Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
- Thread starter
- #81
Wewe tayari nafsi yako imeshakubaliana na hayo afanyayo mumeo...
'Siogopi kushare mume, naogopa HIV' haya ni matamshi ambayo mtu asiyejitambua ndiye pekee anayeweza kutamka.
Jaribu tu kufikiria kama kweli unaogopa HIV kwa nini uwe tayari kushare mume?
Hivi huoni kuwa kitendo cha kushare mume ni moja ya mwanya wa kufanya maambukizi ya VVU?
Ndio maana ninahisi pengine una weakness fulani kwenye suala zima la kungonoka na mumeo kiasi cha kukufanya kufikiria na kuamua uamuzi mgumu kama huo...
currently kama nna mapungufu ntakua cjayagundua bt so far najiamini hakuna , ila pia siamini kama anayeamua kutoka nje ni kweli amekosa kitu ndani bali ni utashi wake tu ulivyomtuma kwa mda huo, dats y naamini atarudi coz may be alihisi anahitaji kuendelea jifunza kitu fulani