Siogopi kushare mume, naogopa HIV

Siogopi kushare mume, naogopa HIV

Amin ma de, labda nikiongea nae anaweza niambia mapungufu yangu niyaongezee

Huna sababu mama. Hawa wanawake wanaokushauri hapa hawajui tu kuwa waume zao wana wanawake nje. Waume wao wako smart kiasi cha wao kutokujua. Na hawa wanaume wanaojifanya kukuonea huruma ni wanafiki wengi wao kwa kuwa hakuna mwanaume nayemjua mimi mwenye mwanamke mmoja.

Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja, İ tell you me.

Alichokosea mmeo ni uzembe mpaka umejua. Mmeo ni mzembe sana.
 
moja ya sifa ya huyo jamaa hatafunagi maneno.ukweli ndio huo short and clear.

Atokeze mwanaume yoyote hapa aniambie hajawahi kutoka nje ya ndoa. Mi ntaapa na kuahidi kubadili dini. Sisi wanaume ni wazinzi tuliopitiliza tusioridhishwa na mwanamke mmoja.

Tuache Unafiki.
 
ijapokuwa mimi si mwanandoa simshauri ahatarishe maisha yake kwa uzinzi wa mumewe!amwambie ukweli na akitaka unyumba asipewe bila kinga mpaka atakapopata uhakika wote wapo salama!

Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ukacheze. Hakuna kitu kondom kwenye ndoa, hata kama umemfumania mmeo anapiga threesome. Utasamehe na maisha yatasonga mbele. Condom? what is condom btw? Mwenye maamuzi ya kutumia condom ni mwanaume, PERİOD!!!
 
mkuu @Aspirin salute sana,

that's all i have to say kwenye hii sred..
 
Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ukacheze. Hakuna kitu kondom kwenye ndoa, hata kama umemfumania mmeo anapiga threesome. Utasamehe na maisha yatasonga mbele. Condom? what is condom btw? Mwenye maamuzi ya kutumia condom ni mwanaume, PERİOD!!!
He babu!ndoa kitu kingine na uhai kitu kingine..sitojiweka kiroho juu kwa starehe za mwengine!
 
Sema nae taratibu wala usipanic umweleze kwamba unajua uhusiano wake na huyo demu. Atakuelewa na pengine atacha. Sema nae!
 
kapime kwanza ujue afya yako then uanze mchakato wa kumalizana kwa kutumia kinga mpaka pale atakapokuwa amekuhakikishia usalama wako na kumwacha huyo small house
 
Nimeshindwa kukuelewa...unampenda alafu haikuumi. Kama haya uliyoandika ni kweli basi wewe ni mwanamke wa kipekee...isije ikawa huna uwezo wa kupenda ndio maana jamaa ameamua kutafuta kwingine...siyo kama nashangaa kuchitiwa...nashangaa unavyosema 'haikuumizi' au na wewe una mipango ya kando?

kiukweli nampenda na sitamani kutoka ila kiukweli pia hainiumizi hata kidogo nnachohofia ni hilo gonjwa tu, ila nahisi nikiongea nae he might change lakini slowly so lengo langu wakati anarudi kwenye mstari arudi ila virusi , so atanielewa nikimwambia tutumie condom as his wife ma dr,
 
wazima wote,

Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.

The usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.

Nawaza nimwambie live kua najua yupo na mtu fulani na nimuombe atumie kinga. Pili nawaza nikae kimya ila nimuwekee pakiti za condom kadhaa kila atokapo asubuhi hop ataelewa nataka ajilinde. Au tatu niamue kutoshiriki nae kabisaaaaaaa hadi atakapoamua kusitisha ya nje tukapime tena au tutumie condom mke na mume.

Serias am comfused naomba ushauri

Mpigie huyo mwanamke wa nje mwambie ni mwaka wa Sita sasa wewe na mmeo mnatumia ARV. Kama haamini akacheki status (akapime) halafu ataona Kama unamdaganya.
 
Mimi si ndio nimeshindwa kumshangaa...na sijawahi kumbishia mtu humu kuwa ametunga story...lakini nachelea kusema hii kitu haipo duniani...aandike upya au aseme ukweli kama aumii...

Otherwise akiri hapa kuwa na yeye anacheza mechi za mchangani ila anatumia jezi ndio maana anatamani na mwenzie awe anatumia kinga.

mmmmh! mpendwa huogopi kushare unaogopa UKIMWI! hata mme wako akiwa nao kumi poa tu ili mradi haupati ukimwi? duuh hii kali. Naona wewe kweli mjamaa wa kweli ila maandiko yanasema kuwa lile unaloliogopa ndilo litakalokujia! mwenye kujua fungu hilo la biblia u can quote. Ila pia sio tu Ukimwi think about the resources your earning with your husband zinaenda pia kwa wanawake wa nje then ww unafurahia kushare? yani kila mwanamke hapendi sharing ingawa hali halisi inakuwa tofauti. Najua umesema hivyo kwa vile u have this common notion kwamba hiyo ndo hali halisi big noooo! always fight and grasp what you believe is yours and have capitalism mentality to maximise what you have for your own benefit and not others maana inavyoonekana you have accepted defeat!
 
Pole sana Suprise. Hilo haliko kwako tu bali liko kwa wanawake wote ambao wameolewa. Kinachokutesa ww ni kwamba umegundua, hivyo basi nakushauri siku nyingine usisome sms za mumeo ama sivyo utakufa kabla ya wakati
Yani unataka kusema yeye kugundua kama mme wake ana mahusiano nje ni kosa? sio hivyo mkuu inabidi ajue ili achuke hatua zinazofaa!! vilevle wanandoa ni mwili mmoja hivyo hawana siri bahina yao.
 
kweli best ukewenza hauna shida! virus? mnunulie kondom au umpigie simu huyo bibie mwambie chonde chonde mwenzangu kuwa makini
Ni hivi Surprise hatakiwi kukiunga mkono kitendo cha mme wake kutoka nje ya ndoa kwa sababu yeye ndio mke wake aliyemuoa kwa ndoa halali, mme kutoka nje anafanya makosa na inabidi aonywe vikali na viongozi wa dini,wazee.
 
kiukweli nampenda na sitamani kutoka ila kiukweli pia hainiumizi hata kidogo nnachohofia ni hilo gonjwa tu, ila nahisi nikiongea nae he might change lakini slowly so lengo langu wakati anarudi kwenye mstari arudi ila virusi , so atanielewa nikimwambia tutumie condom as his wife ma dr,
Hayo mapenzi ya dhati yasiyokuwa na wivu hata kidogo, mimi nina wasiwasi nayo.
 
pole!!!! mi ushauri wangu hebu kuwa mpole sana kwa mumeo na ujishushe, zidisha mapenzi mpigie cm mara kwa mara na kutuma msg za mahaba hasa akiwa ofisini au nje ya home. akirudi na hata akichelewa usimuulize we mpokee vzr kwa mahab yote piga nae story vzr mpkie chakula kzr. kama ukifanya hayo baada ya wiki mbili kama financially unajiweza mtoe dinner na ukimtoa muende kwa furaha na hata usinune, unapotoka sasa chumba chako kiache kisafe tandika shuka safi kama udi puliza au chochote kitakacholeta harufu ya mahaba mkirudi mpe penzi nono tumia ufundi wako wote!!!! mkimaliza sasa piga magoti na umwambie kwa unyenyekevu makosa yake ukishatoa ya moyoni usimruhusu aongee mwambie " leo ni siku nzuri sana kwangu naomba tusiharibu ucku wa leo" usimpe nafasi mkarushiana maneno mlale kwa aman. bada ya hapo endelea kulea nakujali ndoa kama umeolewa jana!!.nakwambia hivi iyo ni dawa tosha ukifanya hivyo roho itamuuma sana mbona hy mwanamke atamuacha mwnyw utanimbia dada!!!
 
Ndugu yangu Colonel steel...kama wewe bado mgeni kidogo basi ngoja nikwambie...hiyo ndiyo falsafa ya member wengi sana wa hili jukwaa....nimejaribu kuwaelewa nimeshindwa kabisa....ETI ni kosa kujua ukweli...tulia tu pretend as if umeolewa na malaika...hicho kitu kwangu hakipo kabisaa...hata nikibaki peke yangu ntaendelea ku support dhana ya kuwalinda tuwapendao na kujilinda wenyewe.

Yani unataka kusema yeye kugundua kama mme wake ana mahusiano nje ni kosa? sio hivyo mkuu inabidi ajue ili achuke hatua zinazofaa!! vilevle wanandoa ni mwili mmoja hivyo hawana siri bahina yao.
 
yani post yangu imepotea na siwezi anza andika upya nimekasirika kweli.

nitarudi kesho.. we Suprise unatia hasira sana .. as if huyo mume umesingiziwa .. i wil be back.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom