Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,731
Wahaya hawana dharau, ni kwamba majority wanapenda sifa. Wahaya ni watu poa sana. Yan ombea Mungu dada ako aolewe na Mhaya, ata enjoy balaa. Badala ya kutembelea sijui ki Porte au Ki Paso, atasukuma Prado, Rav 4 au Range.
Wahaya wako so caring nakwambia...
Wahaya wako so caring nakwambia...