Single mothers, ni nini chanzo?

So hili ni kundi la wale singo madhaz waloamua wenyewe kuwa hvyo
 
Wengi wanakuwa waliingia ktk mahusiano ama ndoa kwa kuvutwa na mambo mengine tofauti na ndoa,kilichowaingiza ktk mahusiano kinapotoka ama kuisha ama kutokipata km walivotaka ndo mpango wa kujiondoa na kuishi pekee huanza,
Wapo ambao kutendwa na kutapeliwa kimapenzi hufanya waamue kuishi pekee,wengine bahati tu hawana ya kuolewa labda kulingana na wanavoonekana kwa nje,wengine walishuhudia misuguano na misuguano kwa wazazi na wakakata tamaa ya kuna kuishi kwe ndoa(wazazi tuepuke sana kuumizana maana inaathiri hata maamuzi ya watoto)
Wengine ni tabia zao mbaya hupekekea kuzalishwa na kuachwa so inabidi wakubali hali maana hawana jinsi japo mioyo yao wanatamani kuolewa,wengine ni laana za koo zao toka mababu na mababu,
Zipo nyingi sana
 
Hao waloamua wenyewe kuwa single mothers kwa mtazamo wako wasema ni wabinafsi .... wadhan kwa nini?
 
Na hilo ndio kosa kubwa ambalo mwisho wa siku wao (wasichana) ndio wanakuwa Wahanga
Hivi hakuna sheria ya kumuwajibisha Baba atoe huduma huko alikozalisha kwa lazima. Maana kuna wengine wanatupia makusudi na kukimbia.
Kama mmeamua ku-test ni vyema mkajiandaa kuchukua jukumu la kulea pamoja pia kama jaribio likiwa positive
 
Nishazipata sababu nyingi but hiyo ya LAANA toka katika koo zao ndo naipata .... kumbe hilo nalo lipo!!
 
Mkuu punguza ukali wa maneno basi!
 
tatizo ni wao kupanua miguu hovyo hovyo kama malaya. pili ni kiburi
 
Hivi hakuna sheria ya kumuwajibisha Baba atoe huduma huko alikozalisha kwa lazima. Maana kuna wengine wanatupia makusudi na kukimbia.
Wataalam wa sheria na wale wajiitao wanaharakati wa kutetea haki ya mwanamke na mtoto njooni mtujuze kuhusu hili
 
Nishazipata sababu nyingi but hiyo ya LAANA toka katika koo zao ndo naipata .... kumbe hilo nalo lipo!!
Yap lipo sana,ni vifungo vya kiroho vinavotokana na wazazi ama koo,Mungu hupatiliza laana hata kwa kizazi cha NNE cha uzao,na ndo maana zamani ilikuwa utaambiwa usioe hapo maana hapo huwa hawakai na mwanaume,
Ile huwa ni laana ya koo
 
Kwa wanawake ni Tamaa za kutaka maisha mazuri ya haraka haraka bila kuwaza mbele kutakua na nn.

Wengine viburi na kutosikia kwenye familia.

Kwa wanaume, wenginw wanakwepa majukumu ya kulea watoto.
 
Kwa wanawake ni Tamaa za kutaka maisha mazuri ya haraka haraka bila kuwaza mbele kutakua na nn.

Wengine viburi na kutosikia kwenye familia.

Kwa wanaume, wenginw wanakwepa majukumu ya kulea watoto.
Kumbuka unavyoombaga papuchi mpaka unalia,,,,,, mimba ikiingia unamruka mita 100.....
 
Kumbuka unavyoombaga papuchi mpaka unalia,,,,,, mimba ikiingia unamruka mita 100.....
Punguza povu mkuu

Angalia point yangu ya mwisho....wanaume kukwepa majukumu ya kulea watoto.
 
Kutelekeza ni kosa mbele ya sheria
Vikishushwa vifungu hapa nadhan vitakuwa msaada kwa yule alotekekezwa kusonga mbele ... but vyaweza pia saidia kupunguza irresponsibility ya hao wafanyao mchezo wa EAT and RUN
 
there are different reasons zinazopelekea hali hiyo.. Maybe the father of the child is dead, maybe locked up in prison, maybe father n mother realized they are not met to be so they separated but they still provide for the child..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…