Everywhere..Here??
Everywhere..Here??
Alishikiwa bastola? Akome shenzi type!kulomba raha kweli ila inaponza, yan ghafla from single kuwa na familia, wife + mtoto + housegirl na yeye mwenyewe 😁
Goodluck with that lol 😆Everywhere..
Hahahaha,ataacha ndalaKiherehere cha kujifanya anayaweza mapenzi na mtoto amuhudumie shule ya elfu 50 kwa term ndio ambadilishie mtoto shule? Akakope akomae mpaka kieleweke! Kulomba huwa ni raha mwanzoni tu majukumu yakiibuka ndio visingizio vinaonekana wazi..
Hii kitu mpk naogopa ujueNi bahati mbaya sana kwamba single parents wanazidi kuongezeka, its like a fashion lakini ni ukweli kwamba tunatengeneza kizazi cha ajabu sana miaka ijayo.
HahahahaSasa nimfanyaje?
si unajua tena kulomba ilivyo blind shenz typeAlishikiwa bastola? Akome shenzi type!
Wakiwa na hesabu za Boss wanajiona wao ndio kila kila kituNa akuroge kabisa uwe zezeta, maana bodaboda nyie ni wataalamu kuingilia mahusiano ya watu, mnajiona mnazo sana
Huu mjadala mgumu, hata hatuuwezi.Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.
Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.
Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.
Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.
Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.
Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi
Hapo chakula bado na mahitaj mengine,
Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,
Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa
Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
Acha tu mkuu, sisi ambao tuko balehe ya pili, kila unapogusa unaambiwa kuna mtoto kwa bibi, noma sana!!Hii kitu mpk naogopa ujue
Nyie endekezeni nyege😃si unajua tena kulomba ilivyo blind shenz type
Inasikitisha sana, Vijana wanazalishana uswazi,Kuna siku nilichukua kibinti sehemu nikajua hiki hakijatumika sana,dah ktk maongezi anataja kuwa ana mtoto Yuko kwao huko,alizaa akiwa secondaryAcha tu mkuu, sisi ambao tuko balehe ya pili, kila unapogusa unaambiwa kuna mtoto kwa bibi, noma sana!!
Nyie endekezeni nyege😃
Ungempa poleeSasa nimfanyaje?
HaaaaaaahNa akuroge kabisa uwe zezeta, maana bodaboda nyie ni wataalamu kuingilia mahusiano ya watu, mnajiona mnazo sana
Mmezidi mno!sema tuache kuendekeza nyege😁
Nimbembeleze ujinga wake!Ungempa polee
Nyege + Njaa + MaradhiNyie endekezeni nyege😃