4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 26
Ndugu yangu suprise pole sana...ndo maana mimi sichelewagi kukutana nae njia panda tuu. Maana hawa wenzetu hawawezi kutosheka na mtu mmoja. Majority of them wako hivyo. Yani hapo uamue moja ku divorce au kutumia kinga maishani yenu yooote.Usikubali mtu kukupunguzia maisha kama kwake hayana maana. Maaana mwanaume kiruka njia ni ngumu kubadili tabia.