Kuingia katika siasa kwa Barack, ni pale alipoamua kugombea uState Senate wa Illinois, na aliamua kushindana na aliyekuwa akishikilia hicho kiti, mweusi na alikuwa maarufu. Waligombana na michelle juu ya uamuzi huo ila alilazimisha, akagaragazwa vibaya sana, na aliishiwa kifedha pia.Hebu fafanua zaidi mkuu maana tunaaminishwa kuwa bila Michelle Obama asingekuwa raisi.
ha ha ha ha ha hcho kimewagusa chezea piza weweYaani acha kabisa, kaujumbe kanachomaaa!
ha ha ha ha kwahyo mkwe wewe level zako sio za mfuko wa cemnt ni za bundle moja ya bati enheee?Mie hakinihusu![]()
![]()
maana kati ya vitu vilinishinda kula ni hicho.
Wewe wasema.Duuuh!! Kwahiyo sisi ndio mchwa![]()
![]()
mihogo ya kukanga enhee?![]()
![]()
![]()
![]()
Level zangu za kilo moja ya misumari.