Sio kila Mhaya ana dharau

Sio kila Mhaya ana dharau

Ha ha ha kila mhaya anasifa hata aweje ...akiwa mshika dini utafikiri anakaa na Mungu huko mbinguni...acha bana ila mtu kama mi nawapenda huwa nawapamba tu huku natumia vyao ...note... Huwa situmiki

miss chagga acha wivu, sifa moja kuu ya Mhaya ni kujiamini, ukimuona Mhaya mnyonge mnyonge huyo tilia mashaka. Kwa maana hiyo sishangai kuitwa majina mabaya mabaya kama hayo, pamoja na hayo Wahaya wengi ni shemeji zako. CC: miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kuwa kila kabila lina mambo ambayo hayawezi kukubalika na kabila zingine ... yaani characters zinazo-represent asili ya watu ... pengine ni perception au ukweli!!
Mfano misemo kama vile:

Watu wa Musoma/Tarime ni wauaji au wakatili
Wachaga ni wezi
Wanawake wa kimachame wanaitwa Wapalestina (Wauaji/wanaua waume zao)
Wakibosho majambazi
Wanyakyusa wa Kyela nao wanafanishwa na Wahaya kwa dharau
Watu wa Pwani wavivu/waswahili
Watu wa Sumbawanga wachawi...

Hizi tabia zinatajwa zikijumlisha tabia za eneo ila ukweli si kuwa wote wana tabia hiyo!!
:A S-frusty2::nod:

Ila Wahaya jamani .. mmmhhh .. mnatuita wengine "Wanyama hanga"

Wachagga kwasababu walikuwa wa kwanza kufanya biashara na kuwa na hela ndio wajinga wa miaka ili wakashangaa inawezekanaji mtu kupata hela na wakaishia kusema wachagga wezi kumbe ni upiganaji wao, umewahi kuona mchagga anakuwa tajiri kwa kuiba?
 
Okay..

Rafiki mkubwa kabisa ni Mhaya ingawa hata Bukoba hajafika ila watu bado wanadai anaringa! Personally namuona yuko okay, ila shida ni kwamba ana akili kweli kweli na hana interest na non intellectual discussions. Na ukiwa mwepesi mwepesi basi he can make you feel like you're 5yrs old.

Ingawa hata yeye huwa anakili kwamba wana tatizo kubwa na jinsi society zao zimejengwa. Hii Dharau au Maringo hayako directed kwa non Hayas pekee lakini hata ukiwa mhaya usiye na fedha wala elimu unawekwa kando tu. Kuna mzee alikufa Jtatu, sasa kijana mdogo wa marehemu[not the last born] akakodi ndege Jtatu, kesho Jnne wakazika bila hata ya kusubiri ndugu wengine ambao ni kajamba nani wanaokuja na Zuberi... Walimind lakini dogo ndio ana-pull strings na alikuwa anawahi meetings.
 
Ukweli hawa ndugu zetu baadhi wana nyodo sana japo sio wote,nimeolewa na mhaya yuko tofauti sana lakini wengine majanga kabla sijafika bukoba nilijua wahaya wote wasomi nakumbuka jamaa mmoja chuoni alisema yaani nyie mnahangaikia ka degree ka mojaa wakati kwetu hadi kuku wanadegree
 
nahisi uhaya is actually a "lifestyle".. sio kabila tu..[/QUOTE]

Hahahahahahahahahahaha nimeipenda sana hii....
 
Ukweli hawa ndugu zetu baadhi wana nyodo sana japo sio wote,nimeolewa na mhaya yuko tofauti sana lakini wengine majanga kabla sijafika bukoba nilijua wahaya wote wasomi nakumbuka jamaa mmoja chuoni alisema yaani nyie mnahangaikia ka degree ka mojaa wakati kwetu hadi kuku wanadegree

Hahahaaaa nna mchumba mhaya ni mpole na mtaratibu ila katabia cha dharau kapo mwanzo nilikuwa nakasirika but sasaivi nmejifunza kujishusha na kunyamaza atlst imepungua kdogo na kabadilika kiufupi ni watu wanaojua kucare sana na wenye msimamo pamoja na kuwa na hako kahitilafu na pia ni watu wanaojua kustrugle in life na wanapenda mafanikio
 
miss chagga acha wivu, sifa moja kuu ya Mhaya ni kujiamini, ukimuona Mhaya mnyonge mnyonge huyo tilia mashaka. Kwa maana hiyo sishangai kuitwa majina mabaya mabaya kama hayo, pamoja na hayo Wahaya wengi ni shemeji zako. CC: miss chagga

Ni shemeji zangu siwape mnasifa ila nawachukulia pesa zenu acha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hizi ishu zilikuwa zinanikwaza sana ila sahivi shega tu,ishi kwa kufuata misingi yako mengine waachie wana dunia wala wasikufanye ukahisi labda una mapungufu kwani kwa kila kiunbe Mungu kakipa vipawa vyake,soon,kama wanasema hivyo we mshukuru muumba hivyo ni vipawa na hats kwenda shule wahaya wamepewa vipawa na kwa wasio navyo ni full gere

haya ndio majivuno yanayoongelewa sasa!!!
mada nyingine, point umeingia chaka
 
Hahahaaaa nna mchumba mhaya ni mpole na mtaratibu ila katabia cha dharau kapo mwanzo nilikuwa nakasirika but sasaivi nmejifunza kujishusha na kunyamaza atlst imepungua kdogo na kabadilika kiufupi ni watu wanaojua kucare sana na wenye msimamo pamoja na kuwa na hako kahitilafu na pia ni watu wanaojua kustrugle in life na wanapenda mafanikio

Karibu shem, usisikilize maneno ya watu.
 
Back
Top Bottom