Single mothers, ni nini chanzo?

Single mothers, ni nini chanzo?

Wewe nani kakuambia tarehe hatarishi ziko constant kama pie? Na wewe ulimbukeni wako wa kutotaka kutumia condom ndo unakufanya umpe mimba mwanamke usie na malengo nae
mwanamke yeyote anazijua dalili za yai lililokua tayari kuna viashiria vinamfanya aisi yupo kwenye danger date, we inaelekea hujaenda Jando mambo yote mnafundishwa mnapowekwa ndani na mabibi zenu ila wanawake wa siku hizi mnakula sana chips yai, chemical drinks, peds feki nk na kuaribu mfumo wa reproduction wacha tuwatie mimba tu na kuwakimbia Ulimbukeni wenu ndio uaowaponza
 
tatizo wanatutegeshea bila kutushirikisha ktk mpango wa kuzaa mwisho wa siku mimba ikinasa alafu wewe hujajipanga kuwa kid lazma umkimbie
Imeonekana hili la kutegeshea ni tatizo kubwa
 
mwanamke yeyote anazijua dalili za yai lililokua tayari kuna viashiria vinamfanya aisi yupo kwenye danger date, we inaelekea hujaenda Jando mambo yote mnafundishwa mnapowekwa ndani na mabibi zenu ila wanawake wa siku hizi mnakula sana chips yai, chemical drinks, peds feki nk na kuaribu mfumo wa reproduction wacha tuwatie mimba tu na kuwakimbia Ulimbukeni wenu ndio uaowaponza

Mkuu ukitaka kuingia period kuna dalili gani?
 
We umemaliza kila kitu. Kuna demu mmoja kabila sitaji (lile linaloongoza kwa masingle mother) niliachana nae tukiwa mwaka wa tatu chuoni..Sasa ivi ni single mother wa watoto wawili sababu ya kiburi,kujiona alpha,amesoma ,dharau ,jeuri..sasa ivi pombe kali na stress vina undugu nae
anasaidiwaje huyo?
 
tatizo mkuu wakikuona unamaisha mazuri halafu unapotezea suala la ndoa wanategesha ili apate kichochezi cha kuwa nae hapo ndipo wanapolia

Ukiwa na maisha mazuri usichezee wasichana,sio midoli hio,wana hisia kama wewe,ukishafika umri wa kuoa,oa uanzishe familia,sio kuruka hapa na pale,ukiruka kubali matokeo.
 
Kwakuwa analea akiwa haishi na baba wa mtoto, ila mtoto ana baba yake na mama yake.

Hivi hakuna single dads? Maana naona mmewashupalia single moms tu.
Yaweza kuwa wapo but informations juu yao zikawa "handled with care" cause they're delicate ones
 
We umemaliza kila kitu. Kuna demu mmoja kabila sitaji (lile linaloongoza kwa masingle mother) niliachana nae tukiwa mwaka wa tatu chuoni..Sasa ivi ni single mother wa watoto wawili sababu ya kiburi,kujiona alpha,amesoma ,dharau ,jeuri..sasa ivi pombe kali na stress vina undugu nae
mkuu ni kabila gani hilo?
ahahahah
ndio lenye single mom wengi
 
Ukiwa na maisha mazuri usichezee wasichana,sio midoli hio,wana hisia kama wewe,ukishafika umri wa kuoa,oa uanzishe familia,sio kuruka hapa na pale,ukiruka kubali matokeo.
wasichana wakikuona una maisha mazuri wanajileta wenyewe ukiwa huna mpango nae hapo ndipo wanapofeli Badilikeni ficheni Nyuchi zenu mpaka umpate mr. right
 
Hujajipanga kuwa kid!!!
Thot you always kids!

Hivi mtu mzima unategeshewa mimba!!! What irresponsible boy you are!!
Kumbe wanaotegeshewa mimba wote ni irresponsible ones .... atoto hebu funguka hapo HOW?
 
tetesi; Jf naskia imejaa single mother wengi, humu ndio kimbilio la kutolea stress zao huku wakijifanya bado ni watoto wabichi kabsaaaa
 
Chanzo kikuu ni wanaume. Wanaume mmezidi uongo jamani. Mi sikuwahi kuwaza kuja kuwa single mom ila mwanaume nilie nae amenifanya kuwa hivi, kwanza wanaume wengi waongo. Mtu ana mke ila akija kwako anakwambia yupo single na story kibao.
Pili wanaume wengi wa siku hizi hawapendi majukumu. Mtu akishaona umeconcieve anakushawishi ukatoe ukikataa anakuacha unabaki unalea tumbo na mtoto peke yako.

Wanaume tuoneeni huruma tumechoka kutoa mimba, kama unajua huna mpango wa kuwa kwenye maisha ya mtu ni bora umuache tu kuliko ukae akipata mimba ndo umkimbie mnatuacha tunaatabika na manyanyaso ya usingle mom.
POLE SANA
 
Back
Top Bottom