witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,769 Dec 31, 2015 #361 Hakuna watu wastarabu kama wahaya ukiwaelewa... Lakini kama hujawazoea utawawazia negative tu!
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,550 Reaction score 2,199 Dec 31, 2015 #362 Duu hii hatari sana,
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Dec 31, 2015 #363 Acheni kutusema sema bwana mbona makabila yenyu hamsemi! Infact mnaboa sana, sijui hata bundle za kuhangaika humu mnawekewa na shemeji zenu! Mmeniuzi sana na comment zenu
Acheni kutusema sema bwana mbona makabila yenyu hamsemi! Infact mnaboa sana, sijui hata bundle za kuhangaika humu mnawekewa na shemeji zenu! Mmeniuzi sana na comment zenu