Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Mshaharibu Uzi kwa stori zenu za kichitchat....kwaherini hadi hapo tutakapokutana tena kwa mada nyingine. By the way Ninampango wa kufungua club ya single moms kwa DSM ikiwa na lengo la kutiana moyo kuhusu kukabiliana na changamoto zote tulizoziona hapa, pia kuielimisha jamii kuhusu kuwakubali na kutowaona wa ajabu. Nikiwa tayari nitawajulisheni wale SMs wa hapa JF ili mje kuunganisha nguvu ktk hili
Usiondokeeee eeheee lini unafungua ???
 
haipendezi bana kwani huyo ulonaye sio mzazi mwenzako?? wakat mwingne unakuta na wewe unamtoto lakini bado tu utasikia naenda kwa mzazi mwenzangu inachosha sana hii
natamani ufahamu vitu flani flan...
 
Last edited by a moderator:
Unajua wanawake mnatupasua kichwa sana, hivi unamuongeleaje Mwanamke ambae alipendwa, tena kwa dhat na Mwanaume wa mtaani kwao, Ofisin ama hata college, kisha kwa sababu tuu ya hali duni ya mshkaji, mdada akamkataa kata kata, na badala yake akatanua miguu kwa Mwanaume mwingine kisa tuu huyo yy anapesa za kumzidi jamaa, kufika huko baada ya kutumika, dhaman yake ikashuka, akapata Mimba, jamaa akaikataa, kisha mama kajifungua mwana. Technically huyu ni single Mama, nae akirudi kwa Yule jamaa wa zamani, afu mshkaj akamchukulia kama Mfa Maji anaetapa tapa kutafuta baba wa pili, Utamlaumu Mwanaume?

big u kaka! Kuna wanaume humu sijui wanataka kuonekana mbele ya wanawake kama wana huruma sana wanashindwa kuweka wazi ukweli.
............kuna dada mm alinikataa kipindi anasoma lakn sasa baada ya kujazwa mimba et anakuja kwangu tena foolish mu**cker. Wengi wao ni umalaya wa kupenda starehe na mteremko ndio vinawaponza........
Siji kuoa mwanamke wa aina hyo hata siku moja ni bora nikaoe changudoa ambaye hajazaa huenda anajiuza kwa shida
 
Mshaharibu Uzi kwa stori zenu za kichitchat....kwaherini hadi hapo tutakapokutana tena kwa mada nyingine. By the way Ninampango wa kufungua club ya single moms kwa DSM ikiwa na lengo la kutiana moyo kuhusu kukabiliana na changamoto zote tulizoziona hapa, pia kuielimisha jamii kuhusu kuwakubali na kutowaona wa ajabu. Nikiwa tayari nitawajulisheni wale SMs wa hapa JF ili mje kuunganisha nguvu ktk hili

haya turudi kwenye mada, kuna jamaa langu moja nililisindikiza kwenye send of ya step daughter wake kufika kule yeye nimekaa nalo viti vya waalikwa hightable kakaa mke wake na mzazi mwenzake hii ilinipa tabu kidogo kwenye kulishwa keki na kuinamiana kuteta ya hapa na pale wazazi wenza, jamaa langu nililiona kama linataka kupasuka halafu limzazi mwenza sijui ndio patner wa yule singasinga wa escrow limetowa funguo ya gari pale pale zawadi ya bibi harusi.
 
Unganisha dot...Mimi sinywi...nakunywa juice...Nina wine

I told u huyu mlevi mzuri wa wine na reds anasema ni tamu halewi
A so genius I told u b4

kwi kwi kwi ICHANA zambi zako mwenyewe mi si mlevi hata Asprin anajua
 
Last edited by a moderator:
subirini basi na mimi nifike last page tuendelee wote....
 
haya turudi kwenye mada, kuna jamaa langu moja nililisindikiza kwenye send of ya step daughter wake kufika kule yeye nimekaa nalo viti vya waalikwa hightable kakaa mke wake na mzazi mwenzake hii ilinipa tabu kidogo kwenye kulishwa keki na kuinamiana kuteta ya hapa na pale wazazi wenza, jamaa langu nililiona kama linataka kupasuka halafu limzazi mwenza sijui ndio patner wa yule singasinga wa escrow limetowa funguo ya gari pale pale zawadi ya bibi harusi.
Ni stori nzuri lakini kama sijaelewa vizuri,
 
Hehehehe kwani mzazi mwenzake na Shem wako hakuwa na mke? Manake binti alitakiwa atumie siasa kwenye ishu ya wazazi. Aseme tu alilelewa na baba 2 na mama 2. Kila mtu akae na mkewe. Viti vya wazazi viwe 4. Umeona msiba wa Tyson ? Monalisa amepewa airtime as if yeye Ndio mkewe wa sasa Hadi nimemuonea huruma mjane halisi. Alivyojiweka ni km yeye Ndio mke wa marehemu. Pale wivu lazima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom