Docteur
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 240
- 233
Mkuu busy bees
Kwa hiyo Nje ya Kufiwa na Mzazi mwenza, Kubakwa na sababu kama maradhi ya ukichaa/wehu (yasioweza kuvumilika kabisa). Tunapungukiwa Maarifa sana na kutupelekea na kasi hii....
Ukimsoma usiambini hapaKupungukiwa maarifa kivp mkuu?
Na wingi wa sababu kama hizo....Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba
Kwa hiyo Nje ya Kufiwa na Mzazi mwenza, Kubakwa na sababu kama maradhi ya ukichaa/wehu (yasioweza kuvumilika kabisa). Tunapungukiwa Maarifa sana na kutupelekea na kasi hii....