Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

afu nilikuwa mbeya juzi kati mwee nasikitika kukosa hayo mambo daaa
 
hivi kisosi c cha barid jaman sasa hiyo raha iko wapi? hakuna aliezaliwa anajua mapenz nijuavyo mm mapenz ni ubunifu ujue sehem zinazoleta ashk za mwenzio, mapenz hayataki papara wala haraka, pia mtoto wa kike shurt ajue kujishughulisha pale kati na kulalamika kwa raha na sauti nzuri ya kuongeza utam, bila kusahau usafi zaid kwa nn usinoge hata kama ww ni mchaga mwenzangu lazima wakugande!!

Hahaaaa Hahaaaa
 
Siku hizi hakuna mtu wa wapi wala wapi...Hakuna makabila yenye utaalamu wa mapenzi...Ilikuwa zamani hiyo..
Kila kabila sasa lishavumbuka na kujifunza kuhusu mapenzi.....Technolojia zimesaidia

mbeya kuna tecnologia mpya na kisasa zaidi
 
Hahahaa miss chagga sisi matunyenye ya maonesho eeh? Kwa hiyo sisi hatufai kwa matumizi ya binadamu? Ngoja tuje tukuoneshe kazi wanyaki sisi

matunyenye haipo kwenye kamusi ya kiswahili... Sio tani wala tusi... Ni nosense
 
Last edited by a moderator:
sipitwi mimi hadi msuli natumia acha tu ... wanawake wa mbeya wengi matunyenye tu kuangalia raha sana ila kutumia utadhani upo kighorofani

umewahi kuwajaribu... Au unasema mi nasema nina uhakika kabisa
 
Acha kabisaaa hiyo. Huku Tanga watu wanatumia miguu miwili, ukija kushoto yupo, ukija kulia yupo. Mbeya wengi wanatumia mguu mmoja, hawana jipya

kwetu hawatumii miguu wanatumia mikono... Ndipo tulipo washindia
 
Mademu wengi wa Jiji la Mbeya wameota ndevu,
-si kweli hata tanga wapo
wengine wana mpaka masharubu
-uongo huo
. Ukiona hivyo hao wanaopagawisha ni wakuja sio wa hapo hapo.
-Hakuna wakuja mbeya
Mademu wengi wazawa wa Mbeya hawajui kubembeleza ni ubabe tu...
-Labda tanga ndo tabia yao
 
Back
Top Bottom