Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,374
- 22,992
Unamaanisha mwanamke akitofautiana na mwanaume mmoja basi hafai kwa wanaume wote!!!Kwaiyo huo uwezo mzazi mwenzake hakuuoana mpaka wewe ndio ukauonewengi baada ya kuachwa huwa wanaigiza tu tabia then ukimuweka ndani unaona sura halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia mambo hayapo hivyo; usipoelewana naye wewe kuna ambao watamuelewa. Tunaita chemistry.
Usilazimishe wote wasielewane naye.

