Mkuu
#kaizer nimependa huu ujio wallah
Mungu akubariki sana
Tungeku around last night hope the rest of the round kwenye viti viref ingekua juu yangi aisee
Personally sijalelewa nasingle parent(single mom) but nimekuzwa mazingira ambayo my mom (was single mom before married to my dad)
So u have seen the hustle of my mom to reject all the connection from the guy kwa heshima ya mumewe(my dad)
Tumeish maisha ya aina moja na hakuna matabaka (btn us and our step bro) japo baba yake was loaded back then but sababu ya rules ambazo walijiwekea kabla ya kuoana
" .so matunzo, matibabu, ada na kila kitu chake ni juu baba Yang
baba yake hakuwa na right ya kuingilia mahusiano kwa kigezo cha mtoto...even when the guys was 18+ we still had him tunarudi pale pale .logic ni very simple kwamba alishafeli from the beginning ndo maana hawapo pamoja, na hata kama ana uwezo kuliko my dad ni kwamba wote tuliishi kwa mfumo na standard ya maisha na uwezo Wa baba na sio vinginevyo. Hayo mambo walishakaa na kusort out kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro na perception kama hizi baadaye."
My take is
I don't appreciate single mums just because my mom was
I appreciate and respect single mums because of 3 to 4 reasons
1-they are God fearing (they could have done abortion)
2- they are strong,raise a child alone trust me is an issue hata kama u r that loaded(wangap wametupa watoto)
3-they are inspiration to young girls(nieleweki sitetei kuzaa mapema but at least ni bora kuzaa kuliko kuchoropoa au kutupa mtoto)
4- my father showed me away just the same as
#mentor and chief
#kaizer said
U wanna marry a single mum u marry with her kid so ishu zote u handle by uaself no connection btn her and her ex
God bless my dad God bless all single mums out there