Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Kujuana mkiwa watoto sidhani kama ndo kunaweza kusababisha muishi kwa uaminifu katika ndoa. kisaikolojia ukimuoa/ukiolewa na rafiki yako wa utotoni inaweza kusababisha matatizo ktk ndoa yenu maana yake ni kwamba ulipokuwa mdogo akili yako pia ilikuwa bado ya kitoto sasa utakapokomaa ndipo utakapopata akili ya kujua huyu ananifaa au la.