Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 12,986
- 25,837
wanaojali huu ujinga ndio wana kazi
Ni muendelezo wa "mockery" kwa kundi flani la watu.
wanaojali huu ujinga ndio wana kazi
Na zinachosha aisee
Ila inaonekana wanaume ndio mnateseka poleni
Haya nimekutoaUsitujumuishe wote kwenye jambo hilo; hili ni suala binafsi la mtu.
Kosa la kiufundi lilitokea.Was it really necessary to mention she’s a single mother? The situation would still be the same without the label..
wanajichosha,tunaishi maisha halisi.. mitandao ni kusogeza masaa za stress tu!Ni muendelezo wa "mockery" kwa kundi flani la watu.
kwamba bodaboda katekwa akili?🙄Wahenga walisema, Mafahali wawili wakigombana ziumiazo nyasi. Sasa ugomvi wa dereva wa halmashauri na huyo bar maid wewe unakuhusu nini? Sababu za wewe kuweka kambi hapo ni zipi? Ungekuwa unampeleka kwako kidogo ungekuwa na maamuzi yako lakini hapo umetekwa kiakili; stuka 🙄
Ndiyo. Ukitizama mizani inaelemea upande wa mwanaume. Utabebeshwaje majukumu yasiyo yako na wewe ukubali? Kosa lingine ni kuhamia kwa huyo mwanamke. Sasa hapo katumia udhaifu wako wa mapenzi kuleta matatizo yake ya ada ambayo kiuhalisia, baba wa mtoto alipashwa kuyatimiza. Wewe huoni hapo akili za kutekwa?kwamba bodaboda matekwa akili?🙄
Kama nina pesa nyingi , tatizo liko wapi?Kwanini unalea mtoto wa mwanaume mwingine kwani wewe hauna kizazi uzae wa kwako umlee?
kwahiyo bodaboda ni tahira kumbe! uhamie kwenye nyumba ya mwanamke ukitegemea nani awe anawahudumia? majukumu ya kawaida yanatakiwa humo ndani ndio aone katekwa akili? wakati anailomba akili iko sawa ila ikifika muda wa majukumu ndio akili hazimo zimetekwa lol mambo ni mengi sana.. 🙂Ndiyo. Ukitizama mizani inaelemea upande wa mwanaume. Utabebeshwaje majukumu yasiyo yako na wewe ukubali? Kosa lingine ni kuhamia kwa huyo mwanamke. Sasa hapo katumia udhaifu wako wa mapenzi kuleta matatizo yake ya ada ambayo kiuhalisia, baba wa mtoto alipashwa kuyatimiza. Wewe huoni hapo akili za kutekwa?
Haya hiyo boda boda ikichakaa atakuwa na hela ya kununua nyingine au itakuwa imetumika kulipa ada ya mtoto tu na uhusiano uishe?
kama una pesa kwanini uje kulialia humu?
Umeshapgwa Ndugu, ukute huyo jamaa naye hakuwa Baba wa MtotoNimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.
kama una pesa kwanini uje kulialia humu
Umeyakanyaga nduguKazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.
Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.
Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.
Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.
Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.
Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi
Hapo chakula bado na mahitaj mengine,
Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,
Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa
Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
Ndiyo ni ufala kiwango cha SGR...Huoni hapo jamaa sasa ni victim of captive manipulation?kwahiyo bodaboda ni tahira kumbe! uhamie kwenye nyumba ya mwanamke ukitegemea nani awe anawahudumia? majukumu ya kawaida yanatakiwa humo ndani ndio aone katekwa akili? wakati anailomba akili iko sawa ila ikifika muda wa majukumu ndio akili hazimo zimetekwa lol mambo ni mengi sana.. 🙂
mistake kinoma, kujua kuna mwanaume anamuudumia na kujichukulia jiko(haina tofauti kubwa kubwa na umechukua mke wa mtu japo jamaa yupo mbali na anaihudumia familia ), ushaur wangu ikiwezekana peleka mtoto Governmt skul kwanza !Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.