Watu walosoma UDSM nadhani wamekuelewa. Every department is headed by Muhaya.
Acha ideology hzo za ujinga! Nampenda ananipenda tunapendana!Huyo anakuvutia kasi
Huyo anakuvutia kasi
Nani kakudanganya? Sie karibia ukoo wetu wote kwa upande wa baba ndiyo wahaya umechanganyika na makabila mengine na ndoa zimedumu hadi leo...kuna kila haina ya races km wahindi,waarabu n.k...hiyo ni sawasawa na kusema wazungu wote ni wabaguzi wa rangi...nakuhusu kujisikia kila kabila linajisikia hasa mtu mwenye vitu vitatu km vile mali,elimu na cheo kutokana na hulka ya mtu...kwa kuwa ni miongoni mwa kabila kubwa Tanzania ndiyo maana linazungumziwa sana...
Hayo ndio maamuzi sahihi na kinachotakiwa hata kama umemkuta mtu kwa namna moja ama nyingine ni kabila lako mchukulie kama washikaji wengine, yote haya yanatokana na watu wamekutana mjini na wote wamezaliwa mjini ajabu akimwona mtu tu simply becoz ni kabila lake hata kama ana mapungufu anakuwa mshikaji wake na matokeo yake hii ndio inatufanya tunabeba chembechembe flani. The same apply unapoishi kwenye jamii nyingine mfano uswahilini (nimetumia neno hili kwa kuwa imezoeleka hivyo), unatakiwa u-maintain principles zako ukiyumba tu na wewe unakuwa mtu hulali bila kupata dondooHizi ishu zilikuwa zinanikwaza sana ila sahivi shega tu,ishi kwa kufuata misingi yako mengine waachie wana dunia wala wasikufanye ukahisi labda una mapungufu kwani kwa kila kiunbe Mungu kakipa vipawa vyake,soon,kama wanasema hivyo we mshukuru muumba hivyo ni vipawa na hats kwenda shule wahaya wamepewa vipawa na kwa wasio navyo ni full gere
Kwa mtu.mwenye upeo mpana akisoma hii post yako anajua tu.umekuja kutukuzaa hii kauli ya Tibaijuka ila unajifanyaa hujaipenda...kwaiyo wewe na tibaijuka na wahaya wenzenu.wote mpo.sawa
Ha ha ha kila mhaya anasifa hata aweje ...akiwa mshika dini utafikiri anakaa na Mungu huko mbinguni...acha bana ila mtu kama mi nawapenda huwa nawapamba tu huku natumia vyao ...note... Huwa situmiki
Nani kakudanganya? Sie karibia ukoo wetu wote kwa upande wa baba ndiyo wahaya umechanganyika na makabila mengine na ndoa zimedumu hadi leo...kuna kila haina ya races km wahindi,waarabu n.k...hiyo ni sawasawa na kusema wazungu wote ni wabaguzi wa rangi...nakuhusu kujisikia kila kabila linajisikia hasa mtu mwenye vitu vitatu km vile mali,elimu na cheo kutokana na hulka ya mtu...kwa kuwa ni miongoni mwa kabila kubwa Tanzania ndiyo maana linazungumziwa sana...
Sasa hayo majungu...siku njoo magomeni nikuoneshe mtu mmoja anaitwa Massawe mchafu huwa anavaa nguo moja na sijui kuoga mara ya mwisho lini...kwa hiyo hapo naweza kuconclude wachaga wote wachafu?.. miss chagga acha wivu wa kikabila...