Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Nadhani uelewa wako ni mdogo. Unaposema hatuoi au hatutaki kuoa,je hamtaki kina nani?ni wewe na nani hamtaki,wataje vinginevyo unatujumuisha sisi wengine tunaotaka,mimi nataka kuoa single mom wote wa ukoo wenu ukiwemo wewe.. Kama hutaki kitu jisemee mwenyewe hutaki sio kuwasemea wengine. Nadhani umenielewa.

ww ndio huna uelewa unajua tupo na nani wenye msimamo huo? Nikiwataja unawaju??
Haya mm na Hamisi pamoja baba yako mdogo hatutaki kuoa single mom. Je umeridhika??
Kama ulizaliwa na single mom ww sema tu mm ntakuwa baba yko kwa kipindi hiki.
 
Kwanini unadhani najifariji? na kwanini nijifariji.....Mpendwa,nadhani uko under age ndo maana unafikra za kitoto hivyo,Naomba nikufahamishe mtoto ni baraka na faraja ya ajabu,utakuwa na stress na kila aina ya shida,lakini ukimwona mtoto moyo wako unakupa nguvu ya kusonga mbele...
Ni hivi kama unadhani single momz are nothing infront of anyboy , you are wrong.....wapo wanaume wengine wanaowapenda kwa dhati hao hao unaowaona wewe hawafai....
kwa kumalizia ..kama wewe unaona huhitaji mtu wa hivyo nenda unakohitaji kwenda,kwasababu kila mtu Kaandikiwa wake,huna sababu ya kuruka ruka kama kinda la ndege...

unakumbuka ulivyokuwa unarukaruka kama kinda la ndege ulivyokuwa hujazalishwa. Sasa hvi umekutana na vidume vya kazi vimekushona mimba umezalishwa nyumban unajifanya umetulia kumbe ni dunia imekufundisha uache kuruka ruka.
Ulifikir kula chips yai, chipsi kuku na soseji na bagga ni mchezo?
Matokeo yake ndio hayo kuzaa ukiwa nyumban
 
Ni kweli mkuu inasumbua sana kwa mwanaume sababu sisi ndo tunaefanya Hilo so tunalijua vizuri!!ni shida aisee hainiingii akilini kabisa mawasiliano ya mama na baba wa Mtoto wake while mi nimeshamuoa!!unfortunately hilo halizuiliki ni Lazima wawasiliane kujua maendeleo ya Mtoto!!

Huwa naona kama hili ni tatizo kubwa kwenye mahusiano, sasa tiba yake nini? Mama wa mtoto na baba mpya wapambane kulea huyo mtoto bila msaada wa baba mzazi? Manake hata ikiamuliwa mtoto akake kwa baba yake mzazi, naye huyo mama mtoto si atakuwa kila wakati anapiga simu kumjulia hali mwanae? Muziki wa mke wa baba nao sasa! Nafikiri issue kubwa ni watu wote wa pande mbili kuwa insecure....
 
Huwa naona kama hili ni tatizo kubwa kwenye mahusiano, sasa tiba yake nini? Mama wa mtoto na baba mpya wapambane kulea huyo mtoto bila msaada wa baba mzazi? Manake hata ikiamuliwa mtoto akake kwa baba yake mzazi, naye huyo mama mtoto si atakuwa kila wakati anapiga simu kumjulia hali mwanae? Muziki wa mke wa baba nao sasa! Nafikiri issue kubwa ni watu wote wa pande mbili kuwa insecure....

Kichwa kinauma!!!!
 
unakumbuka ulivyokuwa unarukaruka kama kinda la ndege ulivyokuwa hujazalishwa. Sasa hvi umekutana na vidume vya kazi vimekushona mimba umezalishwa nyumban unajifanya umetulia kumbe ni dunia imekufundisha uache kuruka ruka.
Ulifikir kula chips yai, chipsi kuku na soseji na bagga ni mchezo?
Matokeo yake ndio hayo kuzaa ukiwa nyumban
Mimi siwezi nikabishana na mpuuzi kama wewe kwani nitakuwa mpuuzi pia,u know nothing...

Pia mimi sio mtoto mwenzio,as u think...ninauwezo wa kulisha wewe na babako
 
Kwa baba yake napo kuna mama wa kambo. Ombea huyo mama awe ni mwema na ampende huyo mtoto. Hakuna kitu kibaya kama mama wa kambo amuwekee mgomo baridi mwanao, kila anachotaka anampa, hamuonyi, hamkanyi, hafuatilii homework wala nini anamuwashia tv mtoto acheki cartoon 24/7. Subiria a spoilt kid! Haya mambo magumu sana aisee

Hii kitu huwa ina complications nyingi tu, anaweza akawa anaonywa kama watoto wengine wa nyumbani, mtaa wa pili wakaja na hoja kuwa mtoto anateswa! Na ndio maana wengine huwa wanaachwa tu wafanye wanachotaka kuepusha shari, kumbe mwisho wa siku haina msaada kwa mtoto. Mie huwa nina imani kuwa kila mama alee mwanae......
 
ww ndio upewe ufahamu kuwa kuzini nje ya ndoa ni dhambi.
Ww mwanamke hatari sana unajifariji wakat ww ni mzinzi!
Kipindi cha sheria ya Mussa ulistahili upigwe mawe hadi kufa.
Kama wewe unajua kuhumu chukua mawe uje unipige nayo, walah wewe hata kwenu mzazi wako kakushindwa,mtoto anayejitambua hayuko kama wewe,ndio nyie mnaotukana hata wazazi nyumbani....

Yote kwa yote.....Am still a mum, na ndo mana nikakumbia hata mtu akaita majina yoote nitakuwa na kuzidi kuwa Proud of
 
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"

Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na asipokuambia ana mtoto huwezi jua, anajipenda na ni mrembo wa kuvutia na mwenye maendeleo.

Wanaume wengi sana wanaona hana thamani, na wengine kusema ni wameshindikana walikotoka yaani na jaamaa aliyezaa nae.Tukumbuke NOT EVERYMAN MEANT TO BE A DADY, kuna wengine ni waharibifu tu, pengine pia tofauti za maisha zinazotokea zinapelekea yote hayo kutokea, Watu hawaelewi...

Single moms haimaanishi hawatakiwi kuwa na mahusano mengine mapya labda na mwanaume ambaye hana mtoto, wengi hudhani ukijitumbukiza hapo basi utalea mtoto.

Jamani kuna watu wanauwezo wa kutake care ya watoto wao bila msaada, jiulize kabla yako nani alikuwa anamsaidia kama sie mwenyewe. Ni faraja na upendo tu anahitaji kutoka sehemu nyingne.

Hawa watu haimaanishi waolewe au wawe na mahusiano na wanaume ambao nao wanawatoto...eti sababu wasaidane kulea... Tena na zile familia zikisikia kijana anasema "nina mwanamke ila ana mtoto" moto unawaka, jamani jamani? Huu si ubaguzi lakini?

Mwenye mawazo hayo wewe ni katili na mbinafsi kabisa. Na ndo maana inafikia hatua wanaume mnafichwa mnakuja kutambua kwamba ana mtoto imepita hata miaka 10, halafu unalaumu oooh hakuniambia. Hakukuambia kwasababu anajua mtazamo wenu kwao...

Mimi naomba tu niwaambie ndugu Kaka zangu, wadogo zangu, Mwanamke aliyezaa ni sawa na wengine tu, tena bora yeye kazaaa anajua ana kizazi, kuliko hao wasiozaa na wanaokesha kila siku kutafuta watoto kwa waganga..

Mimi mwenyewe ni mfano mzuri, nimepata unyanyasaji sana na wanaume, pale nilipokuwa nawaambia nina mtoto, wengine walishia kimya kimya, wakidai eti tuna kawaida ya kupasha kiporo na mzazi mwenza HIYO NI UONGO NA FIKRA MBOVU ZA WATU
Na kamwe sikuweza kuficha kama sina mtoto kwasababu najua nini maana ya mtoto. Mtoto ni zaidi ya thamani ya vitu ulivyonavyo ndani...
Tena wanawake ambao mmekutana na haya wala msifiche ukweli, Mwanaume akikimbia ujue mungu kakuepushia jambo.

WANAUME HEBU TOENI NA MBADILIKE NA HIZO IMANI AMBAZO SIO...

Swali lolote linakaribishwa... Asanteni

Duuu aisee umeandika kwa hisia mpaka mwili umesisismka
to be honest mi sio muumini Wa mawazo haya but most of we men tunaamini hvyo
on behalf of all men wabinafsi na wasiowabinafsi tunaomba msamaha because asilimia kubwa ya wanaume kua na mtoto tunaona kawaida na jamii inachukulia hvyo but mwanamke akiwa na mtoto kashaonekana Malaya,hajiheshim,mzebe etc but deep down guys hyo mimba kapewa na nani kama sio mm na ww?
Kwani hana hisia?hamind sex kiss na nonihino?
Y r we so selfish?
Hongera kwa wanawake wote mnaojitambua
 
Wewe unaweza kulea mtoto wako ila wengi wao huwa wanataka mtu awasaidie kulea watoto wao

Jamaa aliekuzalisha anaweza kuwa bado anakula tunda mkikutana hii inawatua wanaume wengi mashaka wakitaka kuoa wanamama wenye watoto
 
ww ndio upewe ufahamu kuwa kuzini nje ya ndoa ni dhambi.
Ww mwanamke hatari sana unajifariji wakat ww ni mzinzi!
Kipindi cha sheria ya Mussa ulistahili upigwe mawe hadi kufa.

Wewe hujawahi kuzini?
 
unakumbuka ulivyokuwa
unarukaruka kama kinda la ndege ulivyokuwa hujazalishwa. Sasa hvi
umekutana na vidume vya kazi vimekushona mimba umezalishwa nyumban
unajifanya umetulia kumbe ni dunia imekufundisha uache kuruka ruka.
Ulifikir kula chips yai, chipsi kuku na soseji na bagga ni mchezo?
Matokeo yake ndio hayo kuzaa ukiwa nyumban

mbona kama unaongea bila kufikiria ndugu.?
 
Hivi kuna watu huwa hatulali humu ndani, tunaingia shift eee!!, Ahya ila umeongea kweli kuna single momz ukiwa kuta wana kitu mnato (lastic) yaani me napenda sana, ila hata hvyo single dad pia tuna kazi ukimuambia mpenzi wako mpya unamtoto tyr wengi huwa wanajiskia vibaya ndio maana hata na sisi hupenda kuficha.

Is not the same
Ukimwambia mwanamke una mtoto hakuna ugumu sana kama mwanamke akikuambia ana mtoto let's be honest bro we have to stop being selfish
 
..nadhani ni vizuri mki date Na single fathers, mnakuwa Na interests zinazoendana, kuongelea kuhusu watoto..hata mahusiano yenu yakikomaa ni rahisi kuwafanya watoto wakutane nabkufurahi zaidi, lakini eti saivi unikalishe Na single mama, akianza Tu kuongelea utundu wa mwanae naanza kuboreka..

kwa mtu anayependa watoto hawezi kuboreka akisikia utundu wa mtoto wa mtu......mim navyopenda watoto napenda sana kusikia mtoto wa mwezangu anavyofanya utundu....
 
Tatizo kubwa ni, kujifanya unafuatilia matumizi ya mtoto kwa uliyezaa nae!! Wanaume huwa hatulipendi hilo na ni chanzo cha kurudisha mahusiano yenu yaliyovunjika. Sasa ukute bahati mbaya uliyezaa nae amekuja kuwa na mafanikio zaidi yangu, huduma na caring ni moja ya sumaku ya kumnasa mwanamke yeyote. Inawezekana ni kweli alikutenda vibaya but akianza kujifanya anakujali na kukuhudumia wewe na mwanao kinachofuata ni kushindwa kuelewana na mumeo uliye nae sasa, kisingizio ni matumizi ya mtoto au ni mzazi mwenzangu.

Wanaume tunapolikumbuka hilo, tunaumia sana coz tunahisi ni moja ya vijidharau katika mahusiano

Umenena mkuu but hayo yote si tunapaswa kuyaongea kipindi cha uchumba?
 
Mimi nawashangaa watu wanaohukumu single moms kwamba et walikuwa wanarukaruka....hivi hawa wasiozaa ndo kusema wote ni mabikra? Acheni kuhukumu just bcoz matokeo ya kile unachokifanya hayajadhihirika....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom