Sio kila Mhaya ana dharau

Sio kila Mhaya ana dharau

Sasa umezidisha na hapo unashambulia kwa atomiki, inabidi nao waje na nyukilia.EBU TUAMBIA WEWE KABILA GANI?UNAONA HATA AIBU KULITAJA.

mada ilikuwa haihitaji kutaja makabila...ila mimi mzasu
 
Hii dhana ya kibaguzi ndiyo inayosababisha watu waue albino. Hivi tabia ya mtu yawezekanaje kuwa ya ukoo au jamii? Vile marehemu Komba au Nape angekuwa ni Mhaya sijui ingekuwaje? wale wanao-side kuwa wahaya wanamajivuno wana matatizo ya kiseikolojia.
Mungu awafungue uelewa make mmepotea sana.
 
wahaya mmh, ukiona muhaya haringi huyo ni masikin subiri apate visenti utaniambia. nishawahi kuwa na best friend muhaya kwa miaka sita tulikua tunasaidiana kwa hali na mali ametajirika kama miaka mitatu sasa, duu kila siku nilikua namtembelea mimi, nikaacha kumtembelea ikawa kila siku nianze kumsalimia kwa simu mimi tu, na sasa hata nikituma sms sasa hivi hanijibu,

ndo uache kushoboka
 
Makabila makubwa ni lazima yazungumziwe kwa maana yana vitu vingi pia na yanatumia influence yao kudominate vidogo ambavyo kimsingi haiwezekani vikapenda hari hiyo,vitajaribu kuwasema ilimradi tu vinasema lakini huo ndo ukweli.Wahaya wengi wako vizuri tena wanatisha na hata mkoa wao Kule hakunaga jua wala joto,wana vyakula wanakula wanashiba kila siku Victoria na maroli yanabeba matani ya ndizi kwenda masokoni ,sasa kwanini mnataka wajione wanyonge? msifuni bwana kama Amekupa na unavyo na wala usione aibu watu kuona in vitu gani Mungu alikupa,kwani so hata yeye anajua unavyo na ndo vipawa vyake kwako? vitumie!

hahaha kasinge muno
 
Huna ujasiri wa kuwakataa wahaya make wana sifa zote za kuwa-care wanawake. Na kwa posts zako nyingi hapa jf unaonekana(ga) we ni mala.ya tu mtafta fedha huna jeuri ya kuwakataa wahaya wazee wa kutumia... hahahahaha... iwe bojo nitumie sms ushinde mihela.

unazidi kuwatia hasira wachaga hahaha
 
Inasemekana nyerere alikuwa hawapendi wahaya, wanaojua sababu ya nyerere kutowapenda hao watu atujuze.
 
Back
Top Bottom