Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Wazima wote,
Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.
The usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.
Nawaza nimwambie live kua najua yupo na mtu fulani na nimuombe atumie kinga. Pili nawaza nikae kimya ila nimuwekee pakiti za condom kadhaa kila atokapo asubuhi hop ataelewa nataka ajilinde. Au tatu niamue kutoshiriki nae kabisaaaaaaa hadi atakapoamua kusitisha ya nje tukapime tena au tutumie condom mke na mume.
Serias am comfused naomba ushauri