Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Mkuu nashindwa cha kukoment kwenye hili, maana linaathiri tamaduni za baadhi ya makabila hasa ukanda wa Pwani.
Yani hadi huwa najiuliza wakata mauno kama wale kwenye daladala huwa wana ndoa zao kabisa na wanawafundisha watoto wao maadili inavyopasa ilihali wenyewe hukata mauno hadharani mbele za watoto wao?
 
Tukiwa wadogo kulikuwa na kipindi Radio Tanzania cha Muziki wa Mwambao, mama alikuwa anakipenda sana kile kipindi, na miziki ile ilikuwa burudani sana.

Nakumbuka zile za Njiwa, Dereva wa Mashua.
Wewe umekula chumvi mzee mwenzangu, wewe ni mkongwe mwenzangu, nimekusoma baba, umenikumbusha mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basata hata hizo video za singeli mfano snura jamani jamani dada ana balaa huyu video zake sasa, ni heri arudi kuigiza, wanazioitishaje basata

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ishajichokea hii, kwangu nilishamkataza mke wangu kitambo tu aachane na mihemuko ya kiutadawazi kwa kuweka hiyo miziki ya kisasa, la sivyo atavuna watoto wajinga wasiojua hata nini maana ya maadili mema,
 
Unaanzaje kumponda Meja kunta.

Mabaharia hawakuelewi [emoji1787]

Yaani siku ile sijui hata ilikuwaje, sijawahi kuwa that odd inapozungumziwa kifo cha mtu yeyote.

Baada ya kuambiwa amefake kifo nikahisi ndiyo maana sikuguswa.
 
umefunfishwa shulen tangu vidudu na ukafeli unataka uje ufundishwe na singeli, elimu ghalama Arooo. wacha singeli zituburudishe bhana mafundisho tutayapata kwenye nyumba za ibada
 
  • Thanks
Reactions: amu

Similar Discussions

Back
Top Bottom