Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Nashukuru nimeona mchango wako mkuu mimi ndo naingia jamvini daa nimechelewa ila angalau nitoe langu neno

nashukuru kwa kuuona ICHANA...karibu jamvini, sijui umeshatia neno au ndo unapita kusalimia kwanza
 
Last edited by a moderator:
Weeee temamate chini waulize walio kwenye ndoa ambao hawawez pata mtoto usiombe ya kukute ndo utajua thaman ya mtoto

Mtoto sio kitu!unless if you dont mean what you said,mtoto bana ndio mpango mzima,ninauhakika kuwa binadamu wengi hawajui utamu wa mtoto mpaka pale wanapozaa kwahiyo nina uhakika utakapo zaa ndipo utakapo jua thamani na raha ya kuwa naye.
 
nakupenda sana nataka uwe mke wangu..........
Suala la sacrifice ya huko nyuma atajua yeye na Mungu wake. Hata hao waliozaa wengne wamezaa baada ya mimba kugom kutoka na wengne wamezaa baada ya kutoa mimba nyingi mno. Hilo msitetee mtu naweza kuwaombea Mungu na kuwahurumia wale wajane tu

hapa umesema kwa busara sana,post za huko nyuma loooh,hvi unadhani waliopata ujauzito wote ni kwa sababu ya kula chipsi kuku,wee mwanaume wewe,binadamu hujafa hujaumbika,mara ngapi tunapanga mengiii sanaaa kwenye maisha na yanaenda ndivyo sivyo,,...all the best upate mke umtakae,DONt JUDGE SINGLE MOTHERS THAT BAD,,,inaweza mtokea dada yako or even ur daughter
 
Basi hebu ukipata muda pitia ule uzi, kuna na mwingine umeanzishwa poa siasani kumhusu, kisha urudi hapa kiroho safi kiongozi
sawa mheshimiwa, naona mada imekugusa nafsi, uko humble sana leo!!
 
My kipenzi,mie tena niyumbe na comments za watu? wanajua nlikotoka na nilikopita mpaka leo hii niko hapa?
Am strong enough ,ndo mana nikaweza kusema kabisa mimi ni singo mamaa,
Namshukuru Mungu kila siku kwa kunipa uwezo wa kumiliki dume la shoka...
Am so fine darling

That's why nakuambiaga wewe master plan ...
I know, n u knw me am proud of single mom
Shoka lile tna jembe haswaaa una kila sababu ya kujivunia best ....
 
Unajua wanawake mnatupasua kichwa sana, hivi unamuongeleaje Mwanamke ambae alipendwa, tena kwa dhat na Mwanaume wa mtaani kwao, Ofisin ama hata college, kisha kwa sababu tuu ya hali duni ya mshkaji, mdada akamkataa kata kata, na badala yake akatanua miguu kwa Mwanaume mwingine kisa tuu huyo yy anapesa za kumzidi jamaa, kufika huko baada ya kutumika, dhaman yake ikashuka, akapata Mimba, jamaa akaikataa, kisha mama kajifungua mwana. Technically huyu ni single Mama, nae akirudi kwa Yule jamaa wa zamani, afu mshkaj akamchukulia kama Mfa Maji anaetapa tapa kutafuta baba wa pili, Utamlaumu Mwanaume?
 
that's the point, baaas... Mtu kakitembeza toka secondary hadi kazini, kachoropoa mimba/kazalishwa nyumbani!!
..aliyesema usizini hatutaki kufuata sheria zake, no justification katika hili..

Una dada?
 
Wakuu, nimerudi.

Personally hii mada imenitia uchungu sana. Morg amepresent a very valid case, na watu ijapokuwa tupo entitled to our opinions, kumridicule mtu au watu haikubaliki hata kidogo.

Hili ni jambo sensitive sana wakuu (hasa wanaume wenzangu tuliobahatika kuzaliwa kutokana na wanawake)

Single mums popote mlipo I salute you na kwa hapa naungana mkono na mawazo ya Mrembo by Nature,,,,tuna bahati sana tumezaliwa...

-Ingekuwaje kama mama zetu wangetutupa kwa kutoa mimba au kututelekeza baada ya kutuzaa kwa vile Baba zetu waliwatelekeza?
-Ni wangapi wetu tungeweza kusoma, kupata chakula na mavazi, kama hawa mama zetu, baadhi yao waliotelekezwa na baba zetu, wasingetupigania?
-Tunapata wapi nguvu za kuwasanifu na kuwakejeli hapa hawa mama zetu, kama wasingesimama vifua mbele, na kuvumilia unyanyapaa wa ndugu, jamaa na marafiki, kwamba 'wamezalia nyumbani' na baadhi yao actually hawakuweza kuolewa tena kwa unyanyapaa huu huu?
-Nauliza tena, hapa ninavyoandika, wapo ambao wamelelewa na mama tu, na sasa hivi ni watu wa maana u wamefanikiwa na wana maisha yao mazuri. Je mama zao wangewatelekeza au kutoa mimba?

Kwa wale wanaodai kwamba single mums ni "used' sijui "scraper" [sic], kama alivyosema Mrembo by Nature, wangapi wameoa bikra au wanatarajia kuoa bikra? Je, kama hujaoa au hutegemei kumpata bikra (highly unlikely), unapata wapi moral authority ya kusema single mum ni used? Unajua huyo unayemuoa ametoa mimba ngapi?
Nina mifano hai kabisa ya ndugu, jamaa na amrafiki walioko kwenye ndoa miaka 5, 20, hadi 15 wanatafuta watoto hawapati, na case nyingi ni kwamba binti alishawahi kuchoropoa sana mimba enzi zake....hao tunakubali kuishi nao na kuwaoa kwa sababu ya "uovu wao tusioujua" au kwa makusudi tunaziba macho yetu kuwaona....kwa sababu hakuna 'ushahidi' wa mtoto?

Single mum yeyote anastahili heshima tena ya hali ya juu kwa sababu anafighht peke yake bila msaidizi....wanapohitaji faraja na mapendo yetu tusiwakejeli, nao ni binadamu. hao watoto hawakuwapata kwa kunywa kwenye glasi kama dawa..kuna mwanaume, na probably wewe unayesoma hapa, alihusika! So single mums ni zao la jamii nzima sio wao peke yao.

Mimi binafsi ningekuwa ninaoa mara ya pili, kigezo cha kwamba eti huyu ana mtoto kisingeapply....simply kama alivosema Mentor na nakubaliana naye...kama nakuoa wewe na una mtoto maana naye nimekuoa wewe na mtoto ..so matunzo, matibabu, ada na kila kitu chake ni juu yangu mimi. baba yake kama yupo hatakuwa na right ya kuingilia mahusiano yetu kwa kigezo cha mtoto...asubiri akifikisha miaka inayoruhusiwa kisheria, amchukue...na kwa consent ya mtoto...logic ni very simple kwamba alishafeli from the beginning ndo maana hawapo pamoja, na hata kama ana uwezo kuliko mimi ni kwamba wote wataishi kwa mfumo na standard ya maisha ya home kwangu na sio vinginevyo. Hayo yatakuwa mojawapo ya mambo ya kusort out kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro baadaye.

inaniuma sana,

baada ya kusema hayo, ninaomba Vaislay na Morg msimame vifua mbele as u have been doing. Know that kuna wanaume akiwemo gwijimimi na wengineo wanaowa appreciate sana....hapa inaonekana kuna baadhi yetu aidha kwa sababu ya umri au malezi, mawazo yetu juu ya hawa wapenzi wetu yapo tenge sana.

Nakuomba Asprin umwagize Khantwe anijazie glasi yangu tafadhali nipoze koo.

Cc miss neddy miss chagga (naona mnajiandaa kwa ndoa) masai dada Mentor Matola Miss Kim badiebey charminglady (miss u) miss strong Heaven on Earth La princesa Ennie

BCC wake zangu AshaDii gfsonwin DEMBA

umeongea kwa hisia kaizer umenigusa sana mimi binafsi nawapongeza sana single mom na mimi pia najiaandaa kuolewa namuomba mungu anisaidie kunipamume sahihi
 
Last edited by a moderator:
Kuna kauli ulisema kuhusu kukitembeza Ndio maana nikakuuliza hili swali. Unaona halina tija coz vidole vitatu vimekuelekea. Okay bye enjoy responsibly
yeah, vitatu vinanisonda..no hard feelings mrembo, chillax!!
 
Wakuu, nimerudi.

Personally hii mada imenitia uchungu sana. Morg amepresent a very valid case, na watu ijapokuwa tupo entitled to our opinions, kumridicule mtu au watu haikubaliki hata kidogo.

Hili ni jambo sensitive sana wakuu (hasa wanaume wenzangu tuliobahatika kuzaliwa kutokana na wanawake)

Single mums popote mlipo I salute you na kwa hapa naungana mkono na mawazo ya Mrembo by Nature,,,,tuna bahati sana tumezaliwa...

-Ingekuwaje kama mama zetu wangetutupa kwa kutoa mimba au kututelekeza baada ya kutuzaa kwa vile Baba zetu waliwatelekeza?
-Ni wangapi wetu tungeweza kusoma, kupata chakula na mavazi, kama hawa mama zetu, baadhi yao waliotelekezwa na baba zetu, wasingetupigania?
-Tunapata wapi nguvu za kuwasanifu na kuwakejeli hapa hawa mama zetu, kama wasingesimama vifua mbele, na kuvumilia unyanyapaa wa ndugu, jamaa na marafiki, kwamba 'wamezalia nyumbani' na baadhi yao actually hawakuweza kuolewa tena kwa unyanyapaa huu huu?
-Nauliza tena, hapa ninavyoandika, wapo ambao wamelelewa na mama tu, na sasa hivi ni watu wa maana u wamefanikiwa na wana maisha yao mazuri. Je mama zao wangewatelekeza au kutoa mimba?

Kwa wale wanaodai kwamba single mums ni "used' sijui "scraper" [sic], kama alivyosema Mrembo by Nature, wangapi wameoa bikra au wanatarajia kuoa bikra? Je, kama hujaoa au hutegemei kumpata bikra (highly unlikely), unapata wapi moral authority ya kusema single mum ni used? Unajua huyo unayemuoa ametoa mimba ngapi?
Nina mifano hai kabisa ya ndugu, jamaa na amrafiki walioko kwenye ndoa miaka 5, 20, hadi 15 wanatafuta watoto hawapati, na case nyingi ni kwamba binti alishawahi kuchoropoa sana mimba enzi zake....hao tunakubali kuishi nao na kuwaoa kwa sababu ya "uovu wao tusioujua" au kwa makusudi tunaziba macho yetu kuwaona....kwa sababu hakuna 'ushahidi' wa mtoto?

Single mum yeyote anastahili heshima tena ya hali ya juu kwa sababu anafighht peke yake bila msaidizi....wanapohitaji faraja na mapendo yetu tusiwakejeli, nao ni binadamu. hao watoto hawakuwapata kwa kunywa kwenye glasi kama dawa..kuna mwanaume, na probably wewe unayesoma hapa, alihusika! So single mums ni zao la jamii nzima sio wao peke yao.

Mimi binafsi ningekuwa ninaoa mara ya pili, kigezo cha kwamba eti huyu ana mtoto kisingeapply....simply kama alivosema Mentor na nakubaliana naye...kama nakuoa wewe na una mtoto maana naye nimekuoa wewe na mtoto ..so matunzo, matibabu, ada na kila kitu chake ni juu yangu mimi. baba yake kama yupo hatakuwa na right ya kuingilia mahusiano yetu kwa kigezo cha mtoto...asubiri akifikisha miaka inayoruhusiwa kisheria, amchukue...na kwa consent ya mtoto...logic ni very simple kwamba alishafeli from the beginning ndo maana hawapo pamoja, na hata kama ana uwezo kuliko mimi ni kwamba wote wataishi kwa mfumo na standard ya maisha ya home kwangu na sio vinginevyo. Hayo yatakuwa mojawapo ya mambo ya kusort out kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro baadaye.

inaniuma sana,

baada ya kusema hayo, ninaomba Vaislay na Morg msimame vifua mbele as u have been doing. Know that kuna wanaume akiwemo gwijimimi na wengineo wanaowa appreciate sana....hapa inaonekana kuna baadhi yetu aidha kwa sababu ya umri au malezi, mawazo yetu juu ya hawa wapenzi wetu yapo tenge sana.

Nakuomba Asprin umwagize Khantwe anijazie glasi yangu tafadhali nipoze koo.

Cc miss neddy miss chagga (naona mnajiandaa kwa ndoa) masai dada Mentor Matola Miss Kim badiebey charminglady (miss u) miss strong Heaven on Earth La princesa Ennie

BCC wake zangu AshaDii gfsonwin DEMBA

UNA BUSARA SANA ANKAL ANGU....

HIVI NINI KINAPELEKEA SINGLE MUM KAMA SIO WANAUME KUKWEPA MAJUKUMU YAO NA KUKATAA MIMBA???

KWANI HIZO MIMBA WANAJIPA WENYEWE, NINYI MNAODHIHAKI NA KUBEZA SINGLE MUMS, MARA NGAPI MMESHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUSABABISHA SINGLE MOM WALIO HAI NA WALIOKUFA???

KUNA WANAWAKE WANAABORT BILA KUWAPA TAARIFA WANAUME ZAO...

MY TAKE: MSIJIFANYE KUBEZA SINGLE MUMS WAKATI MNASHABIKIA MICHEPUKO, MKIEAPA MIMBA HAO WANAWAKE MNA UWEZO WA KUWAOA SECOND WIVES???

"Usimcheke mkunga uzazi ungalipo"
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa kuuona ICHANA...karibu jamvini, sijui umeshatia neno au ndo unapita kusalimia kwanza

Nishatoa #235 #
Am proud of single parent
Wana historia ndefu sana most of them
Wanawake wengi walio sigle mom ni mashujaa cos wanapata changamoto nying, mate so, jamii kumuona Malaya nk
Ila watu hawajui kuna Malaya wa chini chini kbaoooooooo
Bora kuoa single mom ambaye unaona sprepa...used...kashusha injini nk au kuoa hawo mabint single walotoa
Mimba kibao..wametembea na watu kbao nk?
Tusiwakashifu single mom while hujui kisa chochote...
Hao wanaopenda waje washuhudie kama kwenye familia zao/ ukoo/ ndugu ambao ni single mom/ parent au wanaume walokana mimba...
 
Last edited by a moderator:
Wako matured na wanaelewa maisha sana kuliko masista duu!!!!!
Mnaweza kukaa na kushauriana kuliko mtu asiyejua hata bei ya diaper!!!
Hawana shobo na vitu vidogo au mambo ya fancy..wako kimaisha zaid!!!!!
Wengi wakikuambia "I love you" wanamaanisha!!!!!

Tatizo moja kubwa kwenda mbele na kurudi nyuma kihisia yaani kuna kipindi anaweza tu kuwa na hisia kuwa na wewe iko siku utamuumiza au kumtelekeza basi atakuwa mnyonge ghafla...anapoteza furaha just kwa kuhisi tu (wengi)!!!!!!!!!!

Wanahitaji sana assurance na kukumbushwa wanapendwa na kuthaminiwa no matter what happened in the past!!!!!!
They can be reliable friends!!!!
 
Am strong enough ,ndo mana nikaweza kusema kabisa mimi ni singo mamaa,

You so bold, wengine watoto wao wamewaacha mikoani hukoo, mjini wanasema hawana watoto
Hahaha kweli Kabisa watu wamewaacha watoto mikoani wanakula raha miiini na kusema hawana watoto. Mungu akinibariki mtoto ninaahidi kuwa proud nae in anyhow. Kwa mtonyo gani hasa nimkane mwanangu???
 
sawa mheshimiwa, naona mada imekugusa nafsi, uko humble sana leo!!

yeah ni kweli mkuu....imenigusa mno....hadi miss neddy amenistukia...sometimes I am emotional kwenye baadhi ya sensitive issues, am just human u know....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom