge maji kabisa,kwa hiyo tafuta tiba ya kisaikolojia bro na pia acha mchezo wako wa kuangalia picha za matusi acha kabisa utapofuka macho.Sijajua ni kwamba ni roho mbaya,au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke.sipendi mwanamke aniombe hela,yaani kama nina mwanamke harafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na.nakuwa simtaki tena na namba yake nafuta.hata kama kaomba 4000.huwa naumia sana nikimpa.sasa sijajua hii maana yake nini
Wacha weeeeeee yaani unatudanganya hivihivi ili tuingie mkenge ama kweli shetani haachi lake.Kama kuna ki2 nashindwa ni kumuomba baby hela ila maajabu ya musa sivyo anavyonitunza..akinipa sikatai lakn
Eti Mazivu ndio kitu gani?chonga kinyago kikupe papuchi ambayo huwezi pata gharama maana kitakuwa
hakili chakula
hakivai
hakipaki lotion
hakinyoi mazivu
hakibleed nk
Hahahahhchonga kinyago kikupe papuchi ambayo huwezi pata gharama maana kitakuwa
hakili chakula
hakivai
hakipaki lotion
hakinyoi mazivu
hakibleed nk

Mjini hapa ukisusa wenzio twalaaaSijajua ni kwamba ni roho mbaya,au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke.sipendi mwanamke aniombe hela,yaani kama nina mwanamke harafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na.nakuwa simtaki tena na namba yake nafuta.hata kama kaomba 4000.huwa naumia sana nikimpa.sasa sijajua hii maana yake nini
HahahahahhaWacha weeeeeee yaani unatudanganya hivihivi ili tuingie mkenge ama kweli shetani haachi lake.
KARANJA Mkenge una mwenyewe tayari.kwani mkuu kuomba K ndio lazima utoe pesa mbona toka mwezi 1-6 nimelamba wasichana wa 3 na hamna hata 1 niliyetoa hata 100Na wewe usiwaombe k
Inamaana mkuu hata hao watoto wako huwahudumii maana ukiombwa hela unachukia au inakuwaje hapo. Na vipi ndugu zako wakike maana nao ni wanawake au wanawake gani unaoongelea hapa. Na unavosema unapenda sana ngono inamaana wanawake woooote unaongonoka nao hujawai kutoa hata mia?Watoto wangu hawajambo mkuu na hata mama zao ni wazima,ila ngono sijaacha mkuu bado napenda sana tu
Na usiiache endelea kupenda zaid ya hapo,siku inakujaWatoto wangu hawajambo mkuu na hata mama zao ni wazima,ila ngono sijaacha mkuu bado napenda sana tu