Umeongea kwa kujibu kimashindano na kwa kuvutia upande wako,Iwe mwanamke analinga, mwanaharakati, kuwa na Elimu, dharau na hata kiburi. Bado haiondoi sababu ya wote kutokuhusika. Tambua wewe ndie umemfuata kwa mara ya kwanza. Tambua wewe ndie hujatumia condom wakati unamuingilia. Kumbuka wakati akikukataa ulikuwa ukimlalamikia mpaka unalia. Huruma zao zimewapa taswira mbaya na majina mabaya pamoja na kudharaulika kwenye Jamii inayowazunguka pamoja na wanaume ambao ndio chanzo.
PUMZIKA KWA AMANI NEEMA WANGU BADO MANENO YAKO YATAISHI NAMI
Wise ting'there are different reasons zinazopelekea hali hiyo.. Maybe the father of the child is dead, maybe locked up in prison, maybe father n mother realized they are not met to be so they separated but they still provide for the child..
Huyo MTU anaakili ya jongoo,Sasa hili linahusu nini!! Kumbuka una dada zako na mashangazi etc! Ubichi ukavu yanahusu nini!!!
[emoji85] [emoji85] [emoji87]Nyie Ndo mnatukimbia Jamani
Huenda ni hawa watoto wa sekondari, bado wapo likizo, ni mtoto bado, akikua ataelewa na ataacha ujinga, ngoja tumpotezee!Huyo MTU anaakili ya jongoo,
Anaongea ujinga kwenye jambo makini na la kuumiza,
Achana nae
Pa kuanzia hata kwa asojua sheria ni ustawi wa jamii,ilimradi uwe na vigezo na usiunde kesi ya kuunga unga iwe ni kweliVikishushwa vifungu hapa nadhan vitakuwa msaada kwa yule alotekekezwa kusonga mbele ... but vyaweza pia saidia kupunguza irresponsibility ya hao wafanyao mchezo wa EAT and RUN
Na akili inayosemwa hapa si ile ya madigree ya vyeti,Kuishi na mwanamke inahtajika akili kubwa sana; wanakera na wanaboa sana. Ni kumfunua na kumwacha tu akizingua; na ndo hali hii wanajikuta wapo single mamas. Wajinga mno! wanawaza hata visivyowezekana.
Very true mkuu.. Mada hii ikija mezani its always men to be blamed inasahaulika kuna single dads pia, kwani nao walipenda kua hivyo? sh*t happens.. and most of the times no one should be blamed its just God's doing.. Stop shouting and take care of ur childWise ting'
Bless up,
Sababu ni nyingi sana,za kujisababishia na za kusababishiwa,zinazoonekana na zisizoonekana,kwa kupenda na kwa kutopenda,zilizo juu ya uwezo wetu ana zilizo ndani ya uwezo wetu wa kuamua
Mkuu umenichekesha sana ,eti anatoka kabila linaloongoza kwa masingle mother! Mkuu hadi research mlishafanya ? Mkuu kama vp uniambie na mm nilijue niwe na precaution maana bado sijaoaWe umemaliza kila kitu. Kuna demu mmoja kabila sitaji (lile linaloongoza kwa masingle mother) niliachana nae tukiwa mwaka wa tatu chuoni..Sasa ivi ni single mother wa watoto wawili sababu ya kiburi,kujiona alpha,amesoma ,dharau ,jeuri..sasa ivi pombe kali na stress vina undugu nae
Kama Mimi ni single dadVery true mkuu.. Mada hii ikija mezani its always men to be blamed inasahaulika kuna single dads pia, kwani nao walipenda kua hivyo? sh*t happens.. and most of the times no one should be blamed its just God's doing.. Stop shouting and take care of ur child
Your right bro hii kitu ni combination ya sababu nyingi. Kila single mother lazima atakuwa anafall kwenye category yake. Hakuna sababu moja tu inayojitosheleza kuwa ndio sababu pekee kwa kila single mother.Chanzo kikuu cha single mothers ni
-Kuchagua sana
-Kuringa sana na kujiona wana hadhi ya juu kulinganisha na wanaowafuata kwa ajili ya kuoa
-Kupenda vya bure yaan kuhongwa na kuachiwa mimba na waume za watu
-Kutelekezwa na wanaume wasio waaminifu
-Tabia mbovu/ mbaya za baadhi ya wanaume zinazopelekea wanawake kuamua kuachana nao kwa mf ulevi wa kupindukia, michepuko na kutokutoa matunzo kwa familia
-kuwa na tabia ya kutegesha mimba kwa wanaume bila makubaliano ili baadae wawabae ili waolewe hawajui kumbe ndio wanajichimbia kaburi
-uvivu, uchafu, ukicheche na ushirikina pia vinawenza kuwa vyanzo kwa namma moja ama nyingine
- kushindwa kujua mwanaume sahihi mwenye nia ya kuoa kweli mwishowe wanatapeliwa na wahuni kwamba wataolewa baada ya mimba ME anapotea
Pole mkuu.. honestly I'm looking forward to that kind of life.. One or two kids will be my world.. Ndoa? big NOKama Mimi ni single dad
Japo ninafursa ya kuoa lkn hapana
Labda niliumbwa kuwa single,
Mkuu yalonikuta acha nilee watoto wangu,
Ngoja niangalie ramani kwanzaKwani bado mpendwa nianze kuchukua mazoezi ya kukufuata.
ExactlyYour right bro hii kitu ni combination ya sababu nyingi. Kila single mother lazima atakuwa anafall kwenye category yake. Hakuna sababu moja tu inayojitosheleza kuwa ndio sababu pekee kwa kila single mother.
Basi njoo nikupate jamaniSasa kama mimi utampataje, labda mimi kabisa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Zaidi ya seriousUpo serious?
Siyo kuwa nafurahia mkuu nimemtendea mengi, sana na sijawahi kuacha hata siku moja ila naachwa, na nikiachwa mwisho wake lazma uwe mbayaVipi wewe haujawahi kumwaga binti ukaenda kwa mwingine?
Ila usifurahie majanga ya mwenzako.