Sio kila Mhaya ana dharau

Sio kila Mhaya ana dharau

Ktk umri huu nloishi nimekutana na muhaya mmoja asiye na majivuno,jamaa anaitwa rutta yupo mwadui,jamaa muungwana sana,wengine ni balaa,cjui wanapozaliwa huwa wana nuwiziwa maneno ya kiwa na nyodo?,huo ni ushamba,nadhani ni ulimbukeni na mapokeo toka kwa wazazi
Msiendekeze ujinga huu badilikeni,inawezekana

Daah hata mimi nimekutana naye mmoja sema msichana , mtu wa dini saana(swala tano) yuko poa sana,nashukuru sasa hivi amepata kazi , daah yule msichana mtu atayeoa amempata mke material
 
Hapa tunaelimishana....ebu toa mifano hai ya hzo tabia ulizotaja ili tuweze kuweka jumla kwamba ukitaka kujua utambulisho wa mhaya basi ni hayo uliyoyataja! Usije na mifano ya huko mitaani maana sisi hatuwezi thibitisha...

mfano ukabila ,lile dili la escrow zaidi ya asilimia tisini waliopiga ni wahaya,hivi unafikiri kwa nn makabila mengine hawakusilkishwa
 
Wahaya wana sifa kama majivuno,ubinafsi,kiburi,ubaguzi na nyingine nyingi mjuazo !

TUOMBE MOLA AONDOE ROHO CHAFU KWAO.
 
Wahaya wana sifa kama majivuno,ubinafsi,kiburi,ubaguzi na nyingine nyingi mjuazo !

TUOMBE MOLA AONDOE ROHO CHAFU KWAO.

Sasa unamwombaje Mungu wakati wewe unaamua kama Mungu....una usafi gani hadi uwajudge?
 
Umenifurahisha. Kuna watu hawajui jinsi ya kuishi nao na wanakerwa na misifa yao.

Mimi niko kama wewe, asilimia kubwa ya marafiki zangu ni nshomile na tunakuwa marafiki zaidi ya ndugu kabisa.

Nshomile nawapenda, wako poa hasa wakilewa.

Hahaaa! Wakilewa wanakuwaje mkuu?
 
Eeeeh,kihelehele cha Nyerere kinatukomesha,Iddi amin alitaka ndg zake mkakataa,haya majitu hayafai

Usituite majitu bob..acha usenge wako...!!we kama unahasira nenda kwa tibaijuka umwambie sio unatujumlisha wote..aftal watamzania mmepamic tu..hii nchi wameila watu kibao sema wahaya tumekua mbuzi wa kafara tu.!!hivi nchi hii kun! mtu mwenye ubaguzi kama chenge.??malaya kma jakaya.!!wati kila kitu kibaya ni wahaya tu..hii nchi ni shamba la bibi,watu wanahonga wilaya amsemi lolote kazi kuwasema wahaya..mi hapa nlipo hata hela ya kula mchana sina,ila dili la esrow mmetuunganisha wahaya wote,sio issue..
 
Kumpata mhaya asiye na dharau au kujisifu ni mpaka utumie darubini maalum.
Wahaya wanahitaji maombi kubadilishwa tabia.
 
-nna mshkaji wangu mhaya, mwanzon tulivyofanamiana. nikamwomba namba ya simu enzi izo 2008.. akanijibu
"nikupe ya voda, tigo au airtel.. ipi itakua rahisi na nafuu kunitafuta.. after all ntakua nakupigia mm"..
nlitafakari sana ilo neno..
-wengi wao wanajikubali sana. wakati mwingine huzidisha..
nahisi uhaya is actually a "lifestyle".. sio kabila tu..
 
Tuombe dua ! Mhaya asijepata urais wa nchi; maana tumejifunza kwa wahaya wachache waliopata nafasi za mkuu mbalimbali !
 
Wahaya ni shemeji zangu, tena nawapenda mno;lakini nitawaeleza ukweli ili waweze BADILI TABIA zao za kuudhi au kukera !
 
Last edited by a moderator:
mnaniruhusu nimtetee huyu mama? mboga ni nini? ng'ombe, kuku, samaki vyote ni mbiga. sasa tuseme ananunua mboga kwa ajili ya shule. tuashum bajeti ya nyama kwa mwexi ni mil 1. sasa kwa miezikumi si hela imeisha? au hakusema ni mboga ya wapi. bado hapo hajakutana na mizinga ya wanamuleba. mlitaka atumie hela ya mfuko wa jimbo?
 
Back
Top Bottom