ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
Iwe mwanamke analinga, mwanaharakati, kuwa na Elimu, dharau na hata kiburi. Bado haiondoi sababu ya wote kutokuhusika. Tambua wewe ndie umemfuata kwa mara ya kwanza. Tambua wewe ndie hujatumia condom wakati unamuingilia. Kumbuka wakati akikukataa ulikuwa ukimlalamikia mpaka unalia. Huruma zao zimewapa taswira mbaya na majina mabaya pamoja na kudharaulika kwenye Jamii inayowazunguka pamoja na wanaume ambao ndio chanzo.
PUMZIKA KWA AMANI NEEMA WANGU BADO MANENO YAKO YATAISHI NAMI
PUMZIKA KWA AMANI NEEMA WANGU BADO MANENO YAKO YATAISHI NAMI