Single mothers, ni nini chanzo?

Single mothers, ni nini chanzo?

Kama Mimi ni single dad
Japo ninafursa ya kuoa lkn hapana
Labda niliumbwa kuwa single,
Mkuu yalonikuta acha nilee watoto wangu,
Pole mkuu labda huko mbeleni waweza badir msimamo na ukavuta "jiko" .... they say "time heals all the wounds"
 
Nyie nshawachoka bana wazuri dk5 wabaya dak10 wayiii
Isikikapo harufu kali toka ndani ya tenga la sanaki sababu ya samaki wachache walooza .... je tuwatupe wote ama tuwatoe walooza na tuwatupe then walobaki tuwatumie?
 
Hawa watu wamejaa visa vya makusudi,nyodo,staha hawana,macho yao juu mtaani,washari,wasiopenda kubeba majukumu yao,wanaopenda mashindano na la zaidi wamejaa gubu,
MUNGU atusamehe sana maana inabidi tuseme sababu ni hawa hawa tuloletewa km wasaidizi
Ni kweli kabisa Mkuu.
 
Mkuu naona wataka kuji-regester katoka ulimwengu wa single daddies .... WHY? only curiosity
not in it yet.. well.. nimeona mengi kwenye mahusiano ya wengine na ya kwangu pia and thinking about it.. I'd rather have a stubborn kid than a stubborn wife

Naamini kwa ustawi mzur wa mtoto ni vema awaone both parents akiwa anakua sio baba yupo UK mama yupo Brazil and at the same time I'm not ready to take the risk of trying getting into marriage.
So I'm still thinking about this mkuu sijafikia maamuzi
 
Imeonekana hili la kutegeshea ni tatizo kubwa
Naam hili ndo tatizo, mwanamke unajua Leo ni siku zako za hatari alafu unakaa kimya unamtegeshea mtu huku ukijua hauna uwezo wa kulea. Alafu baadae unalaumu ovyo ovyo kana kwamba ulibakwa. Dawa ni kuachwa tu hamna namna
 
Wangu hakukataa mimba ila alitaka niitoe eti sijajipanga kimaisha na yeye biashara haimwendei vizuri nikakataa. Basi akanichunia ila hela ya kutoa alituma. Toka atume hela hakuwahi kuuliza kama nimetoa sijatoa au nilivyoenda kutoa nilikufa wala hakutaka kujua. Imefika miezi tisa nikamwambia ntajifungua siku yoyote na kwa kuwa yeye ndo baba wa mtoto basi last name ya mtoto ni la kwake. Ila hata kusema hela hii ikusaidie kwenye uzazi hakujaribu. Nimejifungua akaja akanipa hela kidogo akasema atakua ananipa matumizi kwa mwezi. Toka aseme hivyo hajatuma hata 100 na mbaya zaidi hata kwenye simu hapatikani na hayupo Tz. Mtoto ana miezi minne now baba hayupo.
Pole sana aisee,kwa yote hayo bado ubini umemuandika wa huyo baba mzaz ambaye hamjal mwanae duuh una moyo wa kipekee mwaya
 
Back
Top Bottom