Siogopi kushare mume, naogopa HIV

Siogopi kushare mume, naogopa HIV

Unataka ukae kimya kwani mumeo wakati anakuoa mliandikiana mkataba smolo hauzi ni sehemu ya ndoa yenu???

We endelea kucheka cheka na kuweka moyo wa huruma, au umesahau waungwana husema 'mchelea mwana kulia hulia yeye'.

Na ukicheka na nyani utavuna mabua. khaaa! mme kitu kingine Suprise hebu kuwa serious bana.
 
Last edited by a moderator:
hapo ni pagumu sana, asikudanganye mtu, kwanza mke wangu nikimkuta na kondom itakuwa kesi nyingine - iweje aanze kunifundisha mimi kutumia ndomuco?

Sasa ndugu kucheat nikuachie na uhai pia jamani, sa kama atamind nikimwambia atumie kinga si ndo najiingiza shimoni najiona
 
Loh! Ndoa zina mambo
Mnunulie box la condom kwenye birthday yake
Tafuta box kubwa kma lile la TV chogo 21 inch's
Then unaweka hizo ndom
Usisahau ku mwekea ka ujumbe 'A real playa plays safe'
 
waoh, thanx ma dr, natamani kusingekua na maradhi ili nijikaushe nijifanye sina habari, niendeleze ratiba kama kawaida sasa inabidi nimwambie tu

We hakuna kujikausha hapo hata kama una roho ngumu na nzito kama yangu, lazima jibaba lijue limeshindwa kucheat responsibly, we nyamaza tu ipo siku utaletewa mtu hapo nyumbani mchana kweupee.
 
ila dear solution sio kinga tu ..what if mshavipata? kwani ulivoona sms juzi unajua walianzanalini? wewe tulizana.. atarudi tu! useless man!

Kama kweli walianzana zamani basi walikuwa watumiaji wa kinga coz tuna tabia ya kupima mara kwa mara ila kama wameanza karibuni ndo hapo hadi kipimo ingine.
 
Inasikitisha sana, miaka miwila ndani ya ndoa ni michache sana na inaelekea huyo bwana wako alikuwa na tabia kama hizo kabla hata hajakuoa na ameona acha aendelee na hizo tabia labda huenda akawa hajafahamu ni nini maana ya ndoa au humpatii haki yake ya tendo la ndoa kisawasawa, jaribu kujichunguza mwenyewe uone ni wapi umejikwaa na ujirekebishe mapema, suala la wewe kutumia kondomu katika tendo la ndoa siafikiani nalo hata kidogo, mwelezee mumeo kwamba unahitaji kwenda kuangalia afya yako lakini mfuatane wote kwa pamoja mkapime, mkibaini kwamba wote mpo salama ndipo mshiriki tendo la ndoa bila kondomu lakini ikibainika mmoja wenu tiyari ameshaathirika hamna budi kutumia kondomu ili kujilinda!! Ndoa inajengwa na uaminifu pia Muombe Mwenyenzi MUNGU akuongoze katika kutafuta suluhu ya tatizo katika ndoa yako!! Pole sana.
 
ila dear solution sio kinga tu ..what if mshavipata? kwani ulivoona sms juzi unajua walianzanalini? wewe tulizana.. atarudi tu! useless man!

NImekukubali hapo kwenye bold;
Inawezekana alimtangulia - wakapima wakajikuta salama wakaoana;
 
Unataka ukae kimya kwani mumeo wakati anakuoa mliandikiana mkataba smolo hauzi ni sehemu ya ndoa yenu???

We endelea kucheka cheka na kuweka moyo wa huruma, au umesahau waungwana husema 'mchelea mwana kulia hulia yeye'.

U r very rit dr but nataka kusolve bila kuleta tatizo , si mnajijua nyie wanaume mliyo wagumu kukubali kosa on the spot, bora kwenda taratibu, so nipe mbinu.
 
Mi naendelea kusoma makomenti hapa;
nitakuwa mchangiaji wa .....mwisho..........

Hautakuwa umenitendea haki ma dr, wa kwanza nitakua mimi na mchangiaji wa mwisho ntakua mimi, ur advise pls
 
Inasikitisha sana, miaka miwili tu ndani ya ndoa ni michache sana na inaelekea huyo bwana wako alikuwa na tabia kama hizo kabla hata hajakuoa na ameona acha aendelee na hizo tabia labda huenda akawa hajafahamu ni nini maana ya ndoa au humpatii haki yake ya tendo la ndoa kisawasawa, jaribu kujichunguza mwenyewe uone ni wapi umejikwaa na ujirekebishe mapema, suala la wewe kutumia kondomu katika tendo la ndoa siafikiani nalo hata kidogo, mwelezee mumeo kwamba unahitaji kwenda kuangalia afya yako lakini mfuatane wote kwa pamoja mkapime, mkibaini kwamba wote mpo salama ndipo mshiriki tendo la ndoa bila kondomu lakini ikibainika mmoja wenu tiyari ameshaathirika hamna budi kutumia kondomu ili kujilinda!! Ndoa inajengwa na uaminifu pia Muombe Mwenyenzi MUNGU akuongoze katika kutafuta suluhu ya tatizo katika ndoa yako!! Pole sana,.
 
Kapime kwanza binafsi, alafu uendelee na mchakato wa kumtafuta mwizi. Pia kumbuka kwamba virusi sio kifo na wala sio kuugua, ukishajigundua wala hutapata shida yoyote. Nakueleza hayo nikiwa na uhakika.

Hata mi najua virusi sio kifo but kama naweza avoid nifanye vikija vije kwa bahati mbaya ndugu yangu, kuhusu kupima nasubiri atlist ipite miezi 3 tena tumetoka si muda mrefu
 
loh! Ndoa zina mambo
mnunulie box la condom kwenye birthday yake
tafuta box kubwa kma lile la TV chogo 21 inch's
then unaweka hizo ndom
usisahau ku mwekea ka ujumbe 'A real playa plays safe'

Thanx, ntafanya hivyo ingawa birthday mwakani tena
 
we hakuna kujikausha hapo hata kama una roho ngumu na nzito kama yangu, lazma jibaba lijue limeshindwa kucheat responsibly, we nyamaza tu ipo siku utaletewa mtu hapo nyumbani mchana kweupee.

umeona eenh watu wengine wanaona shida kucheat responsbily y.tatizo hawana kitchen party hawa wenzetu
 
thanx Chakii, huo uvumilivu ndio utatucost tulio ndoani tunajikaanga tunajiona
 
u r very rit dr but nataka kusolve bila kuleta tatizo , c mnajijua nyie wanaume mliyo wagumu kukubali kosa on the spot, bora kwenda taratibu, so nipe mbinu

mme wako au hata angekuwa mpenzi ni lazma ajue pale anapokukosea, ukipretend kuwa mambo yapo ok na yeye hatojisumbua hata kama anajua mambo hayapo ok. hata kama hatokubali kosa ila alijue, usitishie kuondoka tu maana naona karoho kako kepesi usije ukaambiwa "nenda mama" ukajikuta wewe ndio unaomba msamaha bure. lol, ila mshake shake kidogo bana hata kama utamsamehe siku nyingine awe na adabu kudadadeki zake.
 
Pole sana Suprise umeeleza kuwa umegundua hivyi karibuni kuwa mmeo ana uhusiano na mwanamke mwingine lakini hofu yako ni HIV,je kwani una muda gani hujakutana naye kimwili? kama ulikuwa unashiriki kumega mkate ina maana kama ni HIV kukuambukiza atakuwa tayari alisha kuambukiza,ila kama una muda mrefu may be unaweza kwenda kupima kwanza wewe peke yako kisha ukipata majibu mshauri mmeo pia mkapime.Baada ya hapo utaamua lakini kuanza kutumia kondom huku hujui status yenu haitakuwa na maana.

Kumueleza mmeo juu ya kile ulichogundua ni jambo jema pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom