Sio kila Mhaya ana dharau

at least weye umekubali kweli mna misifa wengine wanabisha mpaka tumefikia hatua ya kutafuta beyond tuonyeshane Kyenju unaona mwenzio anavyojielewa?
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa yangu wa Musoma aliwahi kukaa Bukoba akasema muhaya anajisifia amesoma mpaka mbwa wake amesoma yaani "nkashoma ne mbwa yange yashoma naigambira mbwa yeisiza nayeta dog yagamba wou" Hapana chezea nshomile no shiiiiiida!


Hhahaaaasw, wanyita mwana wa mae ne kisheko..
 

Umenikumbusha Ngware aisee alikuwa anakuja na maji chupa ndogo ya Kilimanjaro anaanza ku-brag kwenye lecture kuwa kayanunua Kilimanharo Hotel by then...ila Mukandara haikuwa haba pia ...nakumbuka siku moja kaja na m-chenu wa gold mnene shingoni basi muda wote anavuta shati ili tuone madini na kutupa stori za kupanda ndege akiwa siti moja Jerry Rawlings alikuwa president wa Ghana by then..nakumbuka aki-brag na VX yake
 
Kama nimekusikia vizuri...nimesikia ukithibitisha kuwa wahaya wanazo hizo chembechembe za majivuno

Yap, kama aina ya maisha yao inatafsırika kwa wengne kuwa ni dharau, majivuno au kingne chochote ni sawa tu wala hawatakıwi kujitetea mbele zao.Hawatakiwi pia kubadilika mana kufanya hvyo wanajigeuza watumwa wa maisha ya wengne.Lazma binadamu ujikubalı na kujiamini kwa jinsi ulıvyo.Waafrika tuko hvyo.Kwa kuwa Mzungu anawafananisha Waafrika na nyani basi utawakuta Waafrika wanajichubua ile wawe Wazungu(haiwezekani).Mwafrika anadırıki kubandika nywele na nyuzi za bandia alimradi aonekane Mzungu(Utumwa).Wahaya bakn hvyohvyo,hakuna cha maana utapata toka kwa mswahli,wanabwabwaja na hyo ndo nature yao.
 
sio kila msomalia ni gaidi; kwahiyo kwamawazo kama hayo ya kuwaza kuwa kila mhaya ni mtu mwenye sifa au dharau itakuja iwapeleke pabaya ikiwemo na kukimbia baraka na pia kutopata ushauri na msaada katika maisha; hii hutokea pale mtu unakutana na huyo aliye kwa jamii unayoichukia na kipindi apendapo kukusaidia, wewe hutokubali kukaa na kufikiria maendeleo, yote kisa mawazo potofu; na ndio maana mnalalamika kuwa nchi haiendelei kumbe hii hutokana na chuki baina ya watu.
 
Wahaya hawana majivuno ila wengi uwa wana inferiority complex mbele ya Wahaya,na hiyo ndiyo ina breed yote mnayoyasema juu yao:

CAUSES OF INFERIORITY COMPLEX:An inferiority complex occurs when the feelings of inferiority are intensified in the individual through discouragement or failure. Those who are at risk for developing a complex include people who: show signs of low self-esteem or self-worth, are of ethnic minority, have low socioeconomic status, or have a history of depression symptoms. Children reared in households who were constantly criticized or did not live up to parents' expectations may also develop this. Many times there are warning signs to someone who may be more prone to developing an inferiority complex. For example, someone who is prone to attention and approval seeking behaviors may be more susceptible. Also, children raised in families where everything is done for them, who have developed what Adler called a "pampered lifestyle". These individuals have developed a form of learned helplessness and are unable to overcome the problems of life without assistance. According to Adler "Everyone (...) has a feeling of inferiority. But the feeling of inferiority is not a disease; it is rather a stimulant to healthy, normal striving and development. It becomes a pathological condition only when the sense of inadequacy overwhelms the individual and, far from stimulating him to useful activity, makes him depressed and incapable of development.

“Sometimes people hold a core belief that is very strong. When they are
presented with evidence that works against that belief, the new
evidence cannot be accepted. It would create a feeling that is
extremely uncomfortable, called cognitive dissonance. And because it
is so important to protect the core belief, they will rationalize,
ignore and even deny anything that doesn't fit in with the core belief.” Frantz Fanon:Black skin white mask
 

Wewe una upeo mkubwa wa jamii na umeenda shule.
 
Wahaya ndo wanaongoza kwa ubaguzi, nilisoma chuo kimoja cha ufundi pale kagera asilimia 95 ya waalimu ni wahaya na kwa wanafunzi vilevile, kiukweli walikuwa wanatubagua mno kiasi kwamba hadi adhabu zinatolewa kibaguzi
 
Hahaaa! Wakilewa wanakuwaje mkuu?

We mwambie anajua kupiga pamba, halafu gari lake babkubwa, lina nguvu na halafu mademu wanamzimikia.

..............utasikia ..waiter....lete hapa na hapa UMENIELEWA?
 
Muhaya aliyeishia nursery school ataweza kujisifu hata we mwenye PhD ukaonekana hujasoma
 
Dharau na majivuno wanayo saana tofaut na makabila mengine, nilipangaga frem za muhaya aliyefilika yeye alikuwa na pesa zaman na ni msomi hatari mh mbona nilikoma
 
Samahanini nimechelewa kuchangia hii thread maana nlikua busy kwenye shughuli za mazishi, by the way sijisikii kuchangia ila wahaya mmezidi sana. Sipati picha hii nchi wachaga wasingekuwepo sijui ingekuwaje pengine mngetukana watanzania wote.
 
Mh. Kanji Lugola alisema Bungeni kuwa MHAYA kama ana hela utamuona tu!!!! Hawajui kuficha au kukaa kimya.

Wana utajiri wa kushindani magari ya Bei mbaya. Lakini hawsaidii ndugu zao kama wachagga.
 
Itawacost sana hiyo,MNA negativities sana na mtabaki kuumia na kujiumiza kisaikolojia daima,mlaumuni Mungu kwamba uliwaumba vibaya ili alete mtakaowapenda nyie
 
Mh. Kanji Lugola alisema Bungeni kuwa MHAYA kama ana hela utamuona tu!!!! Hawajui kuficha au kukaa kimya.

Wana utajiri wa kushindani magari ya Bei mbaya. Lakini hawsaidii ndugu zao kama wachagga.

Kumbe hawasaidii ndugu zao? sasa mbona mnasema kila sehemu wanajazana wao sasa? mbona mnajichanganya? mbona unalalamika ulisoma nao wakakutenga,INA maana basi wanatangulizana wao which means wanasaidiana itabidi we we usubiri waishe... wapigie salute hats kama unaw chuku nao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…