Sio kwa dongo hili!!

Sio kwa dongo hili!!

Kabisaaaa maana kidogo aogopa

Sasa mtu.mzma mwenzio
Ndo unakuta hata hana habar
Alilolipanga kwny ubongo
Wake ndo hlo hlo halibadilik
Yaani ni kazi kweli, utajikuta unakata tamaa tu.
 
Mamayangu. Mfuko wa Cement SA ni zaidi ya elfu 20!? Wajuzi tuambieni, mfuko wa Cement SA una uzito gani?


We unadhani maisha ya SA ni kama ya Bongo????

Pasikie tu

In short msosi unaonunua 2000 kule ni zaidi ya 9000.

Kutoka makumbusho to posta unalipa 400 SA kwa umbali huo utalipa 3500 mpaka 4000.

Pasikie tu rafiki
 
Eeeh mama.unanunua pizza unalia lia.mwanamke mwenzake pesa.ndo maana nimeamua kuwa single.

Jifunze kuishi uhalisia wako, fanya kilichopo kwenye uwezo wako na uwe na msimamo na mwanamke wako atatambua kuwa mwanaume wangu uwezo wake ni wa miogo ya kuchoma na ataheshimu hilo.
 
Yaani ni kazi kweli, utajikuta unakata tamaa tu.
Yaap lakin huishii hapo
Bdo utajarbu kwnygne kama
Utafanikiwa ikiwa yabid
Ujikaze lakin maana

Sasa unakuta yote 9,10
Lazma umpate wako wakuongeza
Nae dunia tuzd kuwa wengi

Kama tulivoambiwa tuje duian
Tuijaze dunia
 
Yaap lakin huishii hapo
Bdo utajarbu kwnygne kama
Utafanikiwa ikiwa yabid
Ujikaze lakin maana

Sasa unakuta yote 9,10
Lazma umpate wako wakuongeza
Nae dunia tuzd kuwa wengi

Kama tulivoambiwa tuje duian
Tuijaze dunia
Hapo pa kumpata wako ndio penye shughuli mkuu.
 
Hapo pa kumpata wako ndio penye shughuli mkuu.
Eeeeeh hapo mtu husali sala
Zote mkuu

Maana kuish na ulikutana nae
Ukubwan af hata co ndg yako

N shuhuli pevu kwakweli

Maana itakubd ukubali
Kuvumilia yote atakayokosea
 
Eeeeeh hapo mtu husali sala
Zote mkuu

Maana kuish na ulikutana nae
Ukubwan af hata co ndg yako

N shuhuli pevu kwakweli

Maana itakubd ukubali
Kuvumilia yote atakayokosea
Ndugu tu hufikia hatua wanashindwana na kutimuana!!
 
Back
Top Bottom