Sio kwa dongo hili!!

Sio kwa dongo hili!!

Sasa uko na mtu ambae anayaona maisha yako halisi alafu anakuomba iphone6+ sijui, wakati huo unaishi kwenye nyumba ya kupanga, hivi huyo utategemea akushauri kununua hata kiwanja!! Inabidi ujiongeze mwenyewe.
It's true bla kujiongeza litakula
Kwako mazma

Hawa wa I phone 6
Hawez hata kukushaur ufanyej ili
Utoke kwny pango ulilopanga

Mwny upendo wa dhat n yule
Atayekushaur jins
Unavotakiwa kuinuka
Ulikokaa na kutembea
Ukisonga mbele kwa aman
 
ha ha ha ha vip sasa wa kwako tayar kashaandaliwa au ulimuandaa mwenyewe kabisa iila huyu akuuza mifuko ya cement?

Mkwe bwana!! huyo ninaemuandaa akiuza mifuko ya simenti namchapa kama mwanafunzi wangu lol(kidding).
 
Hata sisi wanawake huwa tunaangalia pia, mwanaune unakaa nae ukisikiliza plan zake unaona kabisaa anahitaji msaada wa mawazo asonge mbele huyu hata asipokuwa wangu basi aje awe mume bora kwa mwenzangu ambae atakuwa amejaaliwa, ila sasa kila ukihangaika holaaaa!! Chaah unaona tu taabu yote ya nini! Ngoja nijikate nami nikamuandae wangu huko.


Unakuta unapgia tu mbuz
Gtaa na hai dance
 
It's true bla kujiongeza litakula
Kwako mazma

Hawa wa I phone 6
Hawez hata kukushaur ufanyej ili
Utoke kwny pango ulilopanga

Mwny upendo wa dhat n yule
Atayekushaur jins
Unavotakiwa kuinuka
Ulikokaa na kutembea
Ukisonga mbele kwa aman
Ni kweli kabisa, ila kwa haya mapenzi yetu ya kuviziana ni kukamuana tu. Ukiishiwa nahamia kwa mwenye nazo uhangaie mwenyewe huko.

Ila shida inakuja pia kwa mtu anayekuthamini kiasi cha kujitoa kuhangaika kuhakikisha unasonga mbele je wewe unamthamini vivyo hivyo? It has to be an effort of both of you.
 
Well said but wanawake sikuizi wanahitaji already developed guy ndo wazee sasa to build with a man from nothing to something ts too rare ila wacha nijipange ntarudi baadae
 


Unakuta unapgia tu mbuz
Gtaa na hai dance

Yaani acha tu, yaani kama mtoto vile unamwambia usichezee matope anakuchekea tu, ukiingia ndani ukirudi unamkuta ndio kajichafua zaidi. Sasa bora hata mtoto utamkaripia kidogo astuke!!
 
Well said but wanawake sikuizi wanahitaji already developed guy ndo wazee sasa to build with a man from nothing to something ts too rare ila wacha nijipange ntarudi baadae
Hata wanaune wanahitaji ready made women pia, hakuna anaetaka shida ujue.
Ila tuwe wakweli most men wanaoa wakiwa kawaida tu then wanakuja kufanikiwa baadae kwahiyo wanawake bado wapo wengi tuu waliotayari kujengana na mwenzie.
 
mmmh jumapili ya leo kwel ina upako naona tunakwenda vizur kabisa na mkwe wang

Subiri j3 ianze ndio utaisoma namba.
Enjoy the moment while it lasts.
 
Big up Malema,nimejifunza kitu hapa,umasikini wetu unachangiwa na papuchi zaidi bora hii biashara ingeachwa huria kama pale Sudan, buku 5 off you go
 
Ni kweli kabisa, ila kwa haya mapenzi yetu ya kuviziana ni kukamuana tu. Ukiishiwa nahamia kwa mwenye nazo uhangaie mwenyewe huko.

Ila shida inakuja pia kwa mtu anayekuthamini kiasi cha kujitoa kuhangaika kuhakikisha unasonga mbele je wewe unamthamini vivyo hivyo? It has to be an effort of both of you.
Haa haa haa hapo
Kwmy.kuviziana kila mmoja
Anavizia chake sasa cjui n yupi
Atawah kummaliza mwezie

Maana nyie mwavisia walet
Ikikata haoooooo
Mme pita kushoto kama umeme

Na cc tunavisia kupata papuch
Kitambo tuipate na tumeswet co
Kidogo tukiipata na cc haooo
Walet icje ikawa flat

Hapo kuthaminwa sasa mhhh
N.mtihan maana unaemthamin
Unamuonesha kila kitu
Kumaanisha unajitaji life la
Kuish nae

Lakin sasa unakata tamaaa
Pale unapoona responsi
Yake kwako n ziroooo

Hapo ndo unajua kupaka
Upepo.rangi co kaz rahis
 

Yaani acha tu, yaani kama mtoto vile unamwambia usichezee matope anakuchekea tu, ukiingia ndani ukirudi unamkuta ndio kajichafua zaidi. Sasa bora hata mtoto utamkaripia kidogo astuke!!
Kabisaaaa maana kidogo aogopa

Sasa mtu.mzma mwenzio
Ndo unakuta hata hana habar
Alilolipanga kwny ubongo
Wake ndo hlo hlo halibadilik
 
Haa haa haa hapo
Kwmy.kuviziana kila mmoja
Anavizia chake sasa cjui n yupi
Atawah kummaliza mwezie

Maana nyie mwavisia walet
Ikikata haoooooo
Mme pita kushoto kama umeme

Na cc tunavisia kupata papuch
Kitambo tuipate na tumeswet co
Kidogo tukiipata na cc haooo
Walet icje ikawa flat

Hapo kuthaminwa sasa mhhh
N.mtihan maana unaemthamin
Unamuonesha kila kitu
Kumaanisha unajitaji life la
Kuish nae

Lakin sasa unakata tamaaa
Pale unapoona responsi
Yake kwako n ziroooo

Hapo ndo unajua kupaka
Upepo.rangi co kaz rahis
Kwakweli lazima iwe two way traffic, ila kama malengo ni kukukamua waiii unakamuliwa tu then utabaki na shida zako mwenyewe. Na wakamuaji ni good pretenders yaani kitambo ugundue ushaliwaaa!
 
Back
Top Bottom