Siogopi kushare mume, naogopa HIV

Siogopi kushare mume, naogopa HIV

Mpendwa Surprise.....miaka miwili ya ndoa kama ni mwaka ndio kwanza mwezi wa pili........ingawa sijakuelewa huko nilipo bold ila nakushauri tu uongee nae achague aendelee na huyo anayesifiana naye kwa mapenzi motomto kwenye sms au wewe.......ukiendelea kunyamaza atamuoa huyo na wewe utakua mke wa pili badala ya wa kwanza.........otherwise kama bado huoni shida basi utakua na huyo jamaa kwa sababu ya kitu Fulani.....last name yake au pesa.......inaonyesha pia huyo jamaa sio mtamu ndio maana roho haikuumi pia........unaonyesha bado mdogo sana.....usicheze na future yako.
nakubaliana na ww, nafikiri huyu m2 atakuwa na huyo huby wake sababu ya kitu/maslahi fulani, sidhani kama anampenda. kama dushelele limemkolea lazima angekuwa na wivu, asingeona sawa ku-share na m2 mwingine. hii nasikia kwake kwa mara ya kwanza @ m2 hana wivu na mpenziwe... mmh? inawezekana kweli?
 
Mhhhh! We binti Surprise ni muongo mzuri sana!!! Nini hasa kinachokufanya uje hapa jamvini kuandika hadithi zinazokuhusu ambazo haziendani bi dada!? Story moja unadai umo ndani ya ndoa kwa miaka miwili sasa umeipost Sept 24, 2013. Story nyingine uliyoipost January 16, 2013 ulidai harusi yako ingefungwa May, 2013. Ni aje bi dada!? Mbona uko hivyo!? Chukua hatua badilika Mkuu mambo ya kutunga uongo kuhusu maisha yako kila baada ya miezi michache na kuuleta hapa hayahusu kitu. Tafakari chukua hatua.

Nakutakia weekend njema.

Bofya hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusia...one-night-stand-imenisababishia-mimba-11.html
Bofya hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/527836-siogopi-kushare-mume-naogopa-hiv.html

Posted on Sept 24, 2013
Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.

The usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.

Posted on January 16, 2013
Kwa jina naitwa 'Surprise', ni msichana niliyechumbiwa na nilitegemea kufunga ndoa mnamo Mei 2013.
Kwa bahati mbaya au nzuri last week nimegundua ni mjamzito wa siku kadhaa ilhali mhusika akiwa si mchumba wangu bali ni rafiki yangu tunayefanya kazi ofisi jirani hapa mjini, kiukweli huyu alikuwa 'JUST A FRIEND' ila tukawa na mazoea ya karibu mno ikafikia siku ya siku tukiwa wawili (hata sijui kilichoendelea) tukajikuta tupo dunia nyingine iliyosababisha huu ujauzito.
Bahati nzuri huyu rafiki amesema yupo tayari kwa lolote na anaomba nimpe nafasi aweze kumlea mwanae akiwa na mimi as mke wake, nimemwambia naenda nyumbani kwanza kuwapa taarifa kisha nikirudi nimwambie yaliyojiri ili aanze michakato ya ndoa, na kishawaambia hadi kwao kuwa ataoa karibuni; anasubiri ruksa yangu.
Ki ukweli, mimi nilijua ni bahati mbaya kumbe kwake ilikuwa planned na ameniomba msamaha sababu alikuwa anatamani kufunga ndoa nami sema nilikuwa nimewahiwa na alinipenda muda mrefu ila alikuwa hajui aanzie wapi. Kwa kipindi nilichoishi naye kama rafiki amenipenda, amenijali sana labda awe amejivika ngozi ya kondoo.
Nilikuwa sina mipango wala mawazo ya kumsaliti mchumba wangu ila baada ya kugundua ni mjamzito nikawa na fikra mbili zilizonisababisha kuja kuomba ushauri:
 
Kabisa hata mimi nimeshangaa sana......mashine ingekua inamkuna vizuri asingekuja hapa.....ungekuta alishaenda kumtoa mtu koromeo. Au ndio wale wanakufa kwa ajili ya last name. Wadada wa mujini shida kweli.
 
Hahahah....besti hebu fafanua vizuri bana...hadithi zote mbili muhusika wewe.
Lakini ukizisoma zote neno hadi neno inaonesha kuna uShigongo

ni ngumu kuprove best bt i can asure u ,hakuna ushigongo ndani yake, thats life we live, so ukiamua saidia gurudum lisizame u r welcome bt if u think kuna mchezo no more coments
 
Sijakuelewa best!!! Kwani ninyi kwenye vitchen parties zenu mnafundishwa ku cheat responsibly???

hakuna anayefundishwa maovu zaidi tu kulinda ndoa yako, so its up to u utakayoamua kuilinda
 
mmh! naomba nianze kwa kukupa hongera kwa kuweza ku-hold on kiasi hicho. mi nikigundua, muda huo huo lazima nim-confront. hata kama yupo job atarudi tu hm tugombane, siwezi kukaa rohoni na kitu kama hicho hata kwa saa 1, lazima kinuke tu. I wish to be like u, kuwa na kifua km chako

:shut-mouth:mmh, jitahidi mama, sometime inabidi kua mtulive to tek time, nt gud to react so sudenly
 
Mhhhh! We binti Surprise ni muongo mzuri sana!!! Nini hasa kinachokufanya uje hapa jamvini kuandika hadithi zinazokuhusu ambazo haziendani bi dada!? Story moja unadai umo ndani ya ndoa kwa miaka miwili sasa umeipost Sept 24, 2013. Story nyingine uliyoipost January 16, 2013 ulidai harusi yako ingefungwa May, 2013. Ni aje bi dada!? Mbona uko hivyo!? Chukua hatua badilika Mkuu mambo ya kutunga uongo kuhusu maisha yako kila baada ya miezi michache na kuuleta hapa hayahusu kitu. Tafakari chukua hatua.

Nakutakia weekend njema.

Bofya hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusia...one-night-stand-imenisababishia-mimba-11.html
Bofya hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/527836-siogopi-kushare-mume-naogopa-hiv.html

Posted on Sept 24, 2013
Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.

The usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.

Posted on January 16, 2013
Kwa jina naitwa 'Surprise', ni msichana niliyechumbiwa na nilitegemea kufunga ndoa mnamo Mei 2013.
Kwa bahati mbaya au nzuri last week nimegundua ni mjamzito wa siku kadhaa ilhali mhusika akiwa si mchumba wangu bali ni rafiki yangu tunayefanya kazi ofisi jirani hapa mjini, kiukweli huyu alikuwa 'JUST A FRIEND' ila tukawa na mazoea ya karibu mno ikafikia siku ya siku tukiwa wawili (hata sijui kilichoendelea) tukajikuta tupo dunia nyingine iliyosababisha huu ujauzito.
Bahati nzuri huyu rafiki amesema yupo tayari kwa lolote na anaomba nimpe nafasi aweze kumlea mwanae akiwa na mimi as mke wake, nimemwambia naenda nyumbani kwanza kuwapa taarifa kisha nikirudi nimwambie yaliyojiri ili aanze michakato ya ndoa, na kishawaambia hadi kwao kuwa ataoa karibuni; anasubiri ruksa yangu.
Ki ukweli, mimi nilijua ni bahati mbaya kumbe kwake ilikuwa planned na ameniomba msamaha sababu alikuwa anatamani kufunga ndoa nami sema nilikuwa nimewahiwa na alinipenda muda mrefu ila alikuwa hajui aanzie wapi. Kwa kipindi nilichoishi naye kama rafiki amenipenda, amenijali sana labda awe amejivika ngozi ya kondoo.
Nilikuwa sina mipango wala mawazo ya kumsaliti mchumba wangu ila baada ya kugundua ni mjamzito nikawa na fikra mbili zilizonisababisha kuja kuomba ushauri:

thanx BAK,bt tek time i have alredy mek clarfication abt that concern coz aza member raise it too,thanks for being follower of ma threads.
 
mhhhh! We binti surprise ni muongo mzuri sana!!! Nini hasa kinachokufanya uje hapa jamvini kuandika hadithi zinazokuhusu ambazo haziendani bi dada!? Story moja unadai umo ndani ya ndoa kwa miaka miwili sasa umeipost sept 24, 2013. Story nyingine uliyoipost january 16, 2013 ulidai harusi yako ingefungwa may, 2013. Ni aje bi dada!? Mbona uko hivyo!? Chukua hatua badilika mkuu mambo ya kutunga uongo kuhusu maisha yako kila baada ya miezi michache na kuuleta hapa hayahusu kitu. tafakari chukua hatua.

nakutakia weekend njema.

bofya hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusia...one-night-stand-imenisababishia-mimba-11.html
bofya hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/527836-siogopi-kushare-mume-naogopa-hiv.html

posted on sept 24, 2013
lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.

the usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.

posted on january 16, 2013
kwa jina naitwa 'surprise', ni msichana niliyechumbiwa na nilitegemea kufunga ndoa mnamo mei 2013.
kwa bahati mbaya au nzuri last week nimegundua ni mjamzito wa siku kadhaa ilhali mhusika akiwa si mchumba wangu bali ni rafiki yangu tunayefanya kazi ofisi jirani hapa mjini, kiukweli huyu alikuwa 'just a friend' ila tukawa na mazoea ya karibu mno ikafikia siku ya siku tukiwa wawili (hata sijui kilichoendelea) tukajikuta tupo dunia nyingine iliyosababisha huu ujauzito.
bahati nzuri huyu rafiki amesema yupo tayari kwa lolote na anaomba nimpe nafasi aweze kumlea mwanae akiwa na mimi as mke wake, nimemwambia naenda nyumbani kwanza kuwapa taarifa kisha nikirudi nimwambie yaliyojiri ili aanze michakato ya ndoa, na kishawaambia hadi kwao kuwa ataoa karibuni; anasubiri ruksa yangu.
ki ukweli, mimi nilijua ni bahati mbaya kumbe kwake ilikuwa planned na ameniomba msamaha sababu alikuwa anatamani kufunga ndoa nami sema nilikuwa nimewahiwa na alinipenda muda mrefu ila alikuwa hajui aanzie wapi. Kwa kipindi nilichoishi naye kama rafiki amenipenda, amenijali sana labda awe amejivika ngozi ya kondoo.
nilikuwa sina mipango wala mawazo ya kumsaliti mchumba wangu ila baada ya kugundua ni mjamzito nikawa na fikra mbili zilizonisababisha kuja kuomba ushauri:

mkuu pole sana sana
this is jf..narudia pole maana kama unakuwa ukifikiri kila mtu anacholeta hapa kkinamuhusu yeye waswahili wanasema ukiona manyoya ujue kuku kaliwa
nikimaanisha kuna watu wana ndugu zao wana shida za jamii na wanahisi hapa ndio sehemu ya kupata ushauri kama uamini soma pamoja na msg yako hii ni 11.htm
sasa ujiuzulizi hawa wote waliotoa ushauri ni mazuzu kupita wewe..hapana ni kutoa ushirikiano ukiona aikuhusu unachapa lapa ushauri tu ukiweza

tuliZa mshono
 
wazima wote,

Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.

The usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.

Nawaza nimwambie live kua najua yupo na mtu fulani na nimuombe atumie kinga. Pili nawaza nikae kimya ila nimuwekee pakiti za condom kadhaa kila atokapo asubuhi hop ataelewa nataka ajilinde. Au tatu niamue kutoshiriki nae kabisaaaaaaa hadi atakapoamua kusitisha ya nje tukapime tena au tutumie condom mke na mume.

Serias am comfused naomba ushauri
kama haugopi njoo na kwangu ushare
 
thanx bak,bt tek time i have alredy mek clarfication abt that concern coz aza member raise it too,thanks for being follower of ma threads.

hahaha haaa wee endelea kutoa thanks
ataingia na wewe clo...........................................fm
 
Mueleze ukweli akikataa hama chumbaaa,siku akitaka mkapimee ndio umpeee
 
Mi naona wazo la pili ndilo sahihi kwani utakapomwekea kondomu kwenye suruali au begi lake,lazima aje akuulize kulikoni! hafu ndiyo utakapo mchana.
Pole sana dada, unajua Waafrika wengi haswa watanzania huwa tunakuja kuoa mtu ambaye hukumwandaa tangu mkiwa wadogo ie toka primari mkiwa marafiki, sekondary and chuoni mnauwa wapenzi wengi wetu huwa tuanjikuta ukitaka kuoa ndiyo unachagua nimwoe nani, hii hufanya wanaume wengi ukendelea na uhusiano wa siri hata baada ya kuoa.

wazima wote,

Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue ana mahusiano nje just kwa mtiririko wa simu na message wanazotumiana.

The usually meet na huwa wanapongezana kwa raha wanazopeana. Kilichonisukuma kuomba msaada hapa ni how to handle the situation coz sina hofu hata kidogo kushare hilo penzi najua ipo siku atachoka atarudi. Sasa katika hii waiting period nifanye nini maana nna hofu na kuletewa virusi n am nt sure kama anakumbuka kutumia kinga.

Nawaza nimwambie live kua najua yupo na mtu fulani na nimuombe atumie kinga. Pili nawaza nikae kimya ila nimuwekee pakiti za condom kadhaa kila atokapo asubuhi hop ataelewa nataka ajilinde. Au tatu niamue kutoshiriki nae kabisaaaaaaa hadi atakapoamua kusitisha ya nje tukapime tena au tutumie condom mke na mume.

Serias am comfused naomba ushauri
 
Kwanza pole sana shem; ndoa bado changa sana hiyo
Usikurupuke kumwambia mmeo, zidisha upendo kwa mumeo, pia fanya jitihada umjue mwizi wako kabla ya kutoa malalamishi kwa huyo mumeo. Ukishamjua mwizi wako muundie scandle chafu na mweleze mumeo kwamba kuna mwanamke / binti fulani anaitwa xxxxxxxxxxx ana tabia 1 / 2 / 3; utaona namna mumeo atakavyokuwa makini kusikiliza habari hizo.

Baada ya siku 2 / 3 ndo umwambie kuwa tena umegundua mahusiano yao na jitahidi ujue hata sehemu wanayotumia kufanya uchafu huo. Naamini kabisa utakuwa umekomesha - wataachana kabisa.

.....ina maana aache kazi zake zooote aanze kumfuatilia? kagusa simu kaponzeka, akianza kufuatilia akakuta wako wengi na wengine ni rafikize?
Dadangu kazi unayo, kumlisha utamu mumeo na con,,, nayo ngumu mno...
sikia shemeji.....mtoe outing, kama hamjazoea atakuwa suprised like ur name.....gharamia kila kitu there....make sure u toast kwa afya zenu....kabla hamjaendelea na chochote...mean after toast only single sip to each....mshike mkono kimahaba then anzia hapo...tiririka ujisikiavyo...hakikisha ujumbe kaupata 100%.....ukifika home najua wote mtakua horny....mvishe C.O.N......kila la kheri.....
 
Kapime kwanza binafsi, alafu uendelee na mchakato wa kumtafuta mwizi. Pia kumbuka kwamba virusi sio kifo na wala sio kuugua, ukishajigundua wala hutapata shida yoyote. Nakueleza hayo nikiwa na uhakika.

Mkuu ushauri wa bibie kupima ni sawa ila wa kumtafuta mwizi sioni kama kuna sababu. Muhusika si yuko kwa nini wasiyazungumze?!
Saa nyingine huyo mwizi hana habari kama kuna mwenzake!
 
Pole mwaya. mi pia nimeguswa sana na tatizo lako ukweli hakuna kitu ninachokichukia ktk maisha yangu kama kuibiwa mume/kuchapiwa. Namshukuru Mungu tangu niolewe miaka 6 iliyopita sijawahi ku cheat na sina mpango wa kufanya hivo ingawa mi nishatendwa mara nyingi. Ukweli uchungu wa jambo hilo naujua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom