Single mothers, ni nini chanzo?

Single mothers, ni nini chanzo?

Hiyo hali itabadilika tu Vale wangu, leo utajisikia hutaki stress za wanaume lakini niamini, kesho utatuhitaji tu. Wanaume ni kama maji, umewahi kumaliza siku bila kutumia maji (kwa hali yoyote ile?)
Aah labda nipate wa dizain yako aise
 
wache wachike vijana tupo wakiwanyongola make midemu imekua ovyoo mbumbumbu single mother hana mastres kama haya makua
 
Nikisema chanzo ni wanawake nitakuwa nawahukumu, na nikisema chanzo ni sisi wanaume nitakuwa najikandamiza. Kinachoonekana hapa chazo ni sisi wenyewe (wanaume na wanawaje) kuanzisha mahusiano bila pasipo na uhakika kama uhusiano ule utafika mwisho. Wakiwa katika kutokujua huko unakuta ndani yake wanafanya tendo pasipo kujilinda, kujikinga ama kuepuka mimba zisizo tarajiwa. Ni katika kujisahau huko ndipo husababisha haya tunayoyajadili hapa. Wewe hukuwa tayari na yeye hakuwa tayari, lakini kwa upuuzi na upofu wetu husababisha hilo na tukifika kikomo cha mahusiano basi kila mmoja huchukua hamsini zake kitu ambacho huwaacha wanawake kuwa single mothers kutoka na upuuzi wetu sote
 
Wote mwanaume na mwanamke wanakuwa irresponsible afu anayekuwa "victimized" ni mmoja tu .... that's isn't fair
 
Dahh......... nani alaumiwe hapa 'irresponsible and cruel young men' or 'careless women.' Or both.

?
 
Wote mwanaume na mwanamke wanakuwa irresponsible afu anayekuwa "victimized" ni mmoja tu .... that's isn't fair
Huo ndio ukweli mkuu! Kila pale
mahusiano yanapofikia mwisho hata kama chanzo atakuwa mwanamke, yeye atakuwa ndiye mhanga kama atakuwa ameachwa na mtoto
 
Huwa kuna kipindi vijana both girls and boys huwa wanataka eti kutest kama vizazi vyao vizima. Hapo ndipo shida inapoanza.
 
Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba
Umemaliza mkuu
Sitii neno
 
Huwa kuna kipindi vijana both girls and boys huwa wanataka eti kutest kama vizazi vyao vizima. Hapo ndipo shida inapoanza.
Kama mmeamua ku-test ni vyema mkajiandaa kuchukua jukumu la kulea pamoja pia kama jaribio likiwa positive
 
Chanzo ni michepuko,..................

Tunajenga bomu sisi wenyewe,wanaume particular,..................

Ukioa,stick to your wife,and provide a safe net for your children's up bringing......

Mtoto akiona baba anacheat,is more likely kama ni wa kiume,na yeye atacheat in his life(not necessary though)...........wa kike atawaogopa wanaume na ataona hawana umuhimu katika maisha yake.

Therefore,kabla hujachepuka fikiria watoto wako,yaaani je,ungependa wanao wawe na taswira hii kuhusu wanaume/wanawake in their life?
Hii ni sehemu ndogo sana ya chanzo japo nayo ni moja ya sababu,
 
Wanawake wa sasa si waolewaji kabisa, wana majanga makubwa yasiyoweza kuvumilia hata kidogo. Na ni ngumu kwao kuvumilia kwenye ndoa.
Hawa watu wamejaa visa vya makusudi,nyodo,staha hawana,macho yao juu mtaani,washari,wasiopenda kubeba majukumu yao,wanaopenda mashindano na la zaidi wamejaa gubu,
MUNGU atusamehe sana maana inabidi tuseme sababu ni hawa hawa tuloletewa km wasaidizi
 
Kuna wanandoa waliofiwa nA waume zao...wanalea wnyw...wapo waliochoshwa nA ndoa wakaamua kumove on nA wtt wao...afu wapo nyumba ndogoz wazee WA kutegesha mimba. ....
Naona hiyo ya kutegesha mimba inawa-cost wengi .... by the way pole ziwaendee waloondokewa na wenzi wao
 
Back
Top Bottom