Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
unawatia moyo? Hahahaaaaa! Hatujawalaumu kuwa na watoto ila sisi hatupendi kuoa waliozalishwa.
Halafu nyinyi wenyew mawifi ndio mnakuwa na vidomo kweli ukiskia kaka yako anaoa mke mwenye mtoto.
Hapa mnavyoongea mtafikir mnauchungu kumbe ni majoka tena ndumila kuwili.

Hamchelew kuwachamba mawifi zenu utafikir nyinyi sio wanawake. Morg na Vaislay najua mmenichukia kwa kauli yangu ila ukweli hata wanawake wenzenu ambao ndio watakuwa mawifi zenu hawapendi kaka zao kuoa mwanamke mwenye mtoto. Hilo mm nmeliona kabisa kwa macho yangu. Ukute sasa ww mwanamke unahali ya chini kimaisha na mmeo anapesa na mawifi zako wawe wanamtegemea nakuambia utajuta kuolewa na kaka yao watakutenga na kukusengenya

Nyie si mmesema kuwa ni used? Ndio maana nimepoint kwamba hao ni wachache walioikubali aibu na kulinda uhai wa watoto wao (Hawa ni single mom waliobebeshwa mimba na kutelekezwa)
 
Last edited by a moderator:
Maneno yako yana ukweli mrembo, wengi wanaishi na wauaji, lakini kumbuka kama ex wangu alichoropoa mimba, nilishiriki pia.. Kwa hiyo no big deal..

Tatizo sio kumuoma single mama kama scraper, aliyetumika sana au looser flani, sivyo. Tatizo Ni zile "kero" mtu atakazopata wakati mkiishi pamoja, hasa mawasiliano ya hawa wazazi kwa vile do or die watawasiloana, watalumbana na kusaidiana katika malezi ya mtoto wao, hata kama mimi nitajiweka karibu na kutoa malezi kwa mtoto.

Ndoa Haina Mmiliki kwa maana nyingine Haina formular...mke mwema Anatoka kwa Bwana. Na unaweza kuwa na mke wa hivi akakufaa kuliko asiye na mtoto.
 
:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:

gadget yangu imeshindwa kuonyesha lugha iloyotumika hapa! Au comment yangu imekukera???
 
Ndoa Haina Mmiliki kwa maana nyingine Haina formular...mke mwema Anatoka kwa Bwana. Na unaweza kuwa na mke wa hivi akakufaa kuliko asiye na mtoto.
it's very unlikely..bora nikosee kwa huyu asiye na mtoto kuliko kujuta kuishi na kwenye nae!! No offence to all single moms though..they're doing a terrific job in raising kids by themselves!!
 
Semeni yote mnayotaka kusema, lakin mim nitakuwa wa mwisho kuoa mwanamke aliezaa na mwanaume mwingine.

kupita kwenye njia yenye miiba nyakati za usiku, wakati uliiona mchana, utakuwa mjinga wa millenia..
 
Kuna jamaa anajiona so brilliant kasema kwann jone screpa(single mom) kwann usitafute mnae"match"
Nimemuuliza swali do go tu
Anajuaje kama huyo so called an a match nae hajatoa mimba hata 3?
Hz dharau zinatuponza sana wanaume hakika IPO siku tutanyooka kwa ujinga kama huu

Nimebahatika kukutana na case nyingi sana za wanawake kutoa mimba ili kulinda status na aibu ya kuzalia home au kuwa single mother. Ktk case nilizokutana Nazo Niliona wengi ktk umri wa secondary walikuwa wametoa mimba 1 Hadi 2. Je Huyu bado Ana mahusiano na hatumii Kinga akimaliza chuo atakuwa mke au Mfano wa mke kwa Nje lakini ambae alishakongoroka kwa ndani? Hii ni kwa wale wanaowaona SMs km looser au makuberi
 
"Ukiona Mungu anakataza jambo fulani,ujue ameona madhara yake kabla" Ona sasa! Sooo sad!
 
Nadhani sisi wanaume wengi ndo wauaji wakubwa na source kubwa ya single moms,source ya wanawake kutoa mimba(japo siwatetei) source pia ya wanawake kutupa watoto(siwatetei)
Kwa njia moja alma nyingine ni lazima lawama zije upande wetu mi I real accept that part because if we cud just starting being responsible of our actions tungesave wToto wengi w mitaani
Tungesave vijusi(kuchoropoa mimba) wengi sana blv me
Anayedharau single mother naonaga hajakua na kuyaface maisha kwakweli
Maana ni lazima umeona ndugu au Rafiki yako Wa karibu NVyimkana dem wake mwenye mimb just kukimbia majukumu
Lazima utakua umeona ndugu au Rafiki yako anavyochanga hela akatoe mimba
Na bado unadharau mwanMke aliyekata kutoa mimba
Mwanamke aliyeonesha kua yupo strong enough kulea mimba hata kama ni peke take
MwanAmke ambaye hajakubali kumtupa mtoto il I aonekNe nae wamo
God bless all single moms
 
"Ukiona Mungu anakataza jambo fulani,ujue ameona madhara yake kabla" Ona sasa! Sooo sad!

that's the point, baaas... Mtu kakitembeza toka secondary hadi kazini, kachoropoa mimba/kazalishwa nyumbani!!
..aliyesema usizini hatutaki kufuata sheria zake, no justification katika hili..
 
Mkatae single mom kwa mapenzi yako binafsi lakini si kwa kumnyanyapaa Kama mkosaji au looser ktk maisha. Wengine ni wajane pia ukumbuke, wengine Ndio hao waliojitoa kafara kukubali aibu ila wasimkosee Mungu kwa Mara ya pili. So km ambavyo unapenda mke merry na si mfupi pia iwe personal choice kuoa single mom au mwingine. Usimkatae kwa sababu ya unyanyapaa.
 
Mi nafikiri shida ya
kwanza ni sisi wenyewe single moms,utakuta mtu una mtoto halafu hutulii
ni kujrahisi tu kwa baba mtoto ksa tuu amekuzalisha unadhan itakuwa ni
rahisi kwa mwanaume kukuoa wewe?? Mwingine ana mtoto halafu ana mdomo
nyodo za kla rangi anazjua yeye akuoe nani?? Ngoja nkwambie mwanamke
mwenzangu uliyeachwa solemba na mwanao, tulia,lea mwanao kama aktokea
muoaj akakta umetulia tuli na mwanao akaamua kukuoa hakksha anaujua
ukweli na awe tayar na wewe uache kujfanya ndo unajua sana kufuata
matumizi cjui mawasliano na uyo dady wa mtoto na ikiwezekana umwambie
hyo mwanaume ishu za mtoto awasliane na fadha hauc kabsaaa,... Mi cdhan
kama dunia ya leo hii mtoto anaweza kuwa ni issue kbwa hvo mbona wengine
tumeolewa jaman?

aise mimi kama single dad sikubaliani na hicho kitu niwasiliane na huyo mume ndio nilimpa mimba? haiwezekani aise
 
that's the point, baaas... Mtu kakitembeza toka secondary hadi kazini, kachoropoa mimba/kazalishwa nyumbani!!
..aliyesema usizini hatutaki kufuata sheria zake, no justification katika hili..

Je hujawahi kuzini?au kwa kuwa mwanaume habebi mimba Ndio maana unanyoosha kidole kwa hao?
 
Ehh hii thread nilikuwa wapy mweeee....
Ni changamoto aiseee,my dad aint a perfect one but he been there like alwaysss,and i had a happy childhood,nikiwaza kukuza mtoto wangu bila baba ake,tena akiwa hai but kakataa majukumu,eh Mungu aepushie mbaliiii
 
Wakuu, nimerudi.

Personally hii mada imenitia uchungu sana. Morg amepresent a very valid case, na watu ijapokuwa tupo entitled to our opinions, kumridicule mtu au watu haikubaliki hata kidogo.

Hili ni jambo sensitive sana wakuu (hasa wanaume wenzangu tuliobahatika kuzaliwa kutokana na wanawake)

Single mums popote mlipo I salute you na kwa hapa naungana mkono na mawazo ya Mrembo by Nature,,,,tuna bahati sana tumezaliwa...

-Ingekuwaje kama mama zetu wangetutupa kwa kutoa mimba au kututelekeza baada ya kutuzaa kwa vile Baba zetu waliwatelekeza?
-Ni wangapi wetu tungeweza kusoma, kupata chakula na mavazi, kama hawa mama zetu, baadhi yao waliotelekezwa na baba zetu, wasingetupigania?
-Tunapata wapi nguvu za kuwasanifu na kuwakejeli hapa hawa mama zetu, kama wasingesimama vifua mbele, na kuvumilia unyanyapaa wa ndugu, jamaa na marafiki, kwamba 'wamezalia nyumbani' na baadhi yao actually hawakuweza kuolewa tena kwa unyanyapaa huu huu?
-Nauliza tena, hapa ninavyoandika, wapo ambao wamelelewa na mama tu, na sasa hivi ni watu wa maana u wamefanikiwa na wana maisha yao mazuri. Je mama zao wangewatelekeza au kutoa mimba?

Kwa wale wanaodai kwamba single mums ni "used' sijui "scraper" [sic], kama alivyosema Mrembo by Nature, wangapi wameoa bikra au wanatarajia kuoa bikra? Je, kama hujaoa au hutegemei kumpata bikra (highly unlikely), unapata wapi moral authority ya kusema single mum ni used? Unajua huyo unayemuoa ametoa mimba ngapi?
Nina mifano hai kabisa ya ndugu, jamaa na amrafiki walioko kwenye ndoa miaka 5, 20, hadi 15 wanatafuta watoto hawapati, na case nyingi ni kwamba binti alishawahi kuchoropoa sana mimba enzi zake....hao tunakubali kuishi nao na kuwaoa kwa sababu ya "uovu wao tusioujua" au kwa makusudi tunaziba macho yetu kuwaona....kwa sababu hakuna 'ushahidi' wa mtoto?

Single mum yeyote anastahili heshima tena ya hali ya juu kwa sababu anafighht peke yake bila msaidizi....wanapohitaji faraja na mapendo yetu tusiwakejeli, nao ni binadamu. hao watoto hawakuwapata kwa kunywa kwenye glasi kama dawa..kuna mwanaume, na probably wewe unayesoma hapa, alihusika! So single mums ni zao la jamii nzima sio wao peke yao.

Mimi binafsi ningekuwa ninaoa mara ya pili, kigezo cha kwamba eti huyu ana mtoto kisingeapply....simply kama alivosema Mentor na nakubaliana naye...kama nakuoa wewe na una mtoto maana naye nimekuoa wewe na mtoto ..so matunzo, matibabu, ada na kila kitu chake ni juu yangu mimi. baba yake kama yupo hatakuwa na right ya kuingilia mahusiano yetu kwa kigezo cha mtoto...asubiri akifikisha miaka inayoruhusiwa kisheria, amchukue...na kwa consent ya mtoto...logic ni very simple kwamba alishafeli from the beginning ndo maana hawapo pamoja, na hata kama ana uwezo kuliko mimi ni kwamba wote wataishi kwa mfumo na standard ya maisha ya home kwangu na sio vinginevyo. Hayo yatakuwa mojawapo ya mambo ya kusort out kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro baadaye.

inaniuma sana,

baada ya kusema hayo, ninaomba Vaislay na Morg msimame vifua mbele as u have been doing. Know that kuna wanaume akiwemo gwijimimi na wengineo wanaowa appreciate sana....hapa inaonekana kuna baadhi yetu aidha kwa sababu ya umri au malezi, mawazo yetu juu ya hawa wapenzi wetu yapo tenge sana.

Nakuomba Asprin umwagize Khantwe anijazie glasi yangu tafadhali nipoze koo.

Cc miss neddy miss chagga (naona mnajiandaa kwa ndoa) masai dada Mentor Matola Miss Kim badiebey charminglady (miss u) miss strong Heaven on Earth La princesa Ennie

BCC wake zangu AshaDii gfsonwin DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Nadhani sisi wanaume wengi ndo wauaji wakubwa na source kubwa ya single moms,source ya wanawake kutoa mimba(japo siwatetei) source pia ya wanawake kutupa watoto(siwatetei)
Kwa njia moja alma nyingine ni lazima lawama zije upande wetu mi I real accept that part because if we cud just starting being responsible of our actions tungesave wToto wengi w mitaani
Tungesave vijusi(kuchoropoa mimba) wengi sana blv me
Anayedharau single mother naonaga hajakua na kuyaface maisha kwakweli
Maana ni lazima umeona ndugu au Rafiki yako Wa karibu NVyimkana dem wake mwenye mimb just kukimbia majukumu
Lazima utakua umeona ndugu au Rafiki yako anavyochanga hela akatoe mimba
Na bado unadharau mwanMke aliyekata kutoa mimba
Mwanamke aliyeonesha kua yupo strong enough kulea mimba hata kama ni peke take
MwanAmke ambaye hajakubali kumtupa mtoto il I aonekNe nae wamo
God bless all single moms

sema ww ndio source usitutie wengne kwenye lawama hyo wakat sijawahi kusababisha mimba hata moja. Na kwann nioe mwenye mtoto wakat mm sikuwa mhun au kiruka njia wa kusababisha mimba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom