gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
Sioni uhusiano wa baba kucheat so as mtotoChanzo ni michepuko,..................
Tunajenga bomu sisi wenyewe,wanaume particular,..................
Ukioa,stick to your wife,and provide a safe net for your children's up bringing......
Mtoto akiona baba anacheat,is more likely kama ni wa kiume,na yeye atacheat in his life(not necessary though)...........wa kike atawaogopa wanaume na ataona hawana umuhimu katika maisha yake.
Therefore,kabla hujachepuka fikiria watoto wako,yaaani je,ungependa wanao wawe na taswira hii kuhusu wanaume/wanawake in their life?
Kwanza baba ambaye unacheat mpaka watoto na mkeo wanajua thats not cheating anymore it either utakua umehalalisha au u r dumb enuf to let then see the bast.ard u

