Siogopi kushare mume, naogopa HIV

Siogopi kushare mume, naogopa HIV

Am sorry to say kuna watu humu ni wapinga ndoa kwa maslahi yao binafsi either ni vimada au ni vidumu....

Mimi huu uzi nilisha utilia mashaka...hakuna mwanamke mwenye akili timamu tena mke halali anaweza sema maneno alosema huyu dada.

Mshindwe na mlegee...mutuwache na ndoa zetu hacha na muache kutuchokonoa...

Ameanzisha huu uzi ili kuwavunja moyo watu walio kwenye ndoa na kuwatisha wale wanaotaka kuolewa...

sijuhi kwa nini hawaanzishi nyuzi zinazowahusu.

Aisee kumbe watu walipoteza nguvu zao kuchangia hum!!!!!!!!!!

sukuwahi hata kuifungua hii thread wala kucomment chochote.........

Leo nimefungua directly page ya mwisho nakutana na hizi habari!!!!!!!!!

kuna watu sijui wakoje hum
 
pole sana mdada mwambie wazi usiendelee kuumia.
 
Duh pole sana sijui nianzie wapi niishie wapi kwasababu hili tatizo limekuwa likishika kasi kama moto wakati wa kiangazi.Karibu kila mwanandoa hasa Dada zetu hili tatizo limekuwa sehemu ya maisha yao.Wiki iliyopita niliingia ofisini ya mfanyakazi mwenzangu nikamkuta analia macho mekundu utadhani Uhuru Kenyetta nikamuuliza kulikoni alichonionyesha nilibaki mdomo wazi.Hus ana nyumba ndogo na mtoto wa miezi minne mbaya zaidi mtoto kapewa jina la mama mkwe wake ha ha ha jamani sisi wanaume tuna kazi,nyumba ndogo kashanunuliwa gari na kiwanja sasa mipango ya kumjengea nyumba nzuri ipo katika hatua za mwisho.Kilichokuwa kikimliza mama wa watu ni kwamba mpaka sasa bado wanaishi nyumba ya kupanga !.

wazima wote,

Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.

The usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.

Nawaza nimwambie live kua najua yupo na mtu fulani na nimuombe atumie kinga. Pili nawaza nikae kimya ila nimuwekee pakiti za condom kadhaa kila atokapo asubuhi hop ataelewa nataka ajilinde. Au tatu niamue kutoshiriki nae kabisaaaaaaa hadi atakapoamua kusitisha ya nje tukapime tena au tutumie condom mke na mume.

Serias am comfused naomba ushauri
 
Huwa nikisoma topic za hivi napata hasira sana, nashindwa hata kutoa comment, nabaki kusoma comment za watu tu. binadamu sijui tukoje kwanini tunaingia kwenye ndoa ilihali hatuko tayari kuitunza ndoa? huyo mwanaume utamkuta anajitapa kwa watu nikigundua mke wangu anatembea na mwanaume mwingine nampa talaka. Enyi wanaume maumivu/uchungu mnaoupata ni sa na tunaoupa wanawake. Pole dear Surprise
 
Ndoa is overrated.

too much overrating, okay mnapima, mko negative, anapata moyo anaendelea na kimada, im sure kimada ana wengine kama sio wengine, mara anaukwaa, wanaambukizana, na wewe unaambukizwa...very stressing eh? ndoa ina 2 years, na mliswear for better or for worse? no man should put asunder! holly shit
 
Kongosho hii inawezekana sana, tena very smartly. sambaratisha mbaya they'll never know what hit them!! behold i'm loving this thread!!
 
thanks ma dr, natamani nimfanye asijue kua nimemgundua live ila nimehisi tu kutokana na changes fulanfulan so nilitaka nisiende direct kumention hiyo nijfanye na hisia fulani na kuanzia hapo kumpa condom ili nimuone atajishtukia au atatumia kinga , i wish awe anakumbuka hilo tuu as the mata of fact najua someday atarealise na atakuja na hili neno am sory wife ,
sasa ishu haitakua kusamehe ishu itakua kama kaja na irusi it wil be too late
Oooh, suala la kumpatia Condom kwa sasa ni la kubahatisha. Huwezi kujua wana muda gani katika mahusiano yao hadi sasa. Just fanya utafiti kumjua mwizi wako, na kwa kuwa umeona namba ya mwizi wako, just mpigie tu kwa kutumia land line umtahadharishe kwamba anakuibia mume wako. Nina imani atamwambia mumeo na utaona some changes, na pengine wanaweza kupunguza kukutana, kama siyo kuacha kabisa.
 
''Moja ya kanuni za wanaonyanyaswa ni kujaribu kuiga tabia za wanaowanyanyasa kusudi wasionekane kinyume cha mambo'', Freddy Macha.

wazima wote,

Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.

The usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.

Nawaza nimwambie live kua najua yupo na mtu fulani na nimuombe atumie kinga. Pili nawaza nikae kimya ila nimuwekee pakiti za condom kadhaa kila atokapo asubuhi hop ataelewa nataka ajilinde. Au tatu niamue kutoshiriki nae kabisaaaaaaa hadi atakapoamua kusitisha ya nje tukapime tena au tutumie condom mke na mume.

Serias am comfused naomba ushauri
 
too much overrating, okay mnapima, mko negative, anapata moyo anaendelea na kimada, im sure kimada ana wengine kama sio wengine, mara anaukwaa, wanaambukizana, na wewe unaambukizwa...very stressing eh? ndoa ina 2 years, na mliswear for better or for worse? no man should put asunder! holly shit

Kimada na ndoa havina uhusiano wa moja kwa moja.

Unaweza kuwa ndani ya ndoa ukawa na kimada.

Na unaweza ukawa hujaoa na huna kimada.

Matatizo ya personal discipline usiyafanye yawe yanatokana na kutokuwa na ndoa.

Na usitake kutuaminisha kwamba kuwa na discipline kunatokana na ndoa.
 
Mimi si ndio nimeshindwa kumshangaa...na sijawahi kumbishia mtu humu kuwa ametunga story...lakini nachelea kusema hii kitu haipo duniani...aandike upya au aseme ukweli kama aumii...

Otherwise akiri hapa kuwa na yeye anacheza mechi za mchangani ila anatumia jezi ndio maana anatamani na mwenzie awe anatumia kinga.

ah ah ah ah ah! inawezekana mkuu
 
Unapoingia kwenye ndoa ujue ndo ushaipa kondom byebye. Mmeo akuvalie kondom??? Over my dead body!!! Utapigwa nyama kwa nyama utake usitake.

İngia kwenye ndoa utaniambia mwenyewe.
Hakuna babu mambo mengine ni ya kujitakia..Nina wajibu wa kumpa mume wangu haki yake..Lakini fact haitobadilika kwamba mwili ni wangu na nina maamuzi juu ya matumizi yake...Siwezi kuhatarisha maisha yangu kwaajili ya upuuzi wa mtu mwengine..wakati mwengine lazima mtu uwe mbinafsi kwa maslahi yako mwenyewe!!!
 
Surprise
Njoo hapa useme kwa nini unadanganya watu na akili zao...
Umepata mimba as a result of ONS in January, leo unasema uko kwenye ndoa ya miaka miwili...
Watu wengine bwana...mashaka tu!
 
Last edited by a moderator:
kiukweli nampenda na sitamani kutoka ila kiukweli pia hainiumizi hata kidogo nnachohofia ni hilo gonjwa tu, ila nahisi nikiongea nae he might change lakini slowly so lengo langu wakati anarudi kwenye mstari arudi ila virusi , so atanielewa nikimwambia tutumie condom as his wife ma dr,
Ki ukweli hapa ndipo naposhindwa kuwaelewa wanawake wengi duniani, sasa umejua na evidence unayo unachoogopa kumwambia ni nini??atakuacha??atakuua???Kaa nae chini weka ukweli kama unaogopa nenda kwa waliosimamia ndoa (Kama unawaamini watatunza siri hii) ama wazazi mlimalize.
 
Kukaa kimya siyo option hapo hata kidogo. Nina uhakika ukimya ktk mahusiano ni chanzo cha migogoro ya kudumu. Fanya haya: Kwanza tafuta evidence isiyo na shaka ambazo ukimwambia au kumuonesha hawezi ruka. Pili, andaa mtoko wa faragha naye ambao hujawahi kuufanya kamwe. Hata kama ni short trip nje ya mji. Ukifika huko, umwandae uhakikishe yupo kwenye mudi ya kufurahia mtoko wenu na utafute namna ya kumwelewesha hasa kwa kusisitiza humlaumu na kama binadamu kuanguka ni kitu cha kawaida. Approach ya namna ya kumweleza ni njia kuu ya kufanikiwa, mara nyingi mtuhumiwa wa namna hii anataraji violent reaction toka kwa wife ukiopt otherwise kuna possibility kuu ya kukuona una utofauti na wengine, una akili na kweli unastahili kuwa respected kwa busara zako. Lakini kumbuka, usitumie evidence kumkandamizia bali kumuonesha kuwa unajua pasipo shaka na umetake trouble kutafuta ukweli, hujakurupuka wala kulishwa maneno mitaani. Hakuna njia nzuri zaidi ya njia za kisaikolojia kumfanya mtu ajitoe kny tabia za uovu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom