Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
ndiyo hatutaki,mnaendaga kwa wake zenu mlozaa nao ukiuliza eti si mzazi mwenzangu? Muoane wenyewewenyewe ili mudanganyane vzuri loh! Btw-nimeingia zamu!

afu hii kauli ya eti mzazi mwenzangu inakera sana utasema utaivumilia lakini utachoka tu jaman mmmmmhhhh
 
naona network inasumbua sana....duka la hapo karibu nadhani hawajafunga,hebu nenda kachukue mb nitakuja kulipa

Duka la jirani hapa huwa siendi mana nimeshakopa sanaaa...
 
hahaha haya elezea uhusiano wa joka la kibisa na Kaizer chap chap sana kabla sija do ze nidiful

Nasubir nami jibu cos miss neddy una mineno miguuuumu

Ivi anaposema hanywagi anamaanisha nini cos bar kunauzwa alcohol n non alcohol drink
 
Last edited by a moderator:
Hehhe Ndio maana wengine wanapata laana za Mungu baada ya hizo shela.
Tangu lini relationships zikajengwa kwa deception, iyo ni time bomb tu. Is it worth it? Tatizo la kusema uongo ni kwamba unashindwa kuishi kwa amani ukiogopa kustukiwa
 
eli unaniuza hivi hivi na unajua kaizer ni teamb huyo lol
Kaizer ni kamanda wangu, japo yupo teamB Na Mie teamR....usijali mpe company jumaa hii...si ulikataa kuja pande zangu!!
 
Last edited by a moderator:
toa ushauri basi waitwaje? zilipendwa?
haipendezi bana kwani huyo ulonaye sio mzazi mwenzako?? wakat mwingne unakuta na wewe unamtoto lakini bado tu utasikia naenda kwa mzazi mwenzangu inachosha sana hii
 
Nasubir nami jibu cos miss neddy una mineno miguuuumu

Ivi anaposema hanywagi anamaanisha nini cos bar kunauzwa alcohol n non alcohol drink

bora unisaidie apo maana hata mimi ananishangazaaaaa........napata wasi wasi na mahali alipo, na anachofanya mida hii lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom