neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,864
- 2,157
pole!!!! mi ushauri
wangu hebu kuwa mpole sana kwa mumeo na ujishushe, zidisha mapenzi
mpigie cm mara kwa mara na kutuma msg za mahaba hasa akiwa ofisini au
nje ya home. akirudi na hata akichelewa usimuulize we mpokee vzr kwa
mahab yote piga nae story vzr mpkie chakula kzr. kama ukifanya hayo
baada ya wiki mbili kama financially unajiweza mtoe dinner na ukimtoa
muende kwa furaha na hata usinune, unapotoka sasa chumba chako kiache
kisafe tandika shuka safi kama udi puliza au chochote kitakacholeta
harufu ya mahaba mkirudi mpe penzi nono tumia ufundi wako wote!!!!
mkimaliza sasa piga magoti na umwambie kwa unyenyekevu makosa yake
ukishatoa ya moyoni usimruhusu aongee mwambie " leo ni siku nzuri sana
kwangu naomba tusiharibu ucku wa leo" usimpe nafasi mkarushiana maneno
mlale kwa aman. bada ya hapo endelea kulea nakujali ndoa kama umeolewa
jana!!.nakwambia hivi iyo ni dawa tosha ukifanya hivyo roho itamuuma
sana mbona hy mwanamke atamuacha mwnyw utanimbia dada!!!
yani huu ni upuuzi na ujinga uliokithiri
yani unasalitiwa live, na unaona kabisa uko kwenye mtandao alafu unazungumzia kujishusha sijui kupenda zaidi.
hebu tuache unafiki bana... penye ukweli usemwe.
tinna forgive me.. huo ni mtazamo wangu..
Last edited by a moderator: