Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
I real hate mnaojifanya mabikira
"Mnduku" wako

Unakosea....mabikra wapo na wapo wanaoishi chini ya sheria ya Mungu haswaaa....shika ulichonacho wewe na wengine watashika kile kinachowapendeza
 
Lazima utakua umeona ndugu au Rafiki yako anavyochanga hela akatoe mimba
Na bado unadharau mwanMke aliyekata kutoa mimba
Mwanamke aliyeonesha kua yupo strong enough kulea mimba hata kama ni peke take
MwanAmke ambaye hajakubali kumtupa mtoto il I aonekNe nae wamo
God bless all single moms

Yani Hawa ni mashujaa
 
that's the point, baaas... Mtu kakitembeza toka secondary hadi kazini, kachoropoa mimba/kazalishwa nyumbani!!
..aliyesema usizini hatutaki kufuata sheria zake, no justification katika hili..

mkuu samahani, umeona stori ya John Komba? wale mabinti unadhani (kama ni kweli) wana uamuzi wao peke yao?
 
Sister unafikiri wanaume
wanapenda wake zao waolewe na wanaume wengine pindi wanapowaacha? iwe ni
kifo au talaka? Huchukia kabisa! Akikuacha we baki single ulee watoto
peke yako wanaamini huna right ya kuwa na raha wala kuwa ktk mahusiano
mengine!
Tena kama akikuacha na yupo hai ukitaka asitunze watoto ni afahamu
kwamba una uhusiano na mwanaume mwingine

kweli tupu btw are you studyng psychology?
 
Kaizer umesema kweli mkuu...mi nawapongeza sana single moms and fathers pia,wanajua thamani ya watoto,
mi itokee nipate ujauzito nitamtunza mwanangu kwa kweli kwa hali na mali ,ila uhh naogopaa esp baba mtu akigoma lohh,
Makomana haki vile usitukane mamba hujavuka mto,kuoa bado hata hujui kama mkeo ataweza zaa,ungemkuta na mtoto usingempenda huwezi jua kasha sacrifice wangapi
 
Last edited by a moderator:
Najua hii ni kampeni ila ukweli ni kwamba hatutaki...rudi kapeleke io toto kwa uliezini nae
Kama uzinzi ndio njia pekee unayoijua inayopelekea kuwa single parent,Mungu atakuonesha njia nyingine utakapooa kabint kadogo mkazaa then mke afariki akuachie watoto,then utajifunza kuheshimu single parents.
 
Wakuu, nimerudi.

Personally hii mada imenitia uchungu sana. Morg amepresent a very valid case, na watu ijapokuwa tupo entitled to our opinions, kumridicule mtu au watu haikubaliki hata kidogo.

Hili ni jambo sensitive sana wakuu (hasa wanaume wenzangu tuliobahatika kuzaliwa kutokana na wanawake)

Single mums popote mlipo I salute you na kwa hapa naungana mkono na mawazo ya Mrembo by Nature,,,,tuna bahati sana tumezaliwa...

-Ingekuwaje kama mama zetu wangetutupa kwa kutoa mimba au kututelekeza baada ya kutuzaa kwa vile Baba zetu waliwatelekeza?
-Ni wangapi wetu tungeweza kusoma, kupata chakula na mavazi, kama hawa mama zetu, baadhi yao waliotelekezwa na baba zetu, wasingetupigania?
-Tunapata wapi nguvu za kuwasanifu na kuwakejeli hapa hawa mama zetu, kama wasingesimama vifua mbele, na kuvumilia unyanyapaa wa ndugu, jamaa na marafiki, kwamba 'wamezalia nyumbani' na baadhi yao actually hawakuweza kuolewa tena kwa unyanyapaa huu huu?
-Nauliza tena, hapa ninavyoandika, wapo ambao wamelelewa na mama tu, na sasa hivi ni watu wa maana u wamefanikiwa na wana maisha yao mazuri. Je mama zao wangewatelekeza au kutoa mimba?

Kwa wale wanaodai kwamba single mums ni "used' sijui "scraper" [sic], kama alivyosema Mrembo by Nature, wangapi wameoa bikra au wanatarajia kuoa bikra? Je, kama hujaoa au hutegemei kumpata bikra (highly unlikely), unapata wapi moral authority ya kusema single mum ni used? Unajua huyo unayemuoa ametoa mimba ngapi?
Nina mifano hai kabisa ya ndugu, jamaa na amrafiki walioko kwenye ndoa miaka 5, 20, hadi 15 wanatafuta watoto hawapati, na case nyingi ni kwamba binti alishawahi kuchoropoa sana mimba enzi zake....hao tunakubali kuishi nao na kuwaoa kwa sababu ya "uovu wao tusioujua" au kwa makusudi tunaziba macho yetu kuwaona....kwa sababu hakuna 'ushahidi' wa mtoto?

Single mum yeyote anastahili heshima tena ya hali ya juu kwa sababu anafighht peke yake bila msaidizi....wanapohitaji faraja na mapendo yetu tusiwakejeli, nao ni binadamu. hao watoto hawakuwapata kwa kunywa kwenye glasi kama dawa..kuna mwanaume, na probably wewe unayesoma hapa, alihusika! So single mums ni zao la jamii nzima sio wao peke yao.

Mimi binafsi ningekuwa ninaoa mara ya pili, kigezo cha kwamba eti huyu ana mtoto kisingeapply....simply kama alivosema Mentor na nakubaliana naye...kama nakuoa wewe na una mtoto maana naye nimekuoa wewe na mtoto ..so matunzo, matibabu, ada na kila kitu chake ni juu yangu mimi. baba yake kama yupo hatakuwa na right ya kuingilia mahusiano yetu kwa kigezo cha mtoto...asubiri akifikisha miaka inayoruhusiwa kisheria, amchukue...na kwa consent ya mtoto...logic ni very simple kwamba alishafeli from the beginning ndo maana hawapo pamoja, na hata kama ana uwezo kuliko mimi ni kwamba wote wataishi kwa mfumo na standard ya maisha ya home kwangu na sio vinginevyo. Hayo yatakuwa mojawapo ya mambo ya kusort out kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro baadaye.

inaniuma sana,

baada ya kusema hayo, ninaomba Vaislay na Morg msimame vifua mbele as u have been doing. Know that kuna wanaume akiwemo gwijimimi na wengineo wanaowa appreciate sana....hapa inaonekana kuna baadhi yetu aidha kwa sababu ya umri au malezi, mawazo yetu juu ya hawa wapenzi wetu yapo tenge sana.

Nakuomba Asprin umwagize Khantwe anijazie glasi yangu tafadhali nipoze koo.

Cc miss neddy miss chagga (naona mnajiandaa kwa ndoa) masai dada Mentor Matola Miss Kim badiebey charminglady (miss u) miss strong Heaven on Earth La princesa

BCC wake zangu AshaDii gfsonwin DEMBA

Shikamoo mchepuko, Nadhani nimekuelewa sanaaa....am always proud of myself and my kid,Am happy na usingle mama, kwanza ndo kwanza nazidi kupata changamoto za kutafuta kwajili ya mwanangu...Happy mee....
 
Kama uzinzi ndio pekee unayoijus inayoapelekea kuwa single parent,Mungu atakuonesha njia nyingine utakapooa kabint kadogo mkazaa then mke afariki akuachie watoto,then utajifunza kuheshimu single parents.

Twin salama?
 
Shikamoo mchepuko, Nadhani nimekuelewa sanaaa....am always proud of myself and my kid,Am happy na usingle mama, kwanza ndo kwanza nazidi kupata changamoto za kutafuta kwajili ya mwanangu...Happy mee....

Hiyo shikamoo yako Vaislay hakyanani naipokelea msata :busu:busu nimekumiss ujue...

cc Asprin
 
Last edited by a moderator:
Vaislay n Morg hongeren kwa kuwa single mom
Nashangaa watu wanaowaponda single mom oooh huolewi or sprepa or umeshashusha injini kakuambia nani?
Maneno tu ya wakosaji

Wadada kbao tunawafahamu hawajazaa ila wametoa mimba laki kumi hadi kizazi kimelegea....
Wanaume kibao wanasindikiza na kutoa pesa za kutoa mimba....ila kwa kuwa sisi binadamu tunaona pouwa ila aliyezaa ndo mbaya

Ama kweli kunya anye kuku akinya bata bhasi kaharisha
Nina mifano ya single dady n mom wanalea watoto wao vzur tu

Hawa ni wanawake mashujaa kama wanatambua wanachokifanya hasa kwenye malezi na kutokurudia kosa kwa means most of single mom wanapata shida sana
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo mchepuko, Nadhani nimekuelewa sanaaa....am always proud of myself and my kid,Am happy na usingle mama, kwanza ndo kwanza nazidi kupata changamoto za kutafuta kwajili ya mwanangu...Happy mee....
That's my twin!!!
I'm proud of you twin sister!!!!
 
Inaonekana bado kuna stigma kubwa sana na single moms, hadi watu wanashindwa kuangalia upande wa pili wa sarafu. Na hii stigma inawafanya baadhi ya wanawake kung'ang'ania failed relationships kwa kuogopa kuwa single parents. Unaongeleaje wale ambao wamekuwa single parents labda baada ya kuwa in an abusive relationship wakaamua kutoka, na wale waliobakwa na kutelekezwa je? sizani kama wote ni wabaya Tatizo ni hawa ambao wamezaa na waume wa watu, au wale waliozaa na watu wenye pesa na kutumia watoto wao kama mitaji. Everybody deserves a second chance in life, na kila mtoto anahitaji father figure Single moms don't lower your standards just to be with anybody, you deserve better
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom