MatikaC
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,190
- 479
wahaya wooote wana dharau na wana roho mbaya sana. kuna m-bibi mmoja wa kihaya alishawahi kunambia eti dini yangu ni ya uongo na nitaenda motoni, na dini yake ya kikatoliki eti ndiyo ya kweli. toka siku ile yule bibi nilimwona mchawi. na siku tukikutana huko motoni sijui ataniambia nini. na ukienda majumbani kwao time zao za mlo hawaweki chakula mezani hadi uondoke