Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
haya turudi kwenye mada, kuna jamaa langu moja nililisindikiza kwenye send of ya step daughter wake kufika kule yeye nimekaa nalo viti vya waalikwa hightable kakaa mke wake na mzazi mwenzake hii ilinipa tabu kidogo kwenye kulishwa keki na kuinamiana kuteta ya hapa na pale wazazi wenza, jamaa langu nililiona kama linataka kupasuka halafu limzazi mwenza sijui ndio patner wa yule singasinga wa escrow limetowa funguo ya gari pale pale zawadi ya bibi harusi.

aisee hii haikubaliki hata kidogo.......what an awkward situation

Anyway hili tunaweza kuliangalia kwa muktadha wa kwamba huyo mume hakuweka msimamo toka mwanzoni wa jinsi malezi yatavokuwa...nina mifano pia ya mabinti ambao wamekuwa upande wa step father wao ije mvua ije jua...hapo alitakiwa akae baba yake aliyemlea uyo mzee wa escrow anakuwa kama mwalikwa tu.....
 
Hehehehe kwani mzazi mwenzake na Shem wako hakuwa na mke? Manake binti alitakiwa atumie siasa kwenye ishu ya wazazi. Aseme tu alilelewa na baba 2 na mama 2. Kila mtu akae na mkewe. Viti vya wazazi viwe 4. Umeona msiba wa Tyson ? Monalisa amepewa airtime as if yeye Ndio mkewe wa sasa Hadi nimemuonea huruma mjane halisi. Alivyojiweka ni km yeye Ndio mke wa marehemu. Pale wivu lazima.

hebu nisaidie, hivi Tyson ina maana baada ya kuachana na Mona alikuwa na mke mwingine au alikuwa naye kabla?
 
hapa umesema kwa busara sana,post za huko nyuma loooh,hvi unadhani waliopata ujauzito wote ni kwa sababu ya kula chipsi kuku,wee mwanaume wewe,binadamu hujafa hujaumbika,mara ngapi tunapanga mengiii sanaaa kwenye maisha na yanaenda ndivyo sivyo,,...all the best upate mke umtakae,DONt JUDGE SINGLE MOTHERS THAT BAD,,,inaweza mtokea dada yako or even ur daughter

ndio maana nakuhtaji ww uwe mother house wangu?!
..........unajua badiebey nafkiri niliwahi kuandika uzi mmoja hivi unahusu dada aliyenikataa wakat namtaka tena kwa kudhalilisha lakn baada ya mda akazalishwa na jamaa huko halafu et anakuja kwangu kutaka nimuoe wakat anamtoto wa mwanaume mwingne. Aisee ninahasira na baadhi ya wanawake wanaendekeza umalaya halafu baadae wanajifanya watulivu et ilikuwa bahati mbaya
 
Last edited by a moderator:
miss neddy hii si rushwa ya wazi wazi hii? ICHANA njoo nipe mwongozo...

Nshakuambia kimbia penasol ishaanza kufanya kazi na ukitegemea king Excel kapigwa chin utafiti ndo sitaki nataka anaogopa kumwambie cos ndo kaachika ..ila kafa kaoza kwa jamaa
Asprin ndo babu kijacho
Sasa wewe utakuwa position IPI?
Wote hawapo wine ishalegeza viungo
Kama unapark jua ni risk kwako Mimi zipo naogopa polis nishaona mbali tangia alipoingia bar huyu
no more party

Cc. miss neddy
 
Last edited by a moderator:
hebu nisaidie, hivi Tyson ina maana baada ya kuachana na Mona alikuwa na mke mwingine au alikuwa naye kabla?
Nafikiri ni baada ya kuachana kwao. Ila Yule mdada alimezwa Kabisa hata leaders kwenye picha za blog hakupewa introduction km mke wa marehemu. Mtoto aliyekuwa anatajwa ni wa monalisa Wakati Yule mke wa sasa Ana mtoto pia....lazima alijisikia vibaya
 
aisee hii haikubaliki hata kidogo.......what an awkward situation

Anyway hili tunaweza kuliangalia kwa muktadha wa kwamba huyo mume hakuweka msimamo toka mwanzoni wa jinsi malezi yatavokuwa...nina mifano pia ya mabinti ambao wamekuwa upande wa step father wao ije mvua ije jua...hapo alitakiwa akae baba yake aliyemlea uyo mzee wa escrow anakuwa kama mwalikwa tu.....

jombaa unachanganya madesa huyu mzee wa escrow binti yake hata bodi ya mikopo haijui website yake amesomeshwa kwa cash from nursery to chuo, halafu wewe ulete puwa yako huku wale wazee wa kaunda suti nyeusi wametanda ukumbi mzima? bwashee hujai kuchambia sime wewe?

si kila single mother ametelekezwa kuna washuwa huwa hawagombei kukaa na watoto ila wanaprovide kila kitu kwenye mahitaji yote ya watoto wao, jamani wanaume tuache kujipendekeza kwenye watoto wa watu.

tena wengine mnakuta familia nzima wewe uliyemchukuwa huyo mama ndio nafuu kidogo ukoo wenu wote dhiki tupu, na mtoto anaijuwa vizuri familia ya baba yake wanamgombea kumpa Pocket money hivi nyinyi mnadhani hawa watoto ni vilaza watiwe upofu na utamu wa nyinyi kupigana boro? mnajikaanga utabaki tu mtoto huyu hana shukrani kumbe hujijui ulikuwa unatia chumvi baharini.
 
Very soon mpnz. Ila ni lazima iwe kwenye andiko so ninaandaa andiko. Nakaribisha mawazo na maboresho kuhusu hili....km hutajali karibu
Itakuwa ni nzuri, maana jamii imepotea kabisa kimtazamo
 
Hehehehe kwani mzazi mwenzake na Shem wako hakuwa na mke? Manake binti alitakiwa atumie siasa kwenye ishu ya wazazi. Aseme tu alilelewa na baba 2 na mama 2. Kila mtu akae na mkewe. Viti vya wazazi viwe 4. Umeona msiba wa Tyson ? Monalisa amepewa airtime as if yeye Ndio mkewe wa sasa Hadi nimemuonea huruma mjane halisi. Alivyojiweka ni km yeye Ndio mke wa marehemu. Pale wivu lazima.

wewe wasema, si kila mtoto anayekaa na mama yake analelewa na step father, humu watu mna mengi ya kujifunza.

wakubwa tunaona mbali sana hata tukikaa kwenye vigoda vyetu ambapo wewe hata upande mnazi mrefu kuliko yote huwezi kuona umbali huo.

na hili ndilo neno langu la mwisho usiku huu, nina majukumu mazito asubuhi sana.

Alamsiki.
 
Nafikiri ni baada ya kuachana kwao. Ila Yule mdada alimezwa Kabisa hata leaders kwenye picha za blog hakupewa introduction km mke wa marehemu. Mtoto aliyekuwa anatajwa ni wa monalisa Wakati Yule mke wa sasa Ana mtoto pia....lazima alijisikia vibaya

lakini mona si ndo mke halali wa kanisani nitajie jina la hiyo blog
 
Nshakuambia kimbia penasol ishaanza kufanya kazi na ukitegemea king Excel kapigwa chin utafiti ndo sitaki nataka anaogopa kumwambie cos ndo kaachika ..ila kafa kaoza kwa jamaa
Asprin ndo babu kijacho
Sasa wewe utakuwa position IPI?
Wote hawapo wine ishalegeza viungo
Kama unapark jua ni risk kwako Mimi zipo naogopa polis nishaona mbali tangia alipoingia bar huyu
no more party

Cc. miss neddy

kwi kwi kwi haka ka wine nataka kukarudisha u know kamenishinda afu morg katubalasa ICHANA lol
 
Last edited by a moderator:
wewe wasema, si kila mtoto anayekaa na mama yake analelewa na step father, humu watu mna mengi ya kujifunza.

wakubwa tunaona mbali sana hata tukikaa kwenye vigoda vyetu ambapo wewe hata upande mnazi mrefu kuliko yote huwezi kuona umbali huo.

na hili ndilo neno langu la mwisho usiku huu, nina majukumu mazito asubuhi sana.

Alamsiki.
Siku hizi unatoa nasaha duhhh haya bwana "mkubwa"
 
Walishaachana may be Kama walikuwa wanachepuka. Mke wa sasa anaitwa somebody kimaro. Nenda kwa choka, milard ayo, na penginepo.

mke wa sasa kwani walifunga ndoa? mona ni mke wa kanisani ana haki zote wakristo hawaachani
 
mke wa sasa kwani walifunga ndoa? mona ni mke wa kanisani ana haki zote wakristo hawaachani
Hivi unajua monalisa alishaenda kupiga mdananda kwingine na walikuwa km mke na mume? May be kwenye vitabu vya dini majina yalionekana Kama mke na mme lakini kwa Nje walishaachana na kila mtu alienda kwenye mahusiano mengine.
 
wote walikuwa wanachepuka ndoa yao ilifungwa duniani na mbinguni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom