busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,348
- Thread starter
- #301
Hapa wote watakuwa na makosa ..... a) mtegeshaji kwa kufanya vile pasi na kujua matokeo ya hicho akifanyacho kama yatakuwa "positive" ama "negative"Naam hili ndo tatizo, mwanamke unajua Leo ni siku zako za hatari alafu unakaa kimya unamtegeshea mtu huku ukijua hauna uwezo wa kulea. Alafu baadae unalaumu ovyo ovyo kana kwamba ulibakwa. Dawa ni kuachwa tu hamna namna
..... b) mtegwaji kwa kuwa "selfish" mana hata kama hujui kama wategwa why usiweke tahadhali kama bado hujawa tayari kuitwa "baba?"