Sio siri tena, matokeo chanya ya Majaliwa hadharani

Mtu wa Asali

Senior Member
May 9, 2022
152
291
Siyo siri tena ndani ya CCM kuna kundi linaitwa “Matokeo Chanya”

Ambalo linaundwa na viongozi waandamizi wa awamu ya tano wa Serikali na chama, Kiongozi wao Mkuu ni Kitila Mkumbo, Katibu ni Mwita Waitara akisaidiwa na Mpina na Lusinde.

Hawa wanasema ndiyo wenye Kulinda Legacy ya Mwendazake kwa maslahi ya Biashara ambazo zilikuwa uncompleted. Kifupi wametengeneza kundi litakaloingia kwenye uchaguzi 2025 kama ikishindikana iwe 2030. Wengine ndani ya kundi hilo ni William Lukuvi, Aluko Kabudi, Bashiru Ally pamoja na Kassim Majaliwa.

Mfumo huo umewekwa Nakshi na aliyewahi kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Dk. Rafael Chegeni.

Hivi Karibuni Dk. Chegeni aliteuliwa katika teuzi za moja ya nafasi kuwa mkuu wa mkoa wa Mara na baadaye jina lake kuondolewa.

Dk. Chegeni ameamua kucheza kamari ndani ya CCM kujaribu kwa mara nyingi kama alivyofanya kwa Lowassa na kushindwa wanaimani safari hii wataweza kwa kuwa wana uzoefu.

Mara kadhaa Dk Chegeni amekuwa akinukuliwa kuwa “Watafanya kila wawezalo kuleta Utata kuwe na maridhiano kwa kuhakikisha mgombea wanayemtaka katika uchaguzi wa 2025”

Katika Nukuu nyingi Chegeni ametoa hoja kwa Mpina na Lusinde kabla ya uchaguzi mkuu kuna maelekezo wanapaswa kusimamia yaingizwe kwenye katiba kufanyika kwa mabadiliko kwa kuruhusu mgombea binafsi.

Luhaga Mpina
Mbunge wa Kisesa amenukuliwa kwa kinywa chake akisema kuwa atatumia nguvu zake zote kuhakikisha kuwa kundi lake linapata ushindi, lengo la sasa ni kuhakikisha wanatengeneza kundi kubwa lenye ushawishwi wa Wananchi kupitia mgombea binafsi.

Kitila Mkumbo
Katibu wa kundi la matokeo chanya”. Ameeleza msimamo wake wa kumuunga mkono Kassimu Majaliwa na kueleza ni kitendo cha kiungwana na ni suala la kikatiba ni Uhuru wa mawazo kwa kila mtu kusema chochote na ndiyo msingi wa demokrasia.

Kuna taarifa kuwa tayari kuna Vijana wa “matokeo chanya” wametumwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ni pamoja na Meatu, Makete, Karatu, Bariadi, Busega, Karagwe, Bunda, Kasulu, Mpanda, Masasi, Ruangwa, Kibondo, Kilolo na Rungwe.

Mshauri wa Timu ya matokeo chanya mwenyekiti wa kamati ya Amani ya madhehebu ya Dini, Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Juma Mussa ndiye anayetumika kuwashawishi viongozi wa dini kumuunga mkono “kassimu Majaliwa” katika harakati zake za kugombea.
 
Siyo siri tena ndani ya CCM kuna kundi linaitwa “Matokeo Chanya”

Ambalo linaundwa na viongozi waandamizi wa awamu ya tano wa Serikali na chama, Kiongozi wao Mkuu ni Kitila Mkumbo, Katibu ni Mwita Waitara akisaidiwa na Mpina na Lusinde.

Hawa wanasema ndiyo wenye Kulinda Legacy kwa maslahi ya Biashara ambazo zilikuwa uncompleted. Kifupi wametengeneza kundi litakaloingia kwenye uchaguzi 2025 kama ikishindikana iwe 2030.

Mfumo huo umewekwa Nakshi na aliyewahi kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Dk. Rafael Chegeni.

Hivi Karibuni Dk. Chegeni aliteuliwa katika teuzi za moja ya nafasi kuwa mkuu wa mkoa wa Mara na baadaye jina lake kuondolewa.

Dk. Chegeni ameamua kucheza kamari ndani ya CCM kujaribu kwa mara nyingi kama alivyofanya kwa Lowassa na kushindwa wanaimani safari hii wataweza kwa kuwa wana uzoefu.

Mara kadhaa Dk Chegeni amekuwa akinukuliwa kuwa “Watafanya kila wawezalo kuleta Utata kuwe na maridhiano kwa kuhakikisha mgombea wanayemtaka katika uchaguzi wa 2025”

Katika Nukuu nyingi Chegeni ametoa hoja kwa Mpina na Lusinde kabla ya uchaguzi mkuu kuna maelekezo wanapaswa kusimamia yaingizwe kwenye katiba kufanyika kwa mabadiliko kwa kuruhusu mgombea binafsi.

Luhaga Mpina
Mbunge wa Kisesa amenukuliwa kwa kinywa chake akisema kuwa atatumia nguvu zake zote kuhakikisha kuwa kundi lake linapata ushindi, lengo la sasa ni kuhakikisha wanatengeneza kundi kubwa lenye ushawishwi wa Wananchi kupitia mgombea binafsi.

Kitila Mkumbo
Katibu wa kundi la matokeo chanya”. Ameeleza msimamo wake wa kumuunga mkono Majaliwa na kueleza ni kitendo cha kiungwana na ni suala la kikatiba ni Uhuru wa mawazo kwa kila mtu kusema chochote na ndiyo msingi wa demokrasia.

Kuna taarifa kuwa tayari kuna Vijana wa “matokeo chanya” wametumwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ni pamoja na Meatu, Makete, Karatu, Bariadi, Busega, Karagwe, Bunda, Kasulu, Mpanda, Masasi, Ruangwa, Kibondo, Kilolo na Rungwe.

Mshauri wa Timu ya matokeo chanya mwenyekiti wa kamati ya Amani ya madhehebu ya Dini, Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Juma Mussa ndiye anayetumika kuwashawishi viongozi wa dini kumuunga mkono “Majaliwa” katika harakati zake za kugombea.
Maji hupwa na kujaa, dhoruba huibuka na kufanya yake, mwisho wa siku maji hurejea kwenye usawa wake

Mungu inusuru Tanzzania dhidi ya wenye nia ovu kupitia madaraka
 
Ccm kuwa na Makundi Ni sehemu ya utaratibu wao so sioni pointi Ni ipi hasa?
 
Wenye jicho la tatu, na sauti kuu itakayo mbali Sana ,tuna sema wanapoteza mda tu, Hata waje na makundi 100 so far matarajio yao ni kupitia ccm wanapoteza mda.

Lipo neno Mtandao limekua likitamalaki Sana, ipo siku watafanana na wale waliowahi fanya jitihada ya kutafuta rupia ya mjerumani

Wale huanza na mtandao na ushirikiano mkubwa ila katikati ya safari huvurugika KWA kitu kidogo tu, na kutawanyika ,ccm Mungu atawatawanyisha Kama kondoo walio kosa mchugaji , mpaka watashangaa, maana hawana kibali tena, na hakuna wa kibadili hili, nasema Hata zipigwe kura leo ziwekwe pale wakiiba watazitapika kila mmoja KWA wakati wake na ushiriki wake kwenye wizi ,twende tu si tupo
 
Siyo siri tena ndani ya CCM kuna kundi linaitwa “Matokeo Chanya”

Ambalo linaundwa na viongozi waandamizi wa awamu ya tano wa Serikali na chama, Kiongozi wao Mkuu ni Kitila Mkumbo, Katibu ni Mwita Waitara akisaidiwa na Mpina na Lusinde.

Hawa wanasema ndiyo wenye Kulinda Legacy kwa maslahi ya Biashara ambazo zilikuwa uncompleted. Kifupi wametengeneza kundi litakaloingia kwenye uchaguzi 2025 kama ikishindikana iwe 2030.

Mfumo huo umewekwa Nakshi na aliyewahi kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Dk. Rafael Chegeni.

Hivi Karibuni Dk. Chegeni aliteuliwa katika teuzi za moja ya nafasi kuwa mkuu wa mkoa wa Mara na baadaye jina lake kuondolewa.

Dk. Chegeni ameamua kucheza kamari ndani ya CCM kujaribu kwa mara nyingi kama alivyofanya kwa Lowassa na kushindwa wanaimani safari hii wataweza kwa kuwa wana uzoefu.

Mara kadhaa Dk Chegeni amekuwa akinukuliwa kuwa “Watafanya kila wawezalo kuleta Utata kuwe na maridhiano kwa kuhakikisha mgombea wanayemtaka katika uchaguzi wa 2025”

Katika Nukuu nyingi Chegeni ametoa hoja kwa Mpina na Lusinde kabla ya uchaguzi mkuu kuna maelekezo wanapaswa kusimamia yaingizwe kwenye katiba kufanyika kwa mabadiliko kwa kuruhusu mgombea binafsi.

Luhaga Mpina
Mbunge wa Kisesa amenukuliwa kwa kinywa chake akisema kuwa atatumia nguvu zake zote kuhakikisha kuwa kundi lake linapata ushindi, lengo la sasa ni kuhakikisha wanatengeneza kundi kubwa lenye ushawishwi wa Wananchi kupitia mgombea binafsi.

Kitila Mkumbo
Katibu wa kundi la matokeo chanya”. Ameeleza msimamo wake wa kumuunga mkono Majaliwa na kueleza ni kitendo cha kiungwana na ni suala la kikatiba ni Uhuru wa mawazo kwa kila mtu kusema chochote na ndiyo msingi wa demokrasia.

Kuna taarifa kuwa tayari kuna Vijana wa “matokeo chanya” wametumwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ni pamoja na Meatu, Makete, Karatu, Bariadi, Busega, Karagwe, Bunda, Kasulu, Mpanda, Masasi, Ruangwa, Kibondo, Kilolo na Rungwe.

Mshauri wa Timu ya matokeo chanya mwenyekiti wa kamati ya Amani ya madhehebu ya Dini, Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Juma Mussa ndiye anayetumika kuwashawishi viongozi wa dini kumuunga mkono “Majaliwa” katika harakati zake za kugombea.
Watasalitiana wao kwa wao wala hawana issue
 
hivi mnamkumbuka Joyce Wowowo? mnakumbuka watu waliokuwa wanatoa fedha kumtazama?
je mnafikiri kizazi hiki kinastahili kumtazama tena Joyce Wowowo?
lakini CCM bado wanaweza kumtazama na kumsifia.

CCM hata wafanyaje hawana uwezo wa kuwatoa Watwana walioamua kuwatumikia ili waile nchi na wao wakiwasemea.
na hii inatokana na ukweli kwamba CCM hakuna watu wengi wanaotumia akili katika kufanya jambo.
maono yao yanatazamwa na wazee wa chama na kizazi chao ili waendelee kutawala na kuwa na nguvu kubwa ya uchumi katika familia zao.
hao watazungukana kisha watarudisha mpira kwa kipa na kipa atapanga timu upya kwa kadri ya maslahi yake.
 
Back
Top Bottom