miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
at least weye umekubali kweli mna misifa wengine wanabisha mpaka tumefikia hatua ya kutafuta beyond tuonyeshane Kyenju unaona mwenzio anavyojielewa?Am proud to be haya, siwez kujifnya mchaga kufa njaa una laki mfukoni, wahaya ni watu makini sana, sikatai kuna wenzetu wanazo sifa kama yalivyo makabila mengine, kwa wale mliosoma UDSM mtakubali hili, nan anamkumbuka prof S. Ngware, yule jamaa zile sifa sijui hata nizielezeje lakini vp VC prof Mukandala? Jamaa huwezi jua hata kabila lake labda jina ndo litakujulisha! Wahaya wengi wanaipenda shule na shule inawependa.
Fkiria umeenda kwenye taasisi fulan unakuta kuanzia mfagizi mpk meneja wote kabila lako why usifeel proud of that maisha ndo yalivyo, ubaguzi na vnavyofanana na ivyo mimi naamin ni tabia ya mtu aisee.
Kipindi niko chuoni nlikuwa naskia wachaga wanavyoifaglia moshi nkajua hata mwanza kwetu aigusi kwa moshi, nilijua ni zaid ya new york nilivyofka dah nlishangaa mno, mji wa hovyo watu wanalima mjini, nkaikumbuka bukoba na wahaya wake, nkapta picha kumbe wenzetu nao wana proud balaa
Nkijuacho mm wachaga na wahaya wanatofautiana vtu vdogo mno
Km ubaguzi wachaga pia wamo, hakuna mchaga wa ukwel ambaye anaweza taka kuoa asiende oa mchaga mwenzie kama ilivo kwa wahaya, ingawa binafsi i will go for chagga, huo pia ubaguz
Wote chaga vs haya wapenda pesa balaa, wasichana wa huko wote cheap vibaya, wenzetu receptn na weupe bt sisi maumbo mazuri na miguu ya bia, wadada wa kichaga nawajua wahaya pia wote full proud na dharau za hapa na pale bt hakn anaejua whats Love btn them,
Wote wanajivunia makabila yao balaa, no mchaga no mhaya asiyejikubal,
Wote xmas kurud vijijin kunywa mbege, wengine kunywa Lubisi, kula mandizi na kadhalika
Wote goigoi ilo utabisha bt ndo ukwel.
Wote shule wako safi uchumi wa nchi hii na unyeti wake chaga vs haya ndo mpango mzima ingawa wenzetu pia wana element za kibiashara zaidi, wako kimaisha zaidi sio kufkiria kuuza NYAPU buguruni na manzese nadhan nmeeleweka.
Hapo nimetaja vtabia vichache bt yapo mengi ya ndani izi kabila mbili wanashare
Juc why mwalimu aliweka wazi kuwa izi kabila mbili hazifai kuongoza nchi hii instead waendlee kuwa watendaji nahis ndo alichomaanisha!!!!!
Miss Chagga soon naoa mchaga bhana kwan kitu gani, mtandao mbovu ngeweka picha........... si unajua cm za tochi zmerudi
Jamani tukubali hata mr Misifa + Misifaz camp sio wahaya.....!!!!
Naomba kuwasilisha
Last edited by a moderator: