Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,203
- 4,111
Shangaa unapanga kama unampangia mzazi kumbe mwanamke hata si mkeoFor sure, mwanaume anayejitambua hawezi pata taabu.
Shangaa unapanga kama unampangia mzazi kumbe mwanamke hata si mkeoFor sure, mwanaume anayejitambua hawezi pata taabu.
Iko hivi, ni kijana mwenye kazi ya kawaida tu na mshahara wa kawaida tu ila hana plans kabisaaa, yeye ni kuspend tu.Kwahyo hapa ulikua unakula misumar au milango na madirsha?
Thats good to heear naona busara zako kama old wine the more the age the better the taste.
Wanawake wanatudumaza akili kweli yani ukiamka asubuhi unaanza fikiria leo nimwandalie buku 3 ya bando,hela za soseji soseji na baga,kilevi,apo ukitaka mzigo uandae pesa ya lodge kuja gheto hawatakagi eti hawafeel comfortable yani mapicha picha tu huwezi pata mtu akakwambia hata ununue kakiwanja ujenge wao kufuatiloa latest smartphones tu na misuko mipya ya nywele mwisho wa siku km unakaa nyumba kodi laki mwenyewe utatafuta chumba cha elfu30 sinza
Kuna msemo wa kiingereza kwa kiswahili unamaanisha nyuma ya mafanikio ya mwanaume,kuna mwanamke lkn siku hizi kufeli kwa mwanaume kuna mwanamke nyuma yake,
Then mbaya zaidi siku hizi wanaenda hata kwa waganga wa kienyeji kuhakikisha kidume hachomoki kwa namna yoyote ile hata km huna pesa unajikuta unakopa kopa tena madau ya ajabu ajabu tu ili utimize mahitaji ya demu tu
Iko hivi, ni kijana mwenye kazi ya kawaida tu na mshahara wa kawaida tu ila hana plans kabisaaa, yeye ni kuspend tu.
Nikamshauri awekeze anunue kiwanja, cha ajabu akachukua mkopo ndio akanunua kiwanja na nyingine akanunua gari, shughuli ikawa kujenga.
Nikamshauri abane matumizi ili aanze hata msingi, ila wapiiii, mwisho na gari lenyewe akaliuza, kwakuwa alikuwa na kawaida ya kunitumia hela kila mwisho wa mwezi nikaamua kutokuzitumia pesa zile na kuziweka, baada ya miezi 4 nilimnunulia mifuko 20 ya simenti ili angalau apate motivation ya kujenga!!
Baada ya mwezi nakwenda nakuta na simenti yenyewe kauza![]()
![]()
Eti alipatwa na shida ya pesa, kiruuu nikanawa mikoni nikasepa.
Ameuza mifuko ya cemnt wakat kiwanja alikua nacho dah kwel kuna watu wanajua kuchezea bahat aisee
nweis kashachezea bahat sasa hakuna namna nyengne zaid ya kujutia alichokifanya
was best decision kumuacha na ujana wake aendelee nao hvyo hvyo kwa maana otherwise mngezama wote kwenye umasikin
leo unazungumza busara sana this comes from the heart
Ni kweli, google farewell speech ya Barack Chicago, usikilize anapomuongelea Michelle. Kwamba haikuwa jukumu yake, lakini ilipobidi na kujikuta katika mazingira aliyowekewa au kusababishwa na Barack, alibeba majukumu kana kwamba Yeye ndio aliyeyataka.I see!!
Kwahiyo Obama mwenyewe was daring ndio maana akafika pale alipofika, kwahiyo uonyeshe nia kwanza then mwenzio akusaidie. Lakini pia unaweza ona potential ya mtu ukamsaidia kuifuata.
Oooh! Ila bora alibadilika na kuwa supportive hata hiyo support yake ilisaidia kumfanya Obama asonge mbele zaidi.Ni kweli, google farewell speech ya Barack Chicago, usikilize anapomuongelea Michelle. Kwamba haikuwa jukumu yake, lakini ilipobidi na kujikuta katika mazingira aliyowekewa au kusababishwa na Barack, alibeba majukumu kana kwamba Yeye ndio aliyeyataka.
Honestly kuna msemo walimu huwa ni wake wazur sana![]()
![]()
![]()
![]()
Just emagine!! Nina mashaka hata na kiwanja chenyewe alishauza, maana gari lenyewe hata hakuwa na matumizi nayo maana kazini kwenda na kurudi kuna gari la kazini, niliongea akanijibu tatizo walimu tumezoa shida,nikachoka!!
Kuna watu mkwe kuwanyoosha inahitaji ujitoe hatari na wakati mwingine unaweza usifanikiwe kabisa, malezi nayo yanachangia. Kama hakulelewa kuwa mwanaume basi huo ni mzigo wa mke.
Honestly kuna msemo walimu huwa ni wake wazur sana
kuweka hela kila mwez na kuamua kununa mifuko ya cement hapo ulikua na roho ya kijasir sana kwa jinsi ya dunia ya leo ilivyo.
Atlist angenunua bas gar ya biashara kama ofisn kulikua na gar ya kwenda nayo
Jamaa aliamua mwenyewe kuchezea bahat n he will regret the rest of his life
hiv nlikua wapi kuzaliwa zaman na mm jaman enhee mbna kama mshua ana bahat sana?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usisubiri hata uambiwe, take action mwenyewe.
Dah huyo ki ukwel piza na mihogo amekula mwenyewe wala hana wa kumsingizia kwa kwel.![]()
![]()
![]()
![]()
Hamna mkwe wakati mwingine unamuhurumia tu mtu aina ya maisha anayoishi alafu kumbe yeye mwenyewe hajihurumii hata kidogo.
Sasa uko na mtu ambae anayaona maisha yako halisi alafu anakuomba iphone6+ sijui, wakati huo unaishi kwenye nyumba ya kupanga, hivi huyo utategemea akushauri kununua hata kiwanja!! Inabidi ujiongeze mwenyewe.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kabsaaa
Maana yy akija shida yake
Kupendeza tu
Hata sisi wanawake huwa tunaangalia pia, mwanaune unakaa nae ukisikiliza plan zake unaona kabisaa anahitaji msaada wa mawazo asonge mbele huyu hata asipokuwa wangu basi aje awe mume bora kwa mwenzangu ambae atakuwa amejaaliwa, ila sasa kila ukihangaika holaaaa!! Chaah unaona tu taabu yote ya nini! Ngoja nijikate nami nikamuandae wangu huko.Dah huyo ki ukwel piza na mihogo amekula mwenyewe wala hana wa kumsingizia kwa kwel.
ha ha ha ha vip sasa wa kwako tayar kashaandaliwa au ulimuandaa mwenyewe kabisa iila huyu akuuza mifuko ya cement?Hata sisi wanawake huwa tunaangalia pia, mwanaune unakaa nae ukisikiliza plan zake unaona kabisaa anahitaji msaada wa mawazo asonge mbele huyu hata asipokuwa wangu basi aje awe mume bora kwa mwenzangu ambae atakuwa amejaaliwa, ila sasa kila ukihangaika holaaaa!! Chaah unaona tu taabu yote ya nini! Ngoja nijikate nami nikamuandae wangu huko.