Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
wote walikuwa wanachepuka ndoa yao ilifungwa duniani na mbinguni
Km walizini ndoa inavunjwa ( biblia inasema uzinzi na kifo vinavunja ndoa) kuchepuka ni kuzini so hakukuwa na kitu tena
wote walikuwa wanachepuka ndoa yao ilifungwa duniani na mbinguni
hebu acheni kuhubiri umaskini wakati malodi lofa tupo, unatumia mtandao gani kwani?
Nafikiri ni baada ya kuachana kwao. Ila Yule mdada alimezwa Kabisa hata leaders kwenye picha za blog hakupewa introduction km mke wa marehemu. Mtoto aliyekuwa anatajwa ni wa monalisa Wakati Yule mke wa sasa Ana mtoto pia....lazima alijisikia vibaya
Km walizini ndoa inavunjwa ( biblia inasema uzinzi na kifo vinavunja ndoa) kuchepuka ni kuzini so hakukuwa na kitu tena
Absolutely true ! Ikumbukwe pia kuwa MTALAKA HATONGOZWI ukienda kufuata sijui ada ya mtoto, mara hela ya tuisheni, ni kiasi cha kuangalia mazingira kama panaruhusu kupasha kiporo jamaa linagonga tu
umeona eeh! halaf anasema eti bora tuliozaa tunajijua tuna kizazi sijui kuliko hao ambao hawajazaa. anashangaza! anataka aonekane yeye ni bora zaidi kwa kuponda wengne!! wanaume siku hizi hawakimbii mtoto, ukikimbiwa ni ww mwenyewe kwa kauli chafu chafu kama hizo.
Inaonekana bado kuna stigma kubwa sana na single moms, hadi watu wanashindwa kuangalia upande wa pili wa sarafu. Na hii stigma inawafanya baadhi ya wanawake kung'ang'ania failed relationships kwa kuogopa kuwa single parents. Unaongeleaje wale ambao wamekuwa single parents labda baada ya kuwa in an abusive relationship wakaamua kutoka, na wale waliobakwa na kutelekezwa je? sizani kama wote ni wabaya Tatizo ni hawa ambao wamezaa na waume wa watu, au wale waliozaa na watu wenye pesa na kutumia watoto wao kama mitaji. Everybody deserves a second chance in life, na kila mtoto anahitaji father figure Single moms don't lower your standards just to be with anybody, you deserve better
Wako matured na wanaelewa maisha sana kuliko masista duu!!!!!
Mnaweza kukaa na kushauriana kuliko mtu asiyejua hata bei ya diaper!!!
Hawana shobo na vitu vidogo au mambo ya fancy..wako kimaisha zaid!!!!!
Wengi wakikuambia "I love you" wanamaanisha!!!!!
Tatizo moja kubwa kwenda mbele na kurudi nyuma kihisia yaani kuna kipindi anaweza tu kuwa na hisia kuwa na wewe iko siku utamuumiza au kumtelekeza basi atakuwa mnyonge ghafla...anapoteza furaha just kwa kuhisi tu (wengi)!!!!!!!!!!
Wanahitaji sana assurance na kukumbushwa wanapendwa na kuthaminiwa no matter what happened in the past!!!!!!
They can be reliable friends!!!!
that's the point, baaas... Mtu kakitembeza toka secondary hadi kazini, kachoropoa mimba/kazalishwa nyumbani!!
..aliyesema usizini hatutaki kufuata sheria zake, no justification katika hili..
aise mimi kama single dad sikubaliani na hicho kitu niwasiliane na huyo mume ndio nilimpa mimba? haiwezekani aise
Mimi siwezi nikabishana na mpuuzi kama wewe kwani nitakuwa mpuuzi pia,u know nothing...
Pia mimi sio mtoto mwenzio,as u think...ninauwezo wa kulisha wewe na babako
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"
Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.
Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...
Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.
Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.
Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?
Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...
Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..
Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.
WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...
Swali lolote linakaribishwa... Asanteni
Ukiulizwa kama mkeo/mpenzio ulimkuta bikra utasema hapana
So the question is how do u know that she hasnt done several abortion?
Single moms deserve much respect jamani
They are strong and stable
Asante mkuu, you are definately speaking from experience.
Wakuu, nimerudi.
Personally hii mada imenitia uchungu sana. Morg amepresent a very valid case, na watu ijapokuwa tupo entitled to our opinions, kumridicule mtu au watu haikubaliki hata kidogo.
Hili ni jambo sensitive sana wakuu (hasa wanaume wenzangu tuliobahatika kuzaliwa kutokana na wanawake)
Single mums popote mlipo I salute you na kwa hapa naungana mkono na mawazo ya Mrembo by Nature,,,,tuna bahati sana tumezaliwa...
-Ingekuwaje kama mama zetu wangetutupa kwa kutoa mimba au kututelekeza baada ya kutuzaa kwa vile Baba zetu waliwatelekeza?
-Ni wangapi wetu tungeweza kusoma, kupata chakula na mavazi, kama hawa mama zetu, baadhi yao waliotelekezwa na baba zetu, wasingetupigania?
-Tunapata wapi nguvu za kuwasanifu na kuwakejeli hapa hawa mama zetu, kama wasingesimama vifua mbele, na kuvumilia unyanyapaa wa ndugu, jamaa na marafiki, kwamba 'wamezalia nyumbani' na baadhi yao actually hawakuweza kuolewa tena kwa unyanyapaa huu huu?
-Nauliza tena, hapa ninavyoandika, wapo ambao wamelelewa na mama tu, na sasa hivi ni watu wa maana u wamefanikiwa na wana maisha yao mazuri. Je mama zao wangewatelekeza au kutoa mimba?
Kwa wale wanaodai kwamba single mums ni "used' sijui "scraper" [sic], kama alivyosema Mrembo by Nature, wangapi wameoa bikra au wanatarajia kuoa bikra? Je, kama hujaoa au hutegemei kumpata bikra (highly unlikely), unapata wapi moral authority ya kusema single mum ni used? Unajua huyo unayemuoa ametoa mimba ngapi?
Nina mifano hai kabisa ya ndugu, jamaa na amrafiki walioko kwenye ndoa miaka 5, 20, hadi 15 wanatafuta watoto hawapati, na case nyingi ni kwamba binti alishawahi kuchoropoa sana mimba enzi zake....hao tunakubali kuishi nao na kuwaoa kwa sababu ya "uovu wao tusioujua" au kwa makusudi tunaziba macho yetu kuwaona....kwa sababu hakuna 'ushahidi' wa mtoto?
Single mum yeyote anastahili heshima tena ya hali ya juu kwa sababu anafighht peke yake bila msaidizi....wanapohitaji faraja na mapendo yetu tusiwakejeli, nao ni binadamu. hao watoto hawakuwapata kwa kunywa kwenye glasi kama dawa..kuna mwanaume, na probably wewe unayesoma hapa, alihusika! So single mums ni zao la jamii nzima sio wao peke yao.
Mimi binafsi ningekuwa ninaoa mara ya pili, kigezo cha kwamba eti huyu ana mtoto kisingeapply....simply kama alivosema Mentor na nakubaliana naye...kama nakuoa wewe na una mtoto maana naye nimekuoa wewe na mtoto ..so matunzo, matibabu, ada na kila kitu chake ni juu yangu mimi. baba yake kama yupo hatakuwa na right ya kuingilia mahusiano yetu kwa kigezo cha mtoto...asubiri akifikisha miaka inayoruhusiwa kisheria, amchukue...na kwa consent ya mtoto...logic ni very simple kwamba alishafeli from the beginning ndo maana hawapo pamoja, na hata kama ana uwezo kuliko mimi ni kwamba wote wataishi kwa mfumo na standard ya maisha ya home kwangu na sio vinginevyo. Hayo yatakuwa mojawapo ya mambo ya kusort out kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro baadaye.
inaniuma sana,
baada ya kusema hayo, ninaomba Vaislay na Morg msimame vifua mbele as u have been doing. Know that kuna wanaume akiwemo gwijimimi na wengineo wanaowa appreciate sana....hapa inaonekana kuna baadhi yetu aidha kwa sababu ya umri au malezi, mawazo yetu juu ya hawa wapenzi wetu yapo tenge sana.
Nakuomba Asprin umwagize Khantwe anijazie glasi yangu tafadhali nipoze koo.
Cc miss neddy miss chagga (naona mnajiandaa kwa ndoa) masai dada Mentor Matola Miss Kim badiebey charminglady (miss u) miss strong Heaven on Earth La princesa Ennie
BCC wake zangu AshaDii gfsonwin DEMBA
Ninaheshimu sana single mothers ila nao waheshimu ambao hawajazaa nje ya ndoa kwa kutowasingizia abortion kwani hao single mom kuzaa kunawaondolea kutotoa mimba zingine? Ni ukweli kuna ambao hawajazaa na wametoa mimba pia wapo ambao hawajatoa hivyo hivyo kuna single mom wamezaa lakini pia wametoa mimba pia kuna ambao wamezaa na hawajatoa. Hili swala ni sawa na wanaume wanywa pombe na wasio wanywaji, utakuta wanywaji husema ooo wanaume wasiokunywa pombe ni viwembe maana sitarehe yao kubwa ni wanawake kitu ambacho si lazima maana barmaids wote huondoka na walevi dakika za lala salama maana pombe huambatana na wanawake kwahiyo ni pote hakuna upande unapenda zaidi wanawake bali tabia ya mtu binafsi
Ukiulizwa kama mkeo/mpenzio ulimkuta bikra utasema hapana
So the question is how do u know that she hasnt done several abortion?
Single moms deserve much respect jamani
They are strong and stable
Is not the same
Ukimwambia mwanamke una mtoto hakuna ugumu sana kama mwanamke akikuambia ana mtoto let's be honest bro we have to stop being selfish
Ninaheshimu sana single mothers ila nao waheshimu ambao hawajazaa nje ya ndoa kwa kutowasingizia abortion kwani hao single mom kuzaa kunawaondolea kutotoa mimba zingine? Ni ukweli kuna ambao hawajazaa na wametoa mimba pia wapo ambao hawajatoa hivyo hivyo kuna single mom wamezaa lakini pia wametoa mimba pia kuna ambao wamezaa na hawajatoa. Hili swala ni sawa na wanaume wanywa pombe na wasio wanywaji, utakuta wanywaji husema ooo wanaume wasiokunywa pombe ni viwembe maana sitarehe yao kubwa ni wanawake kitu ambacho si lazima maana barmaids wote huondoka na walevi dakika za lala salama maana pombe huambatana na wanawake kwahiyo ni pote hakuna upande unapenda zaidi wanawake bali tabia ya mtu binafsi