asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Ndio nasubiri jibu hapa oshie
ni tatizo la kiufundi au ni nini , naona umejijibu mwenyewe........
Ndio nasubiri jibu hapa oshie
ni tatizo la kiufundi au ni nini , naona umejijibu mwenyewe........
I see wewe mgumu sana kuelewa nimekueleza toka mwanzo mimi siyo UNICEF, mtoto mwenye nafasi ya kusaidiwa na mimi ni yatima tu au kama ninamahusiano na mama yake na baba yake kafa.
familia zetu za kichovu tunajuwana sana kila mtu anaecomment hapa kwenye ukoo wao kuna watoto wanaohitaji msaada, why nikatafute sifa za kijinga kusomesha mtoto wa mtu?
hell no kama kupata mwanamke wa kuoa ni shida kwako ni bora uanze ratiba ya kula lunch mchana kwenye canteen za ifm na cbe na uwe good church attendant kwa christian utapata fresh one asiyekuwa na complication zote hizo.
Hitimisho: single mother na aolewe na single daddy. huu ndio ukweli hutaki unaacha.
I see wewe mgumu sana kuelewa nimekueleza toka mwanzo mimi siyo UNICEF, mtoto mwenye nafasi ya kusaidiwa na mimi ni yatima tu au kama ninamahusiano na mama yake na baba yake kafa.
familia zetu za kichovu tunajuwana sana kila mtu anaecomment hapa kwenye ukoo wao kuna watoto wanaohitaji msaada, why nikatafute sifa za kijinga kusomesha mtoto wa mtu?
hell no kama kupata mwanamke wa kuoa ni shida kwako ni bora uanze ratiba ya kula lunch mchana kwenye canteen za ifm na cbe na uwe good church attendant kwa christian utapata fresh one asiyekuwa na complication zote hizo.
Hitimisho: single mother na aolewe na single daddy. huu ndio ukweli hutaki unaacha.
Nafikiri ni baada ya kuachana kwao. Ila Yule mdada alimezwa Kabisa hata leaders kwenye picha za blog hakupewa introduction km mke wa marehemu. Mtoto aliyekuwa anatajwa ni wa monalisa Wakati Yule mke wa sasa Ana mtoto pia....lazima alijisikia vibaya
kuna watu waajabu sana mkuu.
Yaan mwanamke kwa starehe zake na kiherehere chake na minyege yake akawa anavuavua hovyo chupi huko kisa tu kaahidiwa chips kuku na soseji hakujua kuwa kuna mimba? Hakujua kuna kuolewa? Leo amezalishwa huko anataka et mm ndio nimuoe kudadek peleka kulekule alikokuwa anatanua miguu alaaa! Nataman hata kuyazima makofi ningekuwa nawaona aaaaghrrrr!
Huyu anataka kutuambia alizaa ili ajipime kama ana kizazi ndo aolewe. That is nonsense. Akubali tu alilikoroga Anataka kutuaminisha wanaume tuoe wake wenye watoto kwasababu wana uzao. shit!
Let me ask u one thing we so called mtakatifu
We bikra?
Kama sio bikra hao uliotembea nao/uliowahatibu wengine leo si wake za watu?
Kwann hukuwaoa?(there must be areason mpaka mkaachana)
Unaweza kuwabokoa tena ?(wengine unaweza)
obvious wengI wao huwez kuomba hata "friendlymatch " y ?sababu wameamua kuheshim ndoa zao sababu now wapo happy na ndoa zao
The thing is u don't wanna marry single mom fine but don't disrespect them because ww na mm ndo moja ya wachafuzi wenyewe
No offence but u acting.like an idiot kwa kweli
Hakuna anayekulazimisha kuwaoa single moms
Hakuna anayekulazimisha kuwaona ni haki kuwatunza au kulea wanae but deep down if u decide To marry a single mom the best shot u get is "kumfanya mwanae aishi according to the standard and mfumo Wa maisha yako
Kosa kubwa ni kufanya Huduma za mtoto ziendelee kutoka kwa baba yake
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"
Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.
Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...
Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.
Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.
Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?
Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...
Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..
Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.
WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...
Ni sawa na gari tu ukishaiweka plate no hata kama ndo umeitoa showroom mda huo huo bei utakayouza sio uliyonunulia!na hata mwanamke ukishazaa thamani haiwezi kuwa ile ile kabla hujazaa!!single motherz wengi wanahangaika kutafuta waume wakuoa hivyo hujikuta wanaishia kuchezewa na wanaume lukuki...na wengi wanapobahatika kuolewa basi utakuta wale wanaume waliowazalisha wanaanza kurudi tn wanataka mgegedo.
taratibu tu tutaelewana hapa hapa, hii topic mpaka tupate conclusion maana hizi mada tumezichoka kila siku zinajirudia, ni lazima ukweli usemwe ili anakwenda kupanuwa kiholela k yake kabka hajaolewa ajuwe wazi kabisa kifuatacho itv ni nini, na nini mtazamo wa wanaume walio wengi.
maana sasa hivi kuzaa kabla ya ndoa imegeuka kuwa fasheni, mtu upo kwenye siku za hatari mwanaume anakudanganya atakojolea nje alikudanya nani mwanaume wa kiswahili achomoe boro akojoe nje? sasa kwa wale ambao bado mko fresh someni thread kama dibaji kwenu.
Nipo nimejaa tele mwayego.word!
unajichimbia wapi siku hizi
kweli kabisa wanakera sana kupanua upanue yeye na jamaa yake huko halafu kulea wakuletee mm na ww eti ndio tulee ushenz gani huu!!
Hawaon hata haya kulalamika et hatuolewi! Mfuate uliyekuwa unampanulia na kumkatikia ndio akuoe......
Hapa ninayeweza kumwonea huruma ni mjane tu huyo naweza kumfikiria pengne hata kulea mwanaye.
Kwanzia sasa mkome kulakula hovyo vya watu na mkome kupanuapanua hovyo mmezidi kutujazia watoto wasio na baba kisa tu mitamaa yenu. Kama umezalishwa mgande aliyekuzalisha akuoe vingnevyo utakuwa mtu wa kugalagazwa hata na watoto wadogo
Semeni yote mnayotaka kusema, lakin mim nitakuwa wa mwisho kuoa mwanamke aliezaa na mwanaume mwingine.
kupita kwenye njia yenye miiba nyakati za usiku, wakati uliiona mchana, utakuwa mjinga wa millenia..
Kitu kingine inakuwa noma..yaani unakuta mtu single mom, ana miaka 34 au 35 bado anakuwa na masharti kibao..yaani mwanaume inakuwa kama unaomba kazi..lol,
Badilikeni..legeza masharti..cha msingi upendo tu basi..mtaolewa...Punguzeni vigezo