Sio kila Mhaya ana dharau

Sio kila Mhaya ana dharau

Huna ujasiri wa kuwakataa wahaya make wana sifa zote za kuwa-care wanawake. Na kwa posts zako nyingi hapa jf unaonekana(ga) we ni mala.ya tu mtafta fedha huna jeuri ya kuwakataa wahaya wazee wa kutumia... hahahahaha... iwe bojo nitumie sms ushinde mihela.

Hela ya muhaya naila bila hata kumpa papuchi..wahaya misifa ya kijinga hamna jipya nyie
 
Haya ni mawazo yako yanayotokana na kutofikiria kwa umakini ...ukiambiwa utoe ushahidi ni nani na wapi na lini ilitokea huwezi thibitisha ila unafuata mkumbo kwa sababu picha ipo tu mtandaoni

Wewe unabisha bure tu, inaonekana ubishi ni jadi yako. Sisi wahaya ndio tunawajua, na tunashirikiana nao katika mambo mengi sana. Lakini kwa hilo, kwa kweli mmezaliwa nalo. Ndio maana kwa wanaume wanaooa wahaya huwa tunawaonea huruma sana, na wengi wao kama sio wote huwa baadae wanajuta sana. Hamchanganyiki kabisa. Tunaishi na nyie mashuleni, kazini e.t.c tunawaona
 
Mm ninaamini kwamba makabila yote yanadharau na hii inatokana na mtu mwenyewe. Mm nimekaa na msukuma, nikiwaeleza alivyo mtashangaa. Mhaya hana dharau sema mmeshajiwekea hiyo na haitowasaidia. Dharau, kiburi, kujisifu ni mjitabia ya mtu by nature. Tupo pamoja?
 
Naandika hivi nikiwa na masikitiko makubwa sana juu ya ukabila unaoota mizizi hasa katika kipindi cha hvi karibuni ndani ya nchi yetu! Hivi karibuni aliyekuwa Waziri wa nyumba na makazi mama Tibaijuika alikaririwa akisema MILIONI KUMI NI KWA AJILI YA MBOGA!

Kwa kweli hii ni dharau kubwa sana; lakini hoja yangu ni kuhusu maneno yanayoendelea kwenye mitandao mbalimbali ikiwahusisha wahaya wote na huyu MTU! Kimsingi hili jambo linanikera sana maana ni kuendekeza ukabila na ubaguzi kwani mtu mmoja hawezi kuwa KIGEZO cha kuwaamulika watu wote wa jamii husika!

Bila shaka ninyi ni mashahidi juu ya kauli nyingi zilizowahi kutolewa na watu wa aina mbalimbali hasa viongozi lakini hazikuhusishwa na ukabila! Tafadhali epukeni ukabila kwani ulileta madhara makubwa Rwanda & Burundi pamoja na Kenya! Ni hayo tu kwa Leo..

Kuhusu dharau mi nadhani ni tabia ya mtu mwenyewe! wala havihusiani na kabila lake.Mbona mimi nimekutana na Wahaya wengi na wamenisaidia vizuri tu!.wapo wahaya wazuri sana,na wengine ni tabia zao tu! km ilivyo kwa makabila mengine kwamba yana wema na wabaya.
 
Makabila makubwa ni lazima yazungumziwe kwa maana yana vitu vingi pia na yanatumia influence yao kudominate vidogo ambavyo kimsingi haiwezekani vikapenda hari hiyo,vitajaribu kuwasema ilimradi tu vinasema lakini huo ndo ukweli.Wahaya wengi wako vizuri tena wanatisha na hata mkoa wao Kule hakunaga jua wala joto,wana vyakula wanakula wanashiba kila siku Victoria na maroli yanabeba matani ya ndizi kwenda masokoni ,sasa kwanini mnataka wajione wanyonge? msifuni bwana kama Amekupa na unavyo na wala usione aibu watu kuona in vitu gani Mungu alikupa,kwani so hata yeye anajua unavyo na ndo vipawa vyake kwako? vitumie!

Hii inadhihirisha misifa ya wahaya
 
Si kwa mapenzi kwa kuwapa masifa ya kijinga

Am proud to be haya, siwez kujifnya mchaga kufa njaa una laki mfukoni, wahaya ni watu makini sana, sikatai kuna wenzetu wanazo sifa kama yalivyo makabila mengine, kwa wale mliosoma UDSM mtakubali hili, nan anamkumbuka prof S. Ngware, yule jamaa zile sifa sijui hata nizielezeje lakini vp VC prof Mukandala? Jamaa huwezi jua hata kabila lake labda jina ndo litakujulisha! Wahaya wengi wanaipenda shule na shule inawependa.
Fkiria umeenda kwenye taasisi fulan unakuta kuanzia mfagizi mpk meneja wote kabila lako why usifeel proud of that maisha ndo yalivyo, ubaguzi na vnavyofanana na ivyo mimi naamin ni tabia ya mtu aisee.
Kipindi niko chuoni nlikuwa naskia wachaga wanavyoifaglia moshi nkajua hata mwanza kwetu aigusi kwa moshi, nilijua ni zaid ya new york nilivyofka dah nlishangaa mno, mji wa hovyo watu wanalima mjini, nkaikumbuka bukoba na wahaya wake, nkapta picha kumbe wenzetu nao wana proud balaa
Nkijuacho mm wachaga na wahaya wanatofautiana vtu vdogo mno
Km ubaguzi wachaga pia wamo, hakuna mchaga wa ukwel ambaye anaweza taka kuoa asiende oa mchaga mwenzie kama ilivo kwa wahaya, ingawa binafsi i will go for chagga, huo pia ubaguz
Wote chaga vs haya wapenda pesa balaa, wasichana wa huko wote cheap vibaya, wenzetu receptn na weupe bt sisi maumbo mazuri na miguu ya bia, wadada wa kichaga nawajua wahaya pia wote full proud na dharau za hapa na pale bt hakn anaejua whats Love btn them,
Wote wanajivunia makabila yao balaa, no mchaga no mhaya asiyejikubal,
Wote xmas kurud vijijin kunywa mbege, wengine kunywa Lubisi, kula mandizi na kadhalika
Wote goigoi ilo utabisha bt ndo ukwel.
Wote shule wako safi uchumi wa nchi hii na unyeti wake chaga vs haya ndo mpango mzima ingawa wenzetu pia wana element za kibiashara zaidi, wako kimaisha zaidi sio kufkiria kuuza NYAPU buguruni na manzese nadhan nmeeleweka.
Hapo nimetaja vtabia vichache bt yapo mengi ya ndani izi kabila mbili wanashare
Juc why mwalimu aliweka wazi kuwa izi kabila mbili hazifai kuongoza nchi hii instead waendlee kuwa watendaji nahis ndo alichomaanisha!!!!!
Miss Chagga soon naoa mchaga bhana kwan kitu gani, mtandao mbovu ngeweka picha........... si unajua cm za tochi zmerudi
Jamani tukubali hata mr Misifa + Misifaz camp sio wahaya.....!!!!
Naomba kuwasilisha
 
Dada zao fullu kutuuzia vitu vyetu kwa bei chee.

Wewe ndiyo mpumbavu kama unatoa hela yako kulipia uchi na kulamba kinyesi na haja za binadamu.Nani mjinga katı unayelipa hela ule uchafu na anayeliwa uchafu wake?
 
Infwaakti....Ukweli ni kwamba majority wanabeba hizo chembechembe-hai za kujisikia...

Kama kuna Muhaya anajitetea eti kasemwa mitandaoni,huyo ni Muhaya uchwara.Acha watu waseme kwani ndivyo mlivyo na kila mtu na kila kabila lina namna yake.Huwezi badili na haina shda kabsa.Msibadili life style yenu asilani eti kuwafurahisha wapumbavu wasıoijua sosholojia ya binadamu.Mbona wasiwaseme Wazungu,Wahndi,Waarabu ambao wanawaona Waafrika kama tumbıri?Shda iko wapi mtu akikusema au kukutukana na zaidi anaye kusema ni mwehu?Hata kauli ya Anna haikuwa na matatizo sababu yeye ni mhaya na wahaya wako hvyo,angetoa kauli km mtu wa kbıla gani?Hata mtoto mdogo aliyesoma vizuri elımu ya msingi hawezi shndwa kung'amua kuwa mtu akisema hii HELA YA MBOGA kwenye mkhutadha kama alıvyofanya Anna atashndwa kumwelewa.Kukomalia statement hyo na watu ni ishara kuwa jamii yetu bado ina kundi kubwa la watu wenye uwezo duni wa kupambanua mambo.Hyo n lugha na lugha ina namna ya kuitumia.
 
Naandika hivi nikiwa na masikitiko makubwa sana juu ya ukabila unaoota mizizi hasa katika kipindi cha hvi karibuni ndani ya nchi yetu! Hivi karibuni aliyekuwa Waziri wa nyumba na makazi mama Tibaijuika alikaririwa akisema MILIONI KUMI NI KWA AJILI YA MBOGA!

Kwa kweli hii ni dharau kubwa sana; lakini hoja yangu ni kuhusu maneno yanayoendelea kwenye mitandao mbalimbali ikiwahusisha wahaya wote na huyu MTU! Kimsingi hili jambo linanikera sana maana ni kuendekeza ukabila na ubaguzi kwani mtu mmoja hawezi kuwa KIGEZO cha kuwaamulika watu wote wa jamii husika!

Bila shaka ninyi ni mashahidi juu ya kauli nyingi zilizowahi kutolewa na watu wa aina mbalimbali hasa viongozi lakini hazikuhusishwa na ukabila! Tafadhali epukeni ukabila kwani ulileta madhara makubwa Rwanda & Burundi pamoja na Kenya! Ni hayo tu kwa Leo..
wakuu mimi si mhaya ila ngoja nimtete nadhani alimaanisha huwa ananunua mboga kwa kiasi kikubwa hivi hamjui ana shule na kama una shule inabidi mboga unanunua nyingi kwa sababbu wanafunzi wapo wengi , sasa hapo ni kama vile amenunua ng'ombe na maharage na mboga zingine na mara nyingi wananunua kwa wingi ili kuepuka kupanda na kushuka kwa bei.

NB;
mimi nimeelezea kauli ya huyu mama sijaelezea tabia za
wahaya wote kwa ujumla
 
Wanavyowabagua watanzania wenzao utafikiri siyo watanzania.VYOMBO VYA HABARI NDIVYO VINAVYOWAPA KICHWA,na wao kwa kujua hilo VYOMBO VYA HABARI VINAWA-PROMOTE wanavimba kichwa.Sehemu za umma au kwenye mikusanyiko ya watu wanajiongelesha kilugha chao kilichochanganyika na dharau kwa mashauzi meeeeengi.Mbona watu wa Mbeya,Kilimanjaro,Mwanza na mikoa mingine mikubwa hawana hiyo tabia?.Hawa wahaya wangekuwa wengi wangetawala hii nchi kimabavu.

Mtu anaongea lugha yake wewe unaumia???Wewe utakuwa mchawi.Unataka nn?Ni dhambia hata kwa Mungu kujifanya mnyonge na ni unafiki mkubwa.Ninayeongea anaelewa lugha nitumiayo, ya nn wewe upate maumivu?s
 
Kama kuna Muhaya anajitetea eti kasemwa mitandaoni,huyo ni Muhaya uchwara.Acha watu waseme kwani ndivyo mlivyo na kila mtu na kila kabila lina namna yake.Huwezi badili na haina shda kabsa.Msibadili life style yenu asilani eti kuwafurahisha wapumbavu wasıoijua sosholojia ya binadamu.Mbona wasiwaseme Wazungu,Wahndi,Waarabu ambao wanawaona Waafrika kama tumbıri?Shda iko wapi mtu akikusema au kukutukana na zaidi anaye kusema ni mwehu?Hata kauli ya Anna haikuwa na matatizo sababu yeye ni mhaya na wahaya wako hvyo,angetoa kauli km mtu wa kbıla gani?Hata mtoto mdogo aliyesoma vizuri elımu ya msingi hawezi shndwa kung'amua kuwa mtu akisema hii HELA YA MBOGA kwenye mkhutadha kama alıvyofanya Anna atashndwa kumwelewa.Kukomalia statement hyo na watu ni ishara kuwa jamii yetu bado ina kundi kubwa la watu wenye uwezo duni wa kupambanua mambo.Hyo n lugha na lugha ina namna ya kuitumia.

Kama nimekusikia vizuri...nimesikia ukithibitisha kuwa wahaya wanazo hizo chembechembe za majivuno
 
Am proud to be haya, siwez kujifnya mchaga kufa njaa una laki mfukoni, wahaya ni watu makini sana, sikatai kuna wenzetu wanazo sifa kama yalivyo makabila mengine, kwa wale mliosoma UDSM mtakubali hili, nan anamkumbuka prof S. Ngware, yule jamaa zile sifa sijui hata nizielezeje lakini vp VC prof Mukandala? Jamaa huwezi jua hata kabila lake labda jina ndo litakujulisha! Wahaya wengi wanaipenda shule na shule inawependa.
Fkiria umeenda kwenye taasisi fulan unakuta kuanzia mfagizi mpk meneja wote kabila lako why usifeel proud of that maisha ndo yalivyo, ubaguzi na vnavyofanana na ivyo mimi naamin ni tabia ya mtu aisee.
Kipindi niko chuoni nlikuwa naskia wachaga wanavyoifaglia moshi nkajua hata mwanza kwetu aigusi kwa moshi, nilijua ni zaid ya new york nilivyofka dah nlishangaa mno, mji wa hovyo watu wanalima mjini, nkaikumbuka bukoba na wahaya wake, nkapta picha kumbe wenzetu nao wana proud balaa
Nkijuacho mm wachaga na wahaya wanatofautiana vtu vdogo mno
Km ubaguzi wachaga pia wamo, hakuna mchaga wa ukwel ambaye anaweza taka kuoa asiende oa mchaga mwenzie kama ilivo kwa wahaya, ingawa binafsi i will go for chagga, huo pia ubaguz
Wote chaga vs haya wapenda pesa balaa, wasichana wa huko wote cheap vibaya, wenzetu receptn na weupe bt sisi maumbo mazuri na miguu ya bia, wadada wa kichaga nawajua wahaya pia wote full proud na dharau za hapa na pale bt hakn anaejua whats Love btn them,
Wote wanajivunia makabila yao balaa, no mchaga no mhaya asiyejikubal,
Wote xmas kurud vijijin kunywa mbege, wengine kunywa Lubisi, kula mandizi na kadhalika
Wote goigoi ilo utabisha bt ndo ukwel.
Wote shule wako safi uchumi wa nchi hii na unyeti wake chaga vs haya ndo mpango mzima ingawa wenzetu pia wana element za kibiashara zaidi, wako kimaisha zaidi sio kufkiria kuuza NYAPU buguruni na manzese nadhan nmeeleweka.
Hapo nimetaja vtabia vichache bt yapo mengi ya ndani izi kabila mbili wanashare
Juc why mwalimu aliweka wazi kuwa izi kabila mbili hazifai kuongoza nchi hii instead waendlee kuwa watendaji nahis ndo alichomaanisha!!!!!
Miss Chagga soon naoa mchaga bhana kwan kitu gani, mtandao mbovu ngeweka picha........... si unajua cm za tochi zmerudi
Jamani tukubali hata mr Misifa + Misifaz camp sio wahaya.....!!!!
Naomba kuwasilisha

Umenikumbusha Ngware, wakati ule aliponifundisha alikuwa bado ni Doctor lakini majigambo kwa kwenda mbele. Yule jamaa kwa majidai ni nambari one.

Tiba.
 
Mbona wazungu wanawabagua lkn hamsemi???

Kiukweli ni kwamba kila kabila, au taifa lina chembechembe zake za kiasili "cultural values" na kila kabila hapa tanzania linatabia yake ambayo linaitambulisha kwenye jamii nyingne..

Mfano, mgogo utambulisho wake ni uvivu, mhehe ni hasira, watu wa pwan ni kuongea na ngoma nk

Kwa hyo kila kabila lina identity yake
 
Niliwahi kuwa na best friend mhaya wote tukiwa single na apparently mimi nilikuwa na kazi yenye kipato kuliko yeye..tulikuwa hatufichani.Alinitangulia kuoa na infact nilikuwa nimemzidi kielimu pia sasa baada ya kuwowa mke ambaye ni mhaya pia basi mke akaja na mpya ya kumwambia mumewe kuwa mimi sikuwa na level ya kuwa na rafiki kama yeye huku akimshauri mumewe atafute marafiki wafanya biashara wakubwa na watu wenye PHD na kweli since then urafiki wetu uliingia dosari.But namtazama leo miaka kumi baada ye bado yuko anapiga mark time.
 
Back
Top Bottom